ukeni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwanamke kutoa mlio ukeni wakati wa kufanya mapenzi

    Wakuu mko salama? Je Ushawahi kufanya mapenzi na mtu(ke) halafu kuna mda uke ukatoa mlio kama kujamba??? Kama ndio hiyo inaitwa Queefing (vaginal flatulence) Nini maana ya Queefing?? ni hali ambapo hewa inatoka kwenye uke na kutoa mlio unaofanana kabisa ule kabisa wa kujamba. Utajiuliza...
  2. Nimejishangaa sana kuchelewa tambua Umuhimu wa Mto katika kumpa mwanamume muingilio mwarara

    Yani huu mto Niko nao hapa kila siku. Sikujua utumia. Haki Mapenzi ni Ubunifu. Sikuwahi jaribu hili... Hivi kumbe mwanamke anaweza banikwa zaidi ya kuku..!!!?? Ehh!!
  3. Fangasi Ukeni Husababishwa Na Nini?

    READ NEXT PID Kwa Mama Mjamzito. Fangasi ukeni (vaginal yeast infection) husababishwa na kuongezeka kupita kiasi kwa fangasi aitwaye Candida albicans. Fangasi hawa kwa kawaida huishi ukeni bila kusababisha madhara (normal flora), lakini wanapoongezeka kupita kiasi, huleta maambukizi. Hali hii...
  4. Msaada: Nimetumia dawa hizi kutibu muwasho ukeni ila bado najikuna sana. Nifanyaje?

    Ilianza kama utani suala la kujikuna ndani ya uke. Ila hali ilizidi kuwa mbaya kwani ilikuwa kila nikiingiliwa basi napata maumivu sana na kuacha kufanya tendo. Nilienda kwa wataalamu wa afya wakanipa dawa hizi Hizi za buluu nakunywa kila siku kidonge 1 kwa siku 14 na nimemaliza ila hakuna...
  5. M

    Atolewa ndizi na kondomu ukeni

    Mwanamke mmoja nchini Kenya ambaye amehifadhiwa jina lake, alijikuta katika wakati mgumu sana uliopelekea Afya yake kuzorota mpaka kukaribia kufa.😳😳 Ni baada ya kujiingizia ndizi ukeni ambayo ilizama moja kwa moja na kushindwa kuitoa.😳🤯 Baada ya hapo, alianza kusikia maumivu makali huku ndizi...
  6. Kwa Kiswahili fasaha ule Ute Ute mweupe na usionuka unaopatikana Ukeni wakati wa Tendo la Ndoa / Uzinifu unaitwaje?

    Nijibuni haraka upesi tafadhali kwani kuna Mwanafunzi wa Lugha ya Kiswahili Mgeni anataka kujua na Mimi wala sijui.
  7. Msaada: Mke wangu ana vidonda ukeni

    Nimeishi na mke wangu kwa zaidi ya miaka 7 lakini huwa kuna wakati tunakuwa mbalimbali kama mwezi hivi kutokana na biashara Kama siku 5 zimepita ananiambia anaumwa sehemu za siri nimeenda kumuona nimekuta mashavu yote ya uke yamejaa vidonda hadi kutembea hawezi . NAHISI AMECHEPUKA AKAAMBUKIZWA...
  8. Msiingize vidole ukeni, mtapata saratani – Mratibu Afya Zuhura Mbuguni

    KUNAWA kwa kuingiza vidole sehemu za uke, kujifukiza na matumizi ya bidhaa mbali mbali ikiwemo asali kuwekwa ukeni, wapenzi wengi, kujamiiana katika umri mdogo, maambukizi ya virusi vya ukimwi (VVU) kumetajwa kusababisha ongezeko kubwa la saratani ya kizazi. Tafiti zinaonesha kuwa wale...
  9. Tunawasaidiaje wapenzi wetu wanaotoa harufu mbaya ukeni wakati wa tendo?

    Niliwahi kuwa na mrembo fulani mzuri kweli kweli, lakini sasa wakati wa tendo ile harufu hata ukioga IPO tu. Mwisho wake niliamua kumuacha kimyakimya. Najua wako wengi wenye hiyo changamoto. Tunawasaidiaje?
  10. Sitaki Kukosa Kipindi cha Raha za Uswahilini cha EFM Radio nimsikie Dada mwenye Sindano Ukeni iliyokuwa Ikimchoma kila Mwanaume Aliyemuingilia

    Kikubwa GENTAMYCINE nataka nimjue tu kwa Jina na ikiwezekana hata kwa Sura ili nisikosee njia Siku moja na Kumtongoza kisha akinipa Uume wako Uchomwe na Sindano iliyojicha Ukeni mwake bila ya Yeye kujua na Wanaojua ni Wanaume tu waliokuwa Wakimbandua. Asanteni EFM Radio na Kipindi chenu cha...
  11. Nini kinasababisha mwanamke kuwa na maji mengi ukeni?

    Habari zenu wadau? Nini kinasababisha baadhi ya wanawake kuwa na maji ukeni yaani wakati wa mgegedo, unasikia pacha pacha ukiwa unapeleka moto unakuwa kama unatwanga kisamvu. Siko hapa kuwakejeli wanawake, ila naomba nijuzwe kama kuna dawa niusaidie huu mchepuko wangu maana kuna muda anakuwa...
  12. Nipo njiani naenda kutambulishwa ukweni

    Bonjour monsieur,Bonjour mademoiselle. Mapenzi matamu sana aisee leo au muda huu nipo njiani naelekea ukeni kutambulishwa na mke wangu mtarajiwa huko Kondoa Dodoma kwa upande wa familia ya mke wangu mtarajiwa miss.A Wakuu jana si niliwaambia jinsi Jamii Forums imenipa mke? Si mnakumbuka wakuu...
  13. Members naomba kuja, utando mweupe ukeni ni ugonjwa au

    Nimekutana na pisi kali kama mbili hivi, wakati wa sex kuna utando mweupe unatoka ukeni ,kila nikisex unatoka, Naomba kujua
  14. S

    Mke wangu amepata tatizo la kutoa harufu ukeni

    Nimekaa naye kwa takribani miaka 12 sasa, ni msafi sana na sijawahi hisi harufu hiyo. Nikawa hadi napiga deki kuenjoy papuch sijawahi fanya hivi kwa mwanamke yeyote. Nilipohamia mkoani kikazi nimeanza hisi hii harufu baada ya muda kidogo tangu nihamie mkoani kikazi, bado ni msafi kwa...
  15. P

    Fahamu zaidi kuhusu chanzo na dalili za ugonjwa wa fangasi ukeni (Vaginal Candidiasis)

    UGONJWA WA FANGASI UKENI (VAGINAL CANDIDIASIS) Maambukizi ya fangasi sehemu za siri imekua ni tatizo kubwa sana Duniani 75% ya wanawake wote Duniani wanasumbuliwa na tatizo hili. Fangasi ukeni ni miongoni mwa magonjwa ambayo hutesa wanawake kwa namna mbalimbali. Husababisha miwasho, harufu...
  16. Madhara ya kuweka dawa za kuongeza hamu ya ngono ukeni, hatarini kupata saratani ya shingo ya kizazi

    Wanawake wameshauriwa kuacha mara moja kuweka dawa za kuongeza hamu ya ngono ambazo hazijapimwa na wataalamu katika sehemu zao za siri, kwa kuwa wako katika hatari kubwa ya kupata saratani ya shingo ya kizazi ambayo ni tatizo kubwa kwa wanawake wengi nchini. Amezungumza hayo Mtaalamu na Mshauri...
  17. Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

    Nimeona hii article sehemu nikaona niwashirikishe wenzangu ili kama mna jamaa zenu wenye matatizo haya ili kuyakabili. Kutoka harufu ukeni kunaumiza sana. Kama kuna njia nyingine watu mnajua basi wasaidie ambao wanahitaji msaada wenu. === Tatizo la kutokwa na harufu mbaya ukeni Kutunza uke na...
  18. T

    Abnormal menstrual bleeding: Je nini chanzo na ni kwa namna gani tunaweza kutibu tatizo la kutokwa damu ukeni (kipindi cha hedhi) bila kukata?

    Habari za wakati huu wana JF! Ni matumaini yangu kuwa mko wazima na bukheri wa afya. Naomba kuuliza , ni nini chanzo cha kutokwa na damu ukeni (menstrual bleeding) kwa muda mrefu bila kukoma tukiangalia sanasana kwenye mazingira yetu ya kitanzania, na je tiba yake ni ipi? Mwenye kufahamu...
  19. Je, unafahamu uume unaweza kunasa ukeni pindi unapojamiiana?

    Sio mara moja wala mara mbili kushuhudia picha mtandaoni zikienea mtu na mpenzi wake kuwa wamegandana mwanaume anajaribu kuchomoa dushelele na haitoki Watu wengi huhusianisha na uchawi na matego kuwa huenda mume wa Huyu jamaa amemtega mke wake anapochepuka tu aumbuke Yote yanawezekana ila...
  20. Uchafu mweupe wakati wa kufanya mapenzi

    Mke wangu siku za karibuni ana uchafu mweupe mwingi tofauti na zamani, Kila nikimaliza tendo nikitoa dushelele linazungukwa na uchafu mweupe mwingi. Hakua hivyo zamani ,upendo unazidi kupungua. Hivi huu ni ugonjwa au?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…