ukonga

Ukonga is an administrative ward in the Ilala District of the Dar es Salaam Region of Tanzania with postal code number 12107.According to the 2002 census, the ward has a total population of 75,014.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Heche kuna nini kinaendelea garezani Ukonga. Is Lisu safe/ alive?

    Gwajima amesema kuhusu Lisu katika mahubiri yake leo. Kuna taarifa inasambaa kuhusu Lisu. Is Lisu still alive? Is he living? Or at the blink of death!
  2. R

    Kilio na sala ya Lissu toka Ukonga: Watanzania mmelala? Mimi sijalala

    Watanzania, mmelala? Mimi sijalala hadi sasa! Hii si leo, hii si kesho – hii ni vita ya maisha na uhai wangu! Niko hapa peke yangu, njaa inaungua ndani yangu, sina chochote kinywani, wala sijui nini kinachoendelea kuhusu hatima yangu! Mimi si jambazi, si gaidi. Kama ni hivyo, nipelekeni mbele ya...
  3. From Ukonga Prison: Ikulu ilituma ujumbe mwingine kumtaka mwamba akubali "msamaha" wa Mama. Tundu Lissu akataa, amwambia afute kesi kwa kuwa ni uongo

    Inasemakana Ikulu ya Samia ilituma wasaidizi wake tena Gereza la Ukonga kuonana na Tundu Lissu Wakamwambia Mhe. Lissu kwamba mama yao yupo tayari kumsamehe Mhe. Lissu ila sharti lake ni moja akubali kuipeleka CHADEMA kwenye maridhiano. Mhe. Lissu aliwauliza: "....Anisamehe kwa kosa gani wakati...
  4. Ludovick Rwezaura: Sheria ya kanisa Katoliki inakataza kuwaita waumini malofa na wapumbavu

    Aliyejitambulisha kama muumini wa kanisa katoliki aliyebatizwa na anayepokea sakrament, Ludovick Joseph, aeleza vifungu vya sheria vinavyowabana viongozi kuwafokea waumini kwa lugha kali.
  5. Kutoka Gereza la Ukonga: Barua ya Tundu Lissu kwa Watanzania. Afafanua maana na athari nchi kuwa "banned" au kuwekewa "International restrictions"

    Watanzania, hamjambo mimi Tundu Lissu nawandikieni kuwapasha hizi habari za "Ban" toka Jumuiya za Kimataifa na mataifa rafiki kwa Tanzania Ipo hivi katika nyanja za diplomasia neno "ban" inatokana na maana ya kawaida ya "kukataza rasmi" (to prohibit officially), na katika diplomasia hutumika...
  6. U

    Ujumbe wa Tundu Lissu kutoka Gereza kuu Ukonga: Msikubali kupita njia isiyo na haki!!

    =============================== Mwenyekiti CHADEMA(T)Tundu Lissu anasema; "....Msikubali kupita njia isiyo na haki. Mimi niko imara na sina shida hapa nilipo! Mimi nikifia humu jela, lakini nyinyi mkakaza, jueni mtawasaidia wananchi wenzetu...." "......Nikifungwa, mkakaza katika haki bado...
  7. Je, Tume itafika Gerezani Ukonga kumuhoji Tundu Lissu? Kwanini Rais hukuwaita wakwambie no reform no election why?

    Je hii tume itaenda muuliza Mh Tundu Lissu aliposema tutakinukisha alikuwa na maana Gani? Je, itaenda kumuuliza aliposema kitanuka alikuwa na maana Gani? Je, wataitwa wakina Lissu kumuuliza Nini maana no election no reform? Wataenda muuliza ana shida Gani na tume ya uchaguzi? Je itawapata...
  8. KERO TANESCO Ukonga mnazingua

    TANESCO mnazingua sana. Mmekata umeme baadhi ya maeneo ya Kitunda toka jana saa 3 asubuhi na mpaka leo muda huu hamjarudisha. Mkipigiwa simu namba zenu za hotline, hakuna jibu la maana mnatoa. Mnatarajia watu waishi vipi bila ya umeme kwa masaa 24?
  9. W

    GE2025 Mgombea ubunge Ukonga (ACT): Hatugombei kwa bahati mbaya, tumegombea kwa sababu tumevurugwa. Kijana tuliyemuamini ameshindwa kutulipa hisani

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Ukonga kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Bakari Shingo, amesema uteuzi wake si wa bahati mbaya bali ni dhamira ya chama chake kuhakikisha changamoto zinazowakabili wananchi wa Ukonga zinapatiwa ufumbuzi. Akizungumza Septemba 15, 2025 katika uzinduzi wa kampeni...
  10. GE2025 Mahakama kuu yatupilia mbali pingamizi la Lissu, kesi yake ya Uhaini kuanza kuunguruma mchana wa Septemba 15, 2025

    Ni kusuka au kunyoa. Kikwazo cha kwanza kitatolewa majibu leo, kama Lissu ataachiwa huru au majaji watatupilia mbali hoja zake. Kumbuka, Lissu aliibua hoja za msingi sana zilizohusisha uwepo wa mapungufu makubwa ya kisheria kwenye commital process iliyofanyika Kisutu hivyo kuialika mahakama kuu...
  11. A

