Mtoto abakwa hadi kufa Mbagala, Mwili watupwa kwenye pagala

Heparin

JF-Expert Member
Sep 24, 2021
205
941
Mwili wa mtoto anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka mitano umekutwa umetupwa kwenye pagala lililo Mbagala Kichemchem, Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa watu walioushuhudia mwili huo kwenye pagala hilo, mwili huo una viashiria vya mtoto huyo kubakwa kisha mwili huo kutelekezwa kwenye pagala hilo.

Soma Pia: Mbeya: Mtoto wa darasa la nne shule ya msingi Mkapa alawitiwa na mwenzie wa darasa la saba

Chanzo: Azam TV
Snapinsta.app_455646133_1045141423635535_8838332086152984580_n_1080.jpg
 
Mwili wa mtoto anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka mitano umekutwa umetupwa kwenye pagala lililo Mbagala Kichemchem, Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa watu walioushuhudia mwili huo kwenye pagala hilo, mwili huo una viashiria vya mtoto huyo kubakwa kisha mwili huo kutelekezwa kwenye pagala hilo.

Chanzo: Azam TV
Duuu binadamu ni mnyama hatari sana
 
Mwili wa mtoto anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka mitano umekutwa umetupwa kwenye pagala lililo Mbagala Kichemchem, Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa watu walioushuhudia mwili huo kwenye pagala hilo, mwili huo una viashiria vya mtoto huyo kubakwa kisha mwili huo kutelekezwa kwenye pagala hilo.

Chanzo: Azam TV
Kwa namna walivyo wataanza kuhangaka na mwenye pagala kwanini hajahamia
 
P*rn*graphy zina madhara hayo ya kupoteza "A Moral Compass of life" of someone
Yes including walking p*rn*graphy Wanaovaa nusu uchi visketi fupi na za kubana na vikaptura/suruali ndiyo mojawapo ya madhara haya, wenye uchu na hela ndefu za kununua ngono hawana wanaenda kubaka watoto. Mavazi ya kikahaba na ukahaba vidhibitiwe kupunguza ukatili kwa watoto. Sheria kali zinawekwa lakini matukio yanazidi.
 
Back
Top Bottom