ukakasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    SoC02 Kiapo cha Daktari na ukakasi wa kutoa huduma; Je, ni wakati sahihi wa sisi kama taifa kuja na kiapo chetu kulingana na tamaduni zetu?

    Usiri wa taarifa za mgonjwa atoapo akiwa maeneo ya kutolea huduma za afya Leo napanda jukwaani na andiko langu kuhusu kero inayotupata wagonjwa hasa tunapotoa maelezo kuhusu maradhi yanayotusumbua pindi tuendapo hospitalini Kikawaida taarifa atoazo mgonjwa inabidi ziwe za siri baina yake na...
  2. Cobra70

    Kwenye Walimu wa kujitolea kuna ukakasi ila Rais nimekuelewa

    Wanabodi nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, kazi iendelee.. Kwanza nampongeza mh. raisi kwa maono marefu katika katika eneo la utumishi wa umma hasa kwenye kada ya elimu pamoja na ualimu wenyewe. Raisi ameona mbali sana katika ualimu. Katika kongamano la wanawake...
  3. Jidu La Mabambasi

    Hongera Rais Samia kwa kujitahidi kuondoa ukakasi wa uadui wa kisiasa nchini

    Makamba na Kinana wamerudishiwa heshima zao. Membe karudi CCM alikofukuzwa. Mashitaka ya Mbowe yakafutwa. Waliokuwa lupango kwa kesi za kubambikwa wameachiwa. Mikutano ya kisiasa imerudi upya. Polisi wameanza kuwaheshimu wananchi wa itikadi tofauti na chama tawala Tundu Lissu alionana na...
  4. Mmawia

    Rais Samia: Awamu ya 5 heshima iliyokuzwa ni ya uoga kwa sababu kulikuwa na Simba wa Yuda, ukimgusa sharubu anakurarua, hatukukua kivile

    "Tunasifiwa kwamba adjustments [maboresho] tuliyoyafanya awamu ya tano kidogo zimekuza heshima ndani ya utumishi wa umma. “Heshima iliyokuzwa ni ya woga kwa sababu kulikuwa na Simba wa Yuda, ambaye alikuwa ukimgusa sharubu anakurarua. Lakini hata hivyo hatukukua kivile, heshima inayotakiwa iwe...
  5. The_vision

    Biashara ya hisa za kigeni imekuwa na ukakasi kwa Watanzania

    Habari wanajamvi, Ningependa leo niongelee kidogo kuhusu changamoto zinazotukabili watanzania kuwekeza katika hisa za nje ya nchi (foreign stocks) sijajua kama na mataifa sijajua kama na mataifa mengine ya kiafrika yanakutana na changamoto hizi katika kuwekeza kwenye masoko hayo Changamoto...
  6. Comred Mbwana Allyamtu

    Almasi na ukakasi Katika ardhi ya Tanzania

    ALMASI, KITU KIDOGO KILIVYO WEZA KULETA UKAKASI KATIKA ARIDHI YA TANZANIA. Na. Comred Mbwana Allyamtu (CMCA) Tuesday -1/02/2022 Iringa Tanzania Kuna Kisa cha kiarabu huko Iran cha miaka 2400 iliyopita inayoelezea kuwa chanzo cha almasi ni kutoka huko Uajemi, kwenye moja ya miliki ya mfalme...
Back
Top Bottom