Vyovyote itakavyokuwa kuhusiana na Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ni lazima Jamhuri ya Tanganyika iwe na serikali yake inayojitegemea na kamili.
Kwa siku za karibuni, Mkuu wa Dola amejidhihirisha kuwa adui namba moja na tishio kwa usalama na uhai wa Jamhuri ya Tanganyika kuliko...
Wakiongozwa na Mange , Tausi likokola,.Maria nk
. Huko twitter x , insta, Facebook, ticktock wanawake wanaongoz kuhamasisa mabadiliko ya hali ya siasa inchini Tanzania.
Hili halijutegemewa lakini ndivyo ililvyo.
Wanaume wengi wamegeuka machawa wamejivisha upofu na ukiziwi.
Tangu tumepata uhuru zaidi ya hayati Nyerere kupata msukomsuko ule wa 1964 mimi binafsi sijawahi kumsikia mkuu wa nchi yetu akitamka hadharani kuwa watu walitaka kuangusha dola.
Utawala wa Hayaji Julius nimeushuhudia. Utawala wa mzew Mwinyi ndio kabisa.
Nisiongelee juu ya Mzee Mwinyi, Mzee...
Mpo salama!
0. Wakati baadhi ya vijana kama kina Lucas wakijiingiza kwenye uchawa kwa sababu ya Woga na tabia za kujidhalilisha. Wanawake wengi sasa wanajiingiza kwenye mapigano ya haki(harakati)
Ama kweli lile andiko linasolema Mungu ameumba jambo jipya. Mwanamke atamlinda mwanaume linaenda...
Wakristo mna mbingu yenu nyie watu,
Umeakua mwendelezo Taifa likielekea kukombolewa, wakristo wamekuwa ni watu wa kuimba tenzi kila wanapopanda magari ya mwendokasi na tenzi hizo zinaendana na kipindi ambacho Taifa linapitia.
1. Nguvu ya Umma haitakuwepo any time soon. Tu waoga sana wa kufa. Ndiyo maana tunatumia fake IDs
2. Walio kazini serikalini na vinafasi vizuri wanaogopa kupoteza ugali wao....wananyamaza na sIwezi kuwalaumu, they have to survive with their families
3. Wafany biashara wanaogopa kubambikiwa...
Historia ya Klabu ya Yanga SC kwenye ushiriki wake katika kuleta maendeleo ya Taifa la Tanzania, Kiuchumi, Kisiasa na Kimichezo haijaanza Leo wala jana ..
Ni Klabu hii ya Wananchi iliyobeba sehemu ya Ukombozi wa Taifa hili.. Tumebeba Nembo ya Umoja, Amani, Upendo, Mshikamano na ukarimu wa Raia...
Silaha zote zitumike, wanaoongea waziwazi, keyboard warriors na wenye imani mbalimbali tuendeleze mapambano.
Hapa tuweke maombi yetu ya kiimani dhidi ya utekaji, mauaji na ukandamizaji.
Wahusika waharibiwe.
Wana Mbeya wanajielewa sana, wana utambuzi wa hali ya juu sana.
Mbeya mama anapendwa sana, ila kwa hili la bandari wamesema hapana. Hawajakubali rasilimali zao kuuzwa, na hawako tayari kwa rasilimali za taifa lao Tanganyika kuchezewa.
Kijana Mwabukusi amegeuka kuwa shujaa wa taifa, jana...
Hiki ndicho ninachokiona Mimi na ukikaa peke yako ukatafakari hili BANDIKO utakubaliana na Mimi Hawa vijana wametuzid sana sisi tuliozaliwa Mika ya 89 kurudi nyuma wengi wetu vichwa vyetu havina kitu zaid ya kuwa machawa kama akina mwijaku, baba levo na doto magari Hawa wote wamezaliwa Miaka ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.