ukatili dhidi ya watoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Traxtion

    Mahakama ya Dar es Salaam yaamuru mama na mwana kunyongwa hadi kufa kwa kumuua binti

    Mahakama Kuu, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, imewahukumu kunyongwa hadi kufa Sophia Mwenda mwenye umri wa miaka 64 na mwanawe Alphonce Magombola (39) baada ya kuwatia hatiani kwa kosa la mauaji ya mwanafamilia wao. Wawili hao walipatikana na hatia ya kumuua Beatrice...
  2. Waufukweni

    MAUDHUI YA KUTISHA: Mtoto wa miaka 14, apigwa na kudaiwa kuuawa kikatili kwa tuhuma za kuiba Parachichi

    Wakuu! Kuna video hii ina sambaa mitandaoni ikimuonyesha mtoto wa miaka 14 kutoka Don Bosco, Iringa, akifanyiwa ukatili mkubwa na hatimaye kudaiwa kuuawa kwa tuhuma za kuiba parachichi. Inaelezwa Mtoto huyo, ambaye Mama yake alifariki na kuacha Watoto Watatu, alimaliza darasa la saba mwaka...
  3. Dkt. Gwajima D

    Utafiti: Ukatili dhidi ya Watoto na Vijana wapungua Tanzania

    Wasaalam ndugu wote humu. Awali ya yote nawashukuru nyie wote kwani mmekuwa mkitoa ushirikiano mkubwa kwenye kupambana kutokomeza ukatili kwa watoto wetu miaka yote. Sasa nawaalika hapa tupate mrejesho wa kitafiti kwa ufupi kabisa kisha, tuendelee kushirikiana kuendelea na mikakati...
  4. S

    DOKEZO Waziri Dkt. Dorothy Gwajima mfuatilie Mwl. Mkuu S/M Kimandafu wilayani Meru, anafanya ukatili kwa wanafunzi

    Mh. Waziri hongera kwa jinsi unavyomsaidia Rais wetu kwa uchapakazi wako uliotukuka. Watanzania tumekushuhudia unavyofanya kazi usiku na mchana kusaidia watanzania dhidi ya madhila ya ukatili wa aina mbalimbali. Mwezi uliopita niliandika kupitia jukwaa hili vitendo vya ovyo vilivyokuwa...
  5. BigTall

    Daktari aliyemfanyia vipimo Mwanafunzi anayedaiwa kulawitiwa na Mwalimu wake, asema "Nilimkuta ameharibika sana"

    Kesi Namba Cc 32444/24 inayomkabili Saleh Ayoub (39), Mwalimu wa Shule ya Msingi Green Acres iliyopo Mbezi Africana, ambaye ni Mkazi wa Salasala Jijini Dar es Salaam, anayetuhumiwa kumlawiti Mwanafunzi (11) imeendelea Aprili 14, 2025, ambapo shahidi wa pili kati ya sita upande wa Jamhuri ametoa...
  6. kiss ov love

    Siwezi kusahau haya manyanyaso ya mama wa kambo

    Binafsi nimekuwa na kulelewa na baba kwani mama yangu alifariki nikiwa nipo mdogo, nilipofika darasa la 6 baba alipata mwanamke wa kuishi nae, huyu nilitambulishwa kuwa atakuwa akiishi nasi. Huyu mwanamke wa baba alikuwa mkarimu, mchapakazi, msafi, mchangamfu na ana stori nyingi sana, kabila...
  7. Waufukweni

    Mwalimu wa Madrasa apandishwa Kizimbani kwa tuhuma za kuwachapa fimbo (Ukatili) wanafunzi wa madrasa

    Mwalimu wa Madrasa, Musa Bashiru Musa (24) ambaye kipande cha picha jongefu (video) kilisambaa katika mitandao ya kijamii kikimuonyesha akiwapiga fimbo za mikononi wanafunzi wake, amepandishwa kizimbani kujibu tuhuma zake. Musa ambaye ni mkazi wa Mbagala Kiburugwa, amefikishwa katika Mahakama...
  8. Mkalukungone Mwamba

    Mwanza: Afungwa maisha kwa kumbaka mtoto wa miaka 8

    Samwel Anthony (34) mkazi wa kijiji cha Shilima wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza amehukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kosa la kumbaka mtoto wa miaka 8. Hukumu hiyo imetolewa jana tarehe 20 Novemba 2024 na Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya wilaya ya Kwimba, Ndeko Dastan Ndeko ambaye ndio Hakimu...
  9. J

    Dodoma: Mama na mwanaye walawitiwa na kisha kuuliwa na watu wasiyojulikana

    Mama na mtoto wake wa kike, wakazi wa mtaa wa Muungano jijini Dodoma, wameuawa baada ya kufanyiwa vitendo vya ukatili na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo Septemba 6, 2024. Waliouawa ni Mwamvita Mwakibasi (33) na binti yake Salma Ramadhan (13), mwanafunzi wa darasa la sita katika Shule ya...
  10. Mkunazi Njiwa

    Katibu Mkuu BAKWATA Nuhu Mruma: Tumuunge mkono Rais Samia katika vita dhidi ya unyanyasaji wa wanawake na ukatili wa kijinsia

    Akihitimisha hotuba yake muda huu katika mashindano ya dunia ya kuhifadhi Quran kwa wanawake. Katibu Mkuu wetu wa BAKWATA ametuasa dhidi ya unyanyasaji wa wanawake na ukatili wa kijinsia pamoja na kudumisha AMANI na UTULIVU. Soma Pia: Rais Samia akishiriki tamasha la Mashindano ya Kuhifadhi...
  11. BARD AI

    Mwaka 2023 kulikuwa na Makosa 37,448 ya Ukatili wa Kijinsia Tanzania, 15,301 yalikuwa kwa Watoto

    Soma Pia: Nini kinachangia ongezeko la matukio ya Ukatili dhidi ya Watoto? Takwimu za Hall ya Uhalifu Januari - Desemba 2023. Makosa ya Ukatili wa Kijinsia kwa Watoto Makosa haya ni yale yote yanayohusu ukatili na Unyanyasaji wa kijinsia kwa watoto. Makosa haya yanatendeka zaidi katika jamii...
  12. mtwa mkulu

    Kyela Mbeya: Mwalimu ahukumiwa kifungo Cha miaka 30 faini laki Tano na fimbo 4 Kwa kumbaka mwanafunzi

    KYELA. Mwalimu wa shule ya msingi Ngeleka iliyopo Halmashauri ya Busokelo mkoani Mbeya Juma Venance Mhanga, amehukumiwa kutumikia kifungo cha miaka 30 jela, kulipa faini ya shilingi laki tano pamoja na kuchapwa fimbo 4 baada ya kupatikana na kosa la ubakaji wa binti mwenye umri wa miaka 13...
  13. Heparin

    Mtoto abakwa hadi kufa Mbagala, Mwili watupwa kwenye pagala

    Mwili wa mtoto anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka mitano umekutwa umetupwa kwenye pagala lililo Mbagala Kichemchem, Dar es Salaam. Kwa mujibu wa watu walioushuhudia mwili huo kwenye pagala hilo, mwili huo una viashiria vya mtoto huyo kubakwa kisha mwili huo kutelekezwa kwenye pagala hilo...
  14. Comrade Ally Maftah

    Tukemee vimelea vya ukatili, kabla hatujaingia katika majuto

    TUNALOJUKUMU LA KUDHIBITI HALI YA UKATILI NA UNYAMA UNAOJENGEKA KATIKA WENZETU Na Comrade Ally Maftah Nilipata kusikia tukio la dada aliyefanyiwa ukatili wa kijinsia nikajidhibiti sana nisitazame tukio hilo, ila kwa bahati mbaya sana nimeona kipande kidogo cha tukio lile. Tukio...
  15. BARD AI

    Nini kinachangia ongezeko la matukio ya Ukatili dhidi ya Watoto?

    Kuongezeka kwa matukio ya ukatili dhidi ya watoto nchini Tanzania ni tatizo changamano lenye sababu mbalimbali, zikiwemo: Sababu za Kijamii: * Mtazamo potofu wa kijinsia: Baadhi ya jamii zinaamini kuwa wanaume wana haki ya kuwadhibiti wanawake na watoto, na hii inaweza kusababisha ukatili wa...
  16. Chachu Ombara

    Manka mbaroni kwa kumchoma moto msaidizi wake wa ndani kwa mafuta

    Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza linamshikilia Christina Shiriri (43) kwa jina maarufu Manka, mfanyabiashara na mkazi wa Usagara wilaya ya Misungwi kwa kosa la kumfanyia ukatili mfanyakazi wake wa ndani Grace Joseph (17), mkazi wa Kijiji cha Nyalwigo wilaya ya Misungwi kwa kummwagia mafuta ya taa...
  17. The Sunk Cost Fallacy 2

    Marekani: Ukilawiti watoto adhabu yake ni kuhasiwa. Adhabu hii inafaa kwa Tanzania

    Kama Taifa kubwa linatunga sheria Kali kiasi hiki ,inakuaje hapa Tanzania ambapo Watoto wanafanyiwa vitendo vya ajabu na hakuna adhabu yeyote ya maana? Kuna Mbunge alipendekeza adhabu ya kunyongwa lakini Kwa uzoefu wa Tanzania Wakuu huwa hawatekelezi hizo adhabu,kumbe badala yake tuanze...
  18. Roving Journalist

    Morogoro: Watuhumiwa Watano wa makosa ya mauaji Wilayani Kilosa wakamatwa na kuwekwa chini ya ulinzi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linaendelea kuimarisha operesheni zake dhidi ya uhalifu na wahalifu. Operesheni hizo zimepata mafanikio makubwa ikiwemo kuwakamata watuhumiwa watano wa matukio ya mauaji ambayo yametokea katika wilaya ya Kilombero na Kilosa kati ya Mei 26, 2024 na Juni 2, 2024...
  19. Mwanongwa

    Mbeya: Mtoto wa darasa la nne shule ya msingi Mkapa alawitiwa na mwenzie wa darasa la saba

    Mtoto mmoja wa kiume ambaye ni Mwanafunzi wa darasa la nne katika Shule ya Msingi Mkapa iliyopo Jijini Mbeya amefanyiwa ukatili wa kulawitiwa na mwanafunzi mwenzie wa darasa la saba shule hapo aliyejulikana kwa jina moja la Arafat. Mtoa habari hizi amefanikiwa kumuhoji maswali mwanafunzi huyo...
Back
Top Bottom