ujenzi

  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali