ujumbe

  1. M

    Huu ujumbe amendika Waziri Kikwete je hajaona kama amekosea?

    Tarehe 21 mwezi wa 22? Leo tarehe 21?
  2. Najiuliza huu ujumbe nimeletewa na nani; kuna sauti imeniambia ndotoni ulime, ukizingatia mimi ni fresh graduate sina mtaji wala shamba

    Kwema ndugu zangu. Kama mada inavojieleza, leo nikiwa nimelala kunasauti inanijia kwenye njozi ulime. Kusema kweli ni saut ambayo inaukweli ndani yake but kinacho niumiza kihisia ni kwamba sina mtaji wa kwenda nao farm kwa sasa, Nawasilishaa.
  3. Huu Ujumbe kutoka kwa kiongozi huyu Mkubwa wa Kiislamu kuhusu wanawake. Umenishtua sana

    Siongezi neno.sipunguzi. sisi waislamu wa Buza kwa Mpalange tutatoa neno. FaizaFoxy na Ritz tusiache hili jambo bila kulitolea ufafanuzi.
  4. Idugunde wa Igunga: ujumbe muhimu kwa wanaYanga toka kwa Halima Mdee.

    Mpira uko hivi
  5. Waimbaji wa Nyimbo za Dini za Zamani Walikuwa na Ujumbe Zaidi Kuliko Sasa

    Muziki wa injili umekuwa sehemu muhimu ya utamaduni wa Tanzania kwa miongo kadhaa. Hata hivyo, wengi wamekuwa wakilinganisha nyimbo za injili za zamani na za sasa, huku wakidai kuwa nyimbo za zamani zilikuwa na ujumbe wenye nguvu zaidi na wa kina kuliko hizi za sasa. Je, madai haya yana...
  6. Njia nzuri ya kuangamiza taifa ni kuharibu mfumo wa elimu

    Kwenye geti la chuo kikuu Cha Cape Town nchini Africa kusini kuna maandish yasemayo" "Ukitaka kuangamiza taifa lolote duniani huhitaji kutumia silaha za nyuklia wala mabomu ya atomic. Njia nzuri ya kuangamiza taifa ni kuharibu mfumo wa elimu. "Ruhusu mbumbumbu waonekane wamefaulu na wasonge...
  7. Ujumbe wa wazi kwenu Tigo Tanzania

    Toka Jana Jioni kumekua na Shida ya Internet Kwa maeneo ya Dar es salaam (Sijui mikoani) mpaka muda huu naandika tatizo ni lile lile! Sijui changamoto hii itaisha saa ngapi, sijasoma Wala kusikia mahali mkieleza kwamba kutakua ama Kuna Tatizo la Mtandao. Kwa sisi ambao Huwa tunajiunga na...
  8. Ujumbe wa shukran kwa WanaJamiiForums

    HABARI WAKUU WANGU WA JAMII FORUM! Awali ya yote natumia fursa hii KUWASHUKURU sana kwa maoni yenu mliyokuwa mkinipatia tangu nilipoweka post ya kutengenezewa zengwe na mkuu wa shule na mzazi wa mwanafunzi mpaka nikafukuzwa kazi hivyo kuwaomba ushauri wa namna yoyote ile. Kwa post hii ya Leo...
  9. Mtandao wa X (TWITTER) waifunga akaunti ya kiongozi wa kiislamu Ayatollah Khamenei, baada ya kuandika ujumbe wa kuikosoa Israel

    Mtandao wa kijamii wa X zamani (Twitter), umesimamisha na kuifungia akaunti ya lugha ya Kiebrania ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyyed Ali Khamenei. Hatua hiyo imekuja saa chache baada ya akaunti hiyo kutuma ujumbe unaosema, “Utawala wa Israel ulifanya makosa. Ulikosea katika...
  10. R

    Askofu Bagonza: 'Mwalimu, Naomba Usife Kabla Sijafa', Ujumbe wa Kumbukizi ya Kifo cha Nyerere

    https://youtu.be/qcH8Unr_MFo
  11. A

    Kuhusu Huu ujumbe wa HESLB

    Wenzangu naomba munisaidie Kuna huu ujumbe wa HESLB ukiangalia ALLOCATION za akaunti zetu za SIPA! Unamaana Gani pia utachukua MUDA Gani Hadi kukaaa sawa au kurudishwa katika Hali ya kawaida?
  12. PreGE2025 Makonda anahalalisha uvunjifu wa sheria? Hizo kesi anazosema auziwe yeye atazimaliza vipi au anatuma ujumbe gani?