    Alex msama aorodheshwa kugombea ubunge jimbo la ukonga kwa tiketi ya chaumma, mwenyewe akanusha vikali

    Wakati wa mchakato wa kutia nia kwa wana CCM kuomba kugombea ubunge kwa majimbo mbalimbali ya Tanzania, mwana-CCM Alex Msama Mwita alikuwepo akilitaka Jimbo la Ukonga ambalo lipo jijini Dar es Salaam. Hata hivyo, Msama aliachwa kwenye majina yalirudi jimboni kwa ajili ya kura za maoni ambapo...
  12. Serikali hamishieni kesi ya Lissu hukohuko Gerezani Ukonga ijulikane moja

    Mimi si mpenzi wa mropokaji Lissu. Si mpenzi wa CHADEMA. Lakini haki ina misingi yake ya uwazi na ukweli. Sasa tunaambiwa: -mashahidi wa serikali ni siri ya Tsifa - utangazaji wa kesi sasa ni siri -ushuhudiaji wa kesi ni wa vikwazo vingi Kero ya vyombo vya ulinzi na usalama eneo lote la Upenga...
  13. Heche ametweet kuwa hali ya usalama wa Lissu huko Ukonga, Serikali itawajibika. Je, kapatwa na nini?

    Ameandika kwenye ukurasa wake wa mtandao wa X, zamani Twitter
  14. Nina wasi wasi waliotekwa wapo ukonga wameukumiwa kunyongwa ndio hao 27 waliotajwa na Lissu Jana Mh Samia hii ni dhambi mbaya mno muue Lissu

    Walio tajwa na Lissu Jana yakuwa wako ukonga wameukumiwa kunyongwa ndio wakina Soka,kipanya na wenzake paspo kumsaau mdude nyangali Najiuliza wanafanya hivyo mnapata Nini mbele za Mungu Muumba mbingu na Nchi? Natoa Rai kwa Mh Rais mnyonge Tundu Lissu Ili uepuke kuvuliwa nguo dhidi ya uovu ULIO...
  15. Mhe. Mchengerwa Ataka Kukamilika kwa Ujenzi wa Barabara Jimbo la Ukonga kwa Wakati.

    Mhe. Mchengerwa ataka kukamilika kwa ujenzi wa barabara jimbo la Ukonga kwa wakati. Na John Mapepele Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhe Mohamed Mchengerwa amemtaka mkandarasi anayetekeleza Mradi wa Barabara ya Banana – Kitunda – Kivule – Msongola na Kivule – Majohe Junction...
  16. A

    GE2025 Alex Msama; mtumishi wa watu mwenye dhamira ya kweli aliyebeba hatima njema ya wananchi wa Ukonga!

    Jina la Alex Mwita Msama halihitaji utambulisho wa makelele mengi. Alex Msama ameweka alama na nembo isiyofutika katika jamii ya Watanzania. Ameibua , kukuza na kuendeleza vipaji vya wengi kupitia muziki wa Injili. Kwa miaka mingi, Alex Msama amekuwa kielelezo na mfano hai katika kumtumikia...
  17. A

    Jimbo la Ukonga wataka mabadiliko Ubunge, wamtaja Msama kuwa ni mpambanaji

    Wakati vuguvugu la uchaguzi mkuu likipamba moto nchini kwa nafasi ya urais, ubunge na udiwani, wapiga kura wa Jimbo la Ukonga wamemtaja Mkurugenzi wa Msama Promotion, Alex Msama kuwa ni mtu sahihi kwa 2025-2030. Kwa mujibu wa wakazi wa eneo hilo wanapoongelea uchaguzi wa mwaka huu, wamekuwa...
  18. Alivyotendewa Tundu Lissu Ukonga ni Uvunjifu Mkubwa wa Ibara 13 ya Katiba

    Alichodai Tundu Lissu Mahakamani kuwa amewekwa pamoja na wafungwa waliohukumiwa kunyongwa ni jambo ambalo lingesababisha Mkuu wa Gereza Ukonga kuondolewa na kama siyo Waziri wa Mambo ya ndani kuondolewa basi Mkuu wa Jeshi la Magereza alipaswa kujiuzulu. Uvunjaji wa Ibara ya 13 ya Katiba yetu...
  19. A

    PreGE2025 Barua rasmi ya Tundu Lissu kwa Watanzania kutoka gerezani Ukonga

    Leo May 3, 2025, Tundu Lissu ametuma barua ya wazi kwa watanzania akiwa kolokoloni gereza la ukonga. Barua hii imechapishwa na Maria Sarungi kupitia mtandao wa X kama ifuatavyo, Barua rasmi ya Lissu kwetu sote! Alituma kwa Kiingereza neno kwa neno kupitia mtu aliyenifikishia na nimeweka hapa...
  20. T

    DOKEZO Waandishi wa habari wa vyombo rasmi niwaombe mtembelee kuripoti mateso kwenye ofisi za NIDA Ukonga, Mombasa

    Kiukweli sijajua kama tatizo ni mfumo ama watendaji wa serikali au ni kitu gani lkn itoshe kusema hali katika ofisi za nida hapa ukonga Mombasa ni ya kuchosha, kufedhehesha na ya kukatisha tamaa. Kama hatutapaza sauti tutaendelea na huu utaratibu ambao sielewi kama kweli kama nchi tumeshindwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…