ujinga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hivi kipi kinaanza kati ya kuweka kiduku na ujinga?

    Hivi kunyoa kiduku ndio kunafanya mtu anakuwa mjinga au ujinga ndio unafanya mtu anyoe kiduku?
  2. Ukarimu, upole na ukimya wa Watanzania siyo ujinga, Wakenya tuheshimiane

    Tunawakaribisha waKenya na wana Africa Mashariki wote kwa ukarimu, upendo na heshma kubwa sana Tanzania. Lakini pamoja na hayo, ni lazima utaratibu wa kisheria na ustaarabu wa kimataifa ufuatwe na kuzingatiwa vilivyo. Njooni mfanye mambo yenu ya kiuchumi na kijamii kistaarabu kama ambavyo...
  3. Ni ujanja au ujinga kukaa na mtu mnapiga naye story kwa masaa au siku kadhaa bila kujua jina lake?

    Nilichokiona kwa wazungu au watu nje ya bara la Africa wengi awe mwanaume au mwanamke mara nyingi mkikutana tu popote ikatokea mkaanza kupiga story na ikaonekana mtaendelea kuongea muda mrefu basi atajitambulisha mara moja mwanzo tu wa mazungumzo yenu na ndipo mtaendelea na story, kwa Wabongo...
  4. H

    Kuitisha Vyombo Vya Habari Kwaajili ya Kusema Tu Kuwa Unahama Chama, Ni Ujinga. Kwani Ulipokuwa Unajiunga Ulimtangazia Nani?

    Kuna ujinga unaea kwa kasi, eti mtu anaitisha vyombo vya habari kuwaambia wananchi kuwa anahama chama! Hivi wewe kuhama chama, kuna nini cha ajabu? Ulipokuwa unajiunga na hicho chama, uliitisha vyombo vya habari? Jamii yetu imejaa watu wajinga. Fikiria mtu ambaye hata jina lake likitajwa...
  5. Watanzania Tukatae Ujinga kwa Bei Yoyote – CCM Imekuwa Kocha wa Kushindwa Tangu 1977!

    Listen up my people, Watanzania wenzangu! It’s high time tujikumbushe kuwa hii nchi ni yetu sote, not just for a chosen greedy few. Tumekuwa tukichezewa kwa miaka kibao, na bado tunaambiwa tukubali, tuvumilie, tusubiri maendeleo – hell no! Enough is enough! Tupo kwenye nchi yenye ardhi ya...
  6. Ibrahim Traore: Huu ndo ujinga na upumbavu wa Waafrika!

    Hivi kwa nini Waafrika hudanganyika kirahisi rahisi hivyo? Kuna watu kwenye hii mitandao wanaotumia nguvu za ziada kulazimisha umaarufu wa dikteta uchwara wa Burkina Faso. Habari nyingi kumhusu yeye ni za uongo. Kwa bahati mbaya zaidi, watu wanaouamini huo uongo ni wengi sana na ni Waafrika...
  7. Ujinga Wa Utoto

    1.Nilipokua mdogo, nilikua naona watu wakubwa Wana Raha sana ktk Maisha wanafanya Kila watakacho. Baada ya kua mtu mzima mambo ni Tofauti. 2. Nilipokua mdogo nilikua najua Askali awafi.... 3.Nilikua mdogo nilikua najua Nesi akikuchoma sindano Hapo Hapo unapona, pia Nesi akikuchoma sindano...
  8. Udini mbele za Mungu ni ujinga na upumbavu mkubwa, Mungu anatazama dhambi na sio dini, hakuna dini inayostahili Mbinguni bali wema diyo wanaostahili

    Udini mbele za Mungu ni ujinga na upumbavu mkubwa, Mungu anatazama dhambi na sio dini, hakuna dini inayostahili Mbinguni bali wema ndiyo watakao ingia Kumekuwa na idadi kubwa ya wajinga wanaopotosha dunia kuwa dini fulani ndiyo inayostahili mbele za Mungu na hata kusababisha dunia kuingia...
  9. HESLB si msaada tena, ni trap ya mateso. Mnatudhulumu live na bado mnataka tuwaite serikali sikivu?

    Sasa hebu tuongee real talk, no filters, no sugarcoating – straight up raw! Hii kitu mnaita HESLB si msaada tena, ni trap ya mateso. Mnatudhulumu live na bado mnataka tuwaite serikali sikivu? Y’all wildin’ for real! Wanachuo tumekuwa kama orphans in the system. Boom haiji, ikija ni kama charity...
  10. HESLB na serikali, mnatuchezea kama maboy wa mtaani – acha ujinga wenu

    Sasa hebu tuongee real talk, no filters, no sugarcoating – straight up raw! Hii kitu mnaita HELSB si msaada tena, ni trap ya mateso. Mnatudhulumu live na bado mnataka tuwaite serikali sikivu? Y’all wildin’ for real! Wanachuo tumekuwa kama orphans in the system. Boom haiji, ikija ni kama charity...
  11. Nyie watu Tumechoka na Ujinga wenu CCM - Tanzania siyo Backyard ya Familia zenu!