    Makonda anaalika watu wenye Range, Doscovery nk kwenda Arusha kwenye tamasha la land rover festival 2024, huku akieleza kuwa watakaokwenda wakiwa njiani wakipata changamoto yoyote wamwambie Huyo Askari wa Barabarani ampigie Makonda, yaani kesi zote auziwe yeye Makonda, waseme Makond ndio...
  13. K

    Huu ujumbe wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) una maana gani?

    Kuna kijana nimemfanyia application ya mkopo heslb,sasa toka jana naona account yake imebadilika na kuwa SIPA, sasa nikiingia kwenye allocations za mkopo inanipa ujumbe huo hapo chini. Je, hii inaashiria kakosa au kapata mkopo?
  14. A

    Ujumbe wa Netanyahu kwenda kwa mamlaka ya Lebanon na watu wake

    Benjamin Netanyahu amewatahadharisha na kuwasihi raia wa Lebanon 🇱🇧 akiwaomba kushikamana na kutumia wakati huu kuiondosha Hezbollah, Netanyahu amesema kwamba kundi hilo la kigaidi limekuwa likifadhiliwa na Iran ili kulinda interests za Iran mashariki ya kati ikiwa ni pamoja na kuishambulia...
  15. Basi la Kapricon lapata ajali Korogwe, wanne wafariki na 15 wajeruhiwa

    Wenye ndugu zao waliosafiri usiku wajaribu kufanya mawasiliano. Ni basi na lori, haijafahamika ni basi la kampuni gani. Kwa mwenye habari zaidi atatujulisha. Pole sana kwa wahanga wa ajali hiyo. ======= Watu wanne wamefariki na wengine 15 wamejeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya Kapricon (T...
  16. Kuuliza sio ujinga: Kuweka picha kwenye tangazo bila jina la mhusika, inamaanisha Nini au unatuma ujumbe gani

    JF Ninaomba kueleweshwa
  17. Ukikutana na ujumbe huu upotezee usije kulia

    Dear Customer your ATM Card has been BL0CKED because you have NoT updated yet. If you want to keep using your ATM card please Call our number at ..92146993 Ndugu zangu mkipata message hiyo hapo juu msiwapigie, ni waongo na wezi usitoe maelezo yako ya bank wala ATM CARD YAKO YA BANK ...
  18. A

    Ujumbe wa Netanyahu kwenda kwa Rais Macron wa Ufaransa

    Muda muchache uliopita Waziri mkuu wa Israel ametoa ujumbe mzito kwa Rais wa Ufaransa. Asema Israel haitaji msaada wowote kutoka Ufaransa na itashinda vita. Je Macron kafanya nini ,kilichomfanya Netanyahu kuchukia hivi...
  19. W

    Weka 'Alerts' Google ili upate ujumbe kila taarifa zako zinapoandikwa mtandaoni ili Ujilinde kwenye Mitandao

    DIGITAL SECURITY: FUATILIA TAARIFA ZAKO KUJILINDA MTANDAONI Jinsi ya Kuweka Arifa za Google ('Google Alerts') Ili Kufuata Jina Lako au Taarifa Zako Zinapowekwa Mtandaoni: 1. Tembelea 'search engines' kama 'Google' kisha andika Google Alerts 2. Andika jina lako au taarifa unayotaka...
  20. S

    Mzee wa CHADEMA Zanzibar aliyezungumzia udini alikuwa anapeleka ujumbe gani?

    MZEE Hashim Mzee wa CHADEMA matamshi yake kuhusu viongozi waislamu hususan Rais, Mawaziri waislamu aliowataja Mambo ya Nje, Mambo ya Ndani, Kilimo, Tamisemi, Maji, Mifugo na Uvuvi, Viwanda na Biashara, Walemavu na Vijana, Muungano na Mazingira ilikuwa inapeleka ujumbe gani?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…