ukoloni mamboleo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    Ni faida gani hasa mamluki na vibaraka wa ukoloni mambo leo hupata baada ya kuzusha habari au matukio ya uongo dhidi ya mama Tanzania?

    Zaidi ya kuzua taharuki na kuatract public sympathy, kuna kitu cha ziada kundi hili la malofa lenye nia ovu dhidi ya Tanzania hupata kutoka kwa mabwana zao wanaowatuma na kuwafadhili? Na ni kwanini hujawa na hasira katika ujumla wao hasa pale wanapokosa tension au public sympathy wanayoilenga...
  2. McLaren

    Kwa hiyo Waafrika tumekubaliana hili ndio suluhisho la matatizo yetu?

    Wakuu, Nimekutana na clip hii huko duniani na nimepata maswali sana Nimeona kuna huyu jana kashika bango akiwa anataka kile kilichofanyika kule Venezuela kifanyike huko huko South Africa. Yaani kaenda kuchongesha bango kabisa yuko mtaani anaomba Trump aichukue South Africa. Niwakumbushe...
  3. Cute Wife

    Jinsi wazee wetu walivyokuwa wakijibaragaza kuomba huduma katika serikali ya mkoloni! Inatia hasira

    Wakuu, Hivyo ndio ndivyo jinsi wazee watu walivyokuwa wakiomba huduma kwa wakoloni ikitokea wananchangamoto fulani katika eneo husika. Imagine hapo mzee wako wa miaka 50, au 60 anajikusanya na wenzake wanajibaragaza kiasi hiki ili waweze kupatiwa huduma tena kwenye ardhi yao afu ukute ni...
  4. Last_Joker

    Kazi ya Kuajiriwa vs Kujiajiri: Uhuru wa Fedha au Mateka wa Ndoto?

    Wacha tuseme ukweli, siku hizi watu wakiambiwa "nimeajiriwa", wengi hawachangamkii kama zamani. Lakini ukisema "nimejiajiri", jicho la heshima linapanda — watu wanakuona kama Elon Musk au Bakhressa wa kitaa! 😂 Lakini ukweli ni upi? Kazi ya kuajiriwa ni kifungo cha ndoto zetu au ndio njia pekee...
  5. T

    Mo Ibrahim: 70% ya Bajeti ya AU inafadhiliwa na wazungu. Wazungu wakitoa misaada tunawaita washirika wa maendeleo, wakihoji wanaitwa wakoloni

    Bilionea Mo Ibrahim anasema 70% ya bajeti ya umoja wa Afrika AU inatokana na michango ya wazungu. Mo anasema wazungu hao wakitoa fedha za misaada tunawaita washirika wa maendeleo ila wakihoji utawala bora tunawaita wakoloni, mabeberu. Mo anasema tuhoji, kwa nini 70% ya bajeti ya AU inatoka kwa...
  6. M

    Tanzania irudi kwenye mfumo wa chama kimoja ili kukomesha ukoloni mamboleo

    Nilikuwa kwenye pitapita zangu YouTube nikakutana na video hii https://www.youtube.com/watch?v=8blC9qfUya8&t=222s Kwenye hii video utajifunza kuwa taifa le kigeni tena siyo taifa jirani bali taifa ambalo liko mbali kabisa na nchi yetu limeamua kuingilia siasa za ndani ya taifa letu bila aibu...
  7. Musangaa

    Ukoloni mamboleo

    Jamani watanzania wanateseka ndani ya nchi Yao. Popote ukikutana na madhira Yao tuwafariji. Nchi ishakuwa ngumu hii.
  8. Rorscharch

    Ukiona Nchi Yako Haitofautiani na Marekani, Jua Wanakumudu (Nyuki wa Mashineni): Ukoloni Mamboleo na Sanaa ya Kucheza Karata Mbovu

    Marekani imekuwa, na inaendelea kuwa, nguvu kuu inayotawala siasa za kimataifa kwa mkono wa chuma uliofunikwa kwa glavu ya hariri. Hakuna taifa linalojiita huru lakini likakubali kuwa na mahusiano mazuri na Marekani bila kutoa kafara misingi yake ya uhuru. Ikiwa nchi yako haipingani na Marekani...
  9. S

    Ziara ya Rais Traole wa Burkina Faso italeta kichocheo kwa Watanzania cha kuchukia utawala wa kifisadi unaogawa rasilimali za Taifa kwa wageni?

    Kuna watu maarufu ambao wamewahi kutembelea Tanzania, na kwa namna moja au nyingine kuwa chachu ya mwamko wa kisiasa nchini. Tumetembelewa na watu kama Fidel Castro, Che Guevara, Nelson Mandela, nk. Hata kama hawakuongea mengi wakiwa nchini, kuwapo kwao nchini kulileta hamasa na mwamko fulani...
  10. City Owl

    Majina ya Kiafrika mbioni kutoweka

    Ndugu wanaJF, Kufikia mwisho wa karne ya 21, majina kama Masawe, Otieno, Gwamaka, Kamugisha, Masanja n.k yatafutika nchini kwetu. Imekuwa nadra mno kukuta mtanzania mwenye majina matatu, yote yenye asili ya kabila lake, au hata ya makabila ya hapa Tanzania au Afrika kwa ujumla. Ubantu...
  11. Blender

    Tarehe ya kuzaliwa kwa Muhammad ni suala linalotokana zaidI na masimulizI ya kihistoria na ya kidini, kuliko ushahidi wa kisayansi

    Chanzo kikuu cha taarifa kuhusu maisha ya Muhammad ni Hadith (masimulizi ya matendo na maneno yake), pamoja na Sirah (wasifu wake) zilizoandikwa baada ya kifo chake. Hakuna ushahidi wa moja kwa moja wa kisayansi, kama vile maandiko ya kisasa ya kihistoria au vielelezo vya kianthropolojia...
  12. S

    SoC04 Namna ya kuepuka au kukomesha athari za Ukoloni Mamboleo (Neo-colonialism) katika kuhamasisha kuleta maendeleo ya Tanzania ya baadaye

    Ukoloni mamboleo ni mfumo wa kidunia ambapo nchi zilizostawi zinadhibiti na kunyonya rasilimali za nchi zinazoendelea kwa njia zisizo za moja kwa moja, ikiwemo kupitia mikataba ya kiuchumi, msaada wa kifedha, na ushawishi wa kisiasa na kitamaduni. Tanzania, kama nchi nyingine za Afrika...
  13. N'yadikwa

    Kwamba Afrika irudishwe kwenye ukoloni!?

    Unakubaliana na huyu mdau kwa kiasi gani. Erik Prince has been many things in his 54 years on Earth: the wealthy heir to an auto supply company; a Navy SEAL; the founder of the mercenary firm Blackwater, which conducted a notorious 2007 massacre in the middle of Baghdad; the brother of Betsy...
  14. B

    Je, CHADEMA na Wananchi Peke yao wanaweza kupambana na Ukoloni Mamboleo?

    Ni wakati sasa tuanze kufikiria namna ya kucheza na siasa zetu. Je Chama cha siasa kama chadema na wafuasi wake wasiozidi Milioni 30 Tanzania wanaweza kupambana na Ukoloni Mambo leo wakashinda? Nitafafanua kwa kutoa mifano iliyojengeka kwenye dhana zifuatazo. 1. Chama dola chama cha mapinduzi...
  15. Meja Jenerali Isamuhyo

    Kwanini mvua imnyeshee Waziri Jafo huku mgeni wake akifunikwa na mwamvuli? Ukoloni mamboleo

    Hapa ni Airport wakati waziri Jafo akimpokea mgeni kutoka falme za kiarabu. Waziri kulowa na mvua ruksa ila mgeni hapana? Hii hapana kwangu mimi.
  16. Lady Whistledown

    Jeshi la Mali lamshutumu Rais Macron kwa Ukoloni Mamboleo

    Serikali ya kijeshi nchini Mali imemshutumu Rais Emmanuel Macron kwa tabia ya "ukoloni mamboleo na udhalilishaji" na kumtaka aache ukosoaji wake kwa Jeshi la nchi hiyo na kuchochea chuki ya kikabila Hii ni kufuatia matamshi ya Rais Macron wiki iliyopita wakati wa ziara yake Afrika Magharibi...
  17. VMWare-Oracle

    Kama nitakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Habari zenu wana JF. Moja kwa moja kwenye mada; Kulingana na maono yangu kuhusiana na suala la maendeleo katika jamii ya watu wa Tanzania, naona asilimia kubwa ya watu wamesahau kitu ambacho waasisi wetu wa taifa walikua wamekiacha kama kifaa cha kuleta maendeleo. Mnamo mwaka 1967 kulikuwa na...
  18. K

    Mambo ya Wachina huko kwa wenzetu - Zambia

    Hebu pata muda uone hawa wenzetu walivyoruhusu uwekezaji wa China kustawi huko Zambia
  19. Mwenda zake

    Je, wajua ni jinsi gani wakoloni wanatutawala kidigitali (ukoloni mamboleo)?

    JE WAJUA NI JINSI GANI WAKOLONI WANATUTAWALA KIDIGITALI(UKOLONI MAMBOLEO) NA WALIVYOMZUNGUKA MWENDAZAKE Habari ndugu zangu wa JamiiForums, Ninaanza na kueleza nini maana ya Ukoloni mamboleo ni ile hali ya zile nchi tajiri duniani kuingilia masuala ya nchi zinazoendelea kijamii ,kiuchumi na...
  20. Elius W Ndabila

    Mahusiano ya elimu na ukoloni mamboleo

    ELIMU YETU NDIYO MSINGI WA UKOLONI MAMBO LEO. Na Elius Ndabila 0768239284 Msingi mkubwa wa Maendeleo Duniani kote ni elimu. Hapa tunazungumzia elimu rasimi na isiyo rasimi mhimu ni ile elimu inayosaidia kumuondolea mtu mwamvuri wa ujinga na kumjengea uwezo wa kutazama mambo kwa mawanda mapana...
Back
Top Bottom