    Leo siandika kama mtu mstaarabu... naandika kama raia aliyekasirishwa Nchi hii imegeuzwa ya familia chache huku viongozi wetu wanafanya maamuzi ya kijinga Unajua kinacho umiza zaidi? bado wanapewa madaraka juu juu na CCM eti waendelee kuihujumu Tanzania. We serious? Unampa mtu aliyeshindwa...
  12. Je kuoa mwanamke aliye kuzidi elimu ni Ujinga or?

    Kumekuwa ma mjadala juu ya hili je wadau hili lina ukweli au inategemea?
  13. H

    Ujinga mmojawapo wa waafrika wafia dini ya ukristo ni kufungishwa ndoa na viongozi wao wasio na ndoa

    Huu ni unafiki nkubwa na ujinga uliopitiliza linapokuja swala la mkristo kufungishwa ndoa na viongozi wa dini ambao wao wamekatazwa kuoa na hawana ndoa wala uzoefu wa ndoa. Kufungishwa ndoa na kushauliwa maswala ya ndoa na padri asiye na mke ni ukichaa kwani hana uzofu kwa hiyo hapa ni kupigana...
  14. H

    Ujinga wa wafia dini ya kikristo wa kiafrika ulianzia hapa!!!!

    Ujinga wa wafia dini ya kikristo wa kiafrika ulianzia hapa,isome kwa makini na ujitafari kwa kina na ujipe jibu mwenyewe je kati ya wewe unaamini ukristo na mimi ninayeamini katika MILA ZANGU ZA KIAFRIKA i.e:kabila langu nani yuko sahihi??
  15. Just for fun: ni ujinga gani hata ushikiwe bastola kichwani huezi acha kufanya ???

    Mimi nimefeli kuacha kutandika mikeka wazee ... Yan napata hasara Ila nikisipotandika mkeka siwez kula Wala kulala.
  16. Akacheeka! akawaambia 'mimi nitabaki kuwa Mtanzania bakini na ujinga wenu

    Haya ni maneno ya Bwashee anawaambia watu wa UHAMIAJI,,,,Huyu Bwashee yupo mamtoni anatafuta maisha na mambo kadha wa kadha kwa ajili ya kusaidia familia yake,jamii inayomzunguka(OFCOZ) anapojenga wana wanapata dili za hapa na pale katika kupunguza ukali wa maisha yaani kimsingi bwashee kaleta...
  17. Dereva yule yule wa Miaka 26 anakuta kuna mabadiliko nchini mwake China ila Tanzania tunachekesha sana halafu CCM kinga yao amani na ujinga

    Mwanaume aliye kwenye picha anaitwa Han Junjia, dereva wa treni kutoka China. Picha ya kwanza ilipigwa mwaka 1996, ikimuonesha akiwa amesimama mbele ya treni ya mvuke aina ya SY-class. Picha ya pili ilipigwa miaka 26 baadaye, ambapo anaonekana akiwa mbele ya treni ya kisasa ya mwendokasi...
  18. Ajali husababishwa na uzembe na ujinga wa kibinadamu. Hakuna Mungu, Shetani au uchawi unaosababisha ajali

    Waafrika hasa watanzania hawatii wala kuzingatia sheria za barabarani halafu wakishapata ajali au ajali ikishatokea wanaanza kupayuka na kutoa maoni kama wehu, Mungu tunusuru! Allah tuokoe! Yesu tusaidie! Wakati Dereva anakanyaga mafuta kisawasawa, speed kibati, mwendo wa ngiri mkia juu, kasi...
  19. USIUDHARAU UJINGA WA MTU— BADALA YAKE, UGEUZE KUWA BIASHARA YAKO!!

    ------------------------------------ Katika dunia ya sasa, kuna ukweli mchungu lakini wa kuvutia sana: watu wengi hawafanyi maamuzi kwa kutumia akili, bali kwa kutumia hisia. Wakati wachache wakitumia busara, wengi hukwama katika mtego wa maamuzi ya kupendeza moyo pekee—na si maamuzi ya...
  20. Mambo yanatambulisha Ujinga wa ki Africa

    1. Mke laZima Kulala ukutani 2. Kukojoa nyuma ya choo 3.ufagio unakaa nyuma ya mlango 4. Kila tajiri ni freemason au alitoka kafara 5.kufulia chupi maji yaliyobaki baada ya kuoga 6 kuisha vyombo kabla ya sufuria 7. Chai chapati 2 ndo sheria 8. Kula supu ya maharage. Maharage Yana supu? 9...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…