ukatili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Huyu mtu amekuwa hatari kwa kuwafanyia watu vitendo vya kikatili hapa Bonyokwa

    Kuna mtu anaitwa Pius hapa Canada Bonyokwa amekuwa akiwafanyia vitendo vya kikatili watu tofauti tofauti Hwa anawakamata bodaboda na kuwachukulia pesa kwa nguvu. Anachojivunia yeye kuwa ni mgambo pale Staki Shari hata ukienda kushtaki kesi yake inakuwa yako Tunaomba mamlaka husika zitusaidie...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Serikali kuja na sheria mpya dhidi ya vitendo vya ukatili kwa watoto

    Kutokana na vitendo vya ukatili vinavyoendelea nchini dhidi ya watoto ,Bunge limeeleza kua serikali inatarajia kuleta muswada wa marekebisho ya sheria ya ulinzi na usalama kwa mtoto. Lengo la muswada huo ni kukabiliana na vitendo vya ukatili dhidi ya mtoto vinavyoendelea nchini baada ya vitendo...
  3. JamiiForums Tanzania Ukatili wa Mtandaoni dhidi ya Wanawake ni Tishio kwa Usalama na Haki zao

    Wanawake wanakabiliwa na aina mbalimbali za ukatili mtandaoni, ikiwemo: Kudhihakiwa na Kudhalilishwa; Maneno ya kejeli na matusi yanayolenga kudunisha utu wa mwanamke. Kutishwa na Kutishwa kwa Maisha:** Vitisho vya moja kwa moja dhidi ya maisha na usalama wa mwanamke. Kuvujishwa kwa Taarifa...
  4. JamiiForums Tanzania Je, wajua kua Bibilia ndio kitabu kinachoongoza kwa maandiko ya ukatili?

    Katika uchambuzi, imeonesha kua biblia ndio kitabu kinachoongoza kua na maandiko yenye ukatili zaidi kuliko kitabu kingine chochote cha dini. Mungu wa kwenye biblia amekua akiamrisha mambo ya ukatili mkali. moja ya maandiko ambayo yanatumiwa hata na mayahudi wa sasa ni ule wa Samwel...
  5. JamiiForums Tanzania Babati: Kijana auwawa kikatili na mwili wake watupwa dampo

    Hali ya taharuki imeibuka katika eneo la kuhifadhia taka katika mtaa wa Oysterbay Mjini Babati kufuatia kuokotwa kwa mwili wa kijana ambaye haujafahamika, aliyeuwawa kikatili na kufunikwa na takataka katika eneo hilo. Tukio hilo la mwili kukutwa dampo limetokea Agosti, 24 mwaka huu Hata hivyo...
  6. JamiiForums Tanzania Mwaka 2023 kulikuwa na Makosa 37,448 ya Ukatili wa Kijinsia Tanzania, 15,301 yalikuwa kwa Watoto

    Soma Pia: Nini kinachangia ongezeko la matukio ya Ukatili dhidi ya Watoto? Takwimu za Hall ya Uhalifu Januari - Desemba 2023. Makosa ya Ukatili wa Kijinsia kwa Watoto Makosa haya ni yale yote yanayohusu ukatili na Unyanyasaji wa kijinsia kwa watoto. Makosa haya yanatendeka zaidi katika jamii...
  7. JamiiForums Tanzania Ukatili wa viboko umekithiri Sekondari ya Salma Kikwete

    Habari wana JF. Kwanza kabisa niharakishe kutamka hapa kwamba sipingi viboko mashuleni.Viboko 'huamsha' wazembe,halikadhalika husaidia kurekebisha nidhamu'kwa kiasi fulani'. Lakini adhabu ya viboko ina namna yake na idadi yake.Lengo la viboko ni kunyoosha na sio kukomoa. Tatizo tulilo nalo leo...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Nimefuatilia utendaji wa RPC Dodoma aliyeondolewa, nikiri kwamba ni moja ya wanawake shupavu kupinga ukatili. Ameonewa

    Nimefuatilia mitandaoni nyendo za RPC Dodoma aliyeondolewa, nimefuatilia kuona mahusiano yake na jamii pamoja na utendaji kazi wake. Nachelea kuamini kwamba katika kinywa kile maneno yakumdhalilisha mwanammke aliyetekwa yanaweza kutoka. Nimefuatilia mitandaoni hakuna sehemu kuna sauti...
  9. D

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Waziri Gwajima chukua hatua kwa ukatili huu aliofanywa mtoto shule ya Msingi Kitefu, Halmashauri ya Meru

    Shule ya msingi Kitefu iko Halmashauri ya Wilaya Meru mkoa wa Arusha. Kuna mtoto amefanyiwa ukatili na anadaiwa ni baba yake kwa kumchoma na nyaya za umeme, huyu bwana alikuwepo leo shuleni baada ya kuitwa na Mwalimu Mkuu Mdee. Kinachokatisha tamaa ni kwamba badala ya huyu bwana kujutia kitendo...
  10. JamiiForums Tanzania Udhalilishaji kwa wanaume mbona haupigiwi kelele?

    Baada ya ile video ya binti wa Yombo akibakwa na wanaume 5 kusambaa mitandaoni, watu walipaza sauti na wanaendelea kupaza sauti kudai haki itendeke. Lakini, kuna video nyingine inasambaa mitandaoni na ilikuwepo kabla hata ya ile ya yule binti kusambaa, ikimuonesha jamaa mmoja akidhalilishwa kwa...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini ukatili wa kijinsia umetamalaki hivi karibuni

    Habari mdau wa jamvi hivi unafikiri ni kwann matukio ya ukatili na unyanyasaji wa kijinsia yameongezeka sana kwa sasa Je ni hatua gani stahiki zinapaswa kuchukuliwa kutatua janga hili
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini polisi imekuwa na kigugumizi kuhusu hili swala la huyu binti aliyefanyiwa ukatili na wanajeshi wale.

    Hilo tukio lina zaidi ya wiki sasa ila sijasikia polisi ikitoa taarifa za kuwafikisha mahakamani watuhumiwa hao zaidi nimesikia mtu mmoja aliyeshikiliwa kwa kosa la kusambaza taarifa za uzushi juu ya binti aliyefanyiwa ukatili huo. hii kitu haijengi taswira nzuri kwa vyombo vyetu vya usalama na...
  13. JamiiForums Tanzania Je Mwabukusi atawasaidia Watanganyika dhidi ya ukatili na uovu wa jeshi la polisi iwapo atashinda urais wa Tls?

    Tangu tuwe chini ya mkoloni jeshi la polisi linalalamikiwa kila siku. Utesaji na mauaji ya watuhumiwa. Kila siku ni kilio kwa wananchi. Moja ya dhima ya kuanzishea Tls mwaka ni 1954 ni kutoa msaada kwa jamii inayoonewa na kunyimwa haki . Sasa mbona utesaji wa polisi na hata mauaji...
  14. JamiiForums Tanzania The Chanzo: Watoto 2,382 wamefanyiwa ukatili wa kulawitiwa mwaka 2023

    Watoto 2,382 wamefanyiwa ukatili wa kulawitiwa mwaka 2023 Matukio ya watoto kufanyiwa ukatili wa kulawitiwa yameongezeka kwa kasi, ambapo watoto 2,382 walifanyiwa ukatili huo kwa mwaka 2023 sehemu kubwa (90%) ikiwa ni watoto wa kiume. Nini kifanyike katika jamii kukomesha hali hii? Source...
  15. JamiiForums Tanzania DADAZ: Kumtekenya mtoto ni mojawapo ya ukatili

    Basi kama ni hivi, nimekatiliwa sana😅
  16. JamiiForums Tanzania Nadhani hizi ndizo sababu za ukatili kutoka kwa wadada wa kazi , Tuwaelewe na tuwasaidie

    Hebu tulia kama dakika tatu fikiri kwamba una binti yako ambae kiumri bado ana hitaji malezi kutoka kwako unamtoa kwenda kufanya kazi za ndani kwenye familia nyingine . Nadhani kuna ugumu fulani labda kuwe na sababu inayo kulazimu kama hasa hali mbaya ya kimaisha/kiuchumi . Sasa uwaze...
  17. JamiiForums Tanzania Igunga: UWT Taifa Yaendelea Kuhamasisha Maendeleo ya Kupinga Ukatili wa Kijinsia

    IGUNGA: "UWT TAIFA YAENDELEA KUHAMASISHA MAENDELEO NA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA" Mjumbe wa Kamati ya Utekekelezaji ya Baraza Kuu la Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mhe. Hawa Ghasia Amefanya Ziara kwenye Kata Nne za Jimbo la Igunga (Itumba, Lugubu, Nguvumoja na Igunga) kwa ajili ya...
  18. JamiiForums Tanzania Tulizoea kuyasikia haya yakitokea Mikoani tu kumbe hata Dar es Salaam tunakosema kuna Waliostaarabika pia kuna huu Upumbavu na Ukatili usiovumilika?

    Watu wasiojulikana wamemuua mtoto (6) Mwanafunzi wa darasa la kwanza, katika Shule ya Msingi Kizuiani Temeke jijini Dar es Salaam, na kisha wakachukua viungo mbalimbali vya mwili ikiwemo sehemu ya siri. Chanzo: itvtz Kuna Siku nitaiomba Serikali inipe hata mara moja tu GENTAMYCINE ruhusa ya...
  19. JamiiForums Tanzania Wananchi watakiwa kushirikiana na Serikali kupiga vita ukatili wa kijinsia

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini Mhe. Daniel Sillo amewataka Wananchi kushirikiana kwa karibu na Serikali katika kupiga vita dhidi ya ukatili wa Kijinsia ikiwemo Ubakaji na Ulawiti Watoto kwa kisingizio cha kujipatia mali au utajiri. “Hakuna...
  20. W

    JamiiForums Tanzania LHRC yalaani Ukatili aliofanyiwa Edgar Mwakalebela (Sativa)

    Kituo cha sheria na haki za binadamu Tanzania (LHRC) kimelaani kikali kitendo cha kikatili alichafanyiwa Edger Mwakalebela maarufu kama Sativa. Iliripotiwa kwamba, baada ya kutekwa, aliteswa na kushambuliwa kikatili kabla ya kupatikana katika Hifadhi ya Taifa ya Katavi siku ya tarehe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…