ujinga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Kabla hata ya uchaguzi mkuu ufanyika tumeanza kuona madhaifu ya wapinzani?

    Zikiwa zimebaki siku chache tu za kupiga kura za uchaguzi wa Urais , Ubunge na Udiwani , tayari tumeisha anza kusikia mgongano wa vyama vya upinzani. Ni kama vile watoto yatima , Maalim Seif anamshangaa Mgombea Urais wa chama chake upande wa JMt kuwa kwanini anapiga kampeni za kugombea Urais...
  2. JamiiForums Tanzania Huu ni ushabiki au ujinga ?

    Hii siyo stage ya kawaida.
  3. JamiiForums Tanzania GE2020 Tuache Ujinga, Tanzania sio Uingereza

    TUACHE UJINGA, TANZANIA SIYO UINGEREZA! Mwaka 1997 aliyekuwa waziri mkuu wa Uingereza, John Major alishindwa uchaguzi na kupoteza nafasi yake ya kuendelea kuwa waziri mkuu. Inadawia kwamba tangu mwaka 1832 hakuna waziri mkuu wa Uingereza ambaye alishindwa uchaguzi kwa kishindo kama John Major...
  4. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Uchaguzi huu siyo kusema tu "People's power" wala "tumekupa kura zote tayari"; huko ni kutiana ujinga. Uchaguzi ni kusoma makaratasi

    Haya yamejiri jana usiku wa tarehe 6/10/2020 Mlandizi katika semina ya ndani ya viongozi na wagombea ubunge, udiwani na wanachama wa CHADEMA wa majimbo mawili ya uchaguzi Kibaha mjini na vijijini. Kwa ufupi TUNDU LISSU alitoa tahadhari na kufundisha yafuatayo kuhusu namna ya kuushinda uchaguzi...
  5. JamiiForums Tanzania Dini zimechangia kudumaza ufahamu wa mwafrika

    Straight to the topic. Africans wengi wanaamini kwenye dini kuliko chochote kile hapa duniani. Na watu wanaomini kwenye dini wanaamini wapo hapa duniani ili kumuabudu mungu tu na si kingine. Well hapa kwetu africa kuna dini kubwa mbili yaani uislamu na ukristo. Na kwenye hizo dini kubwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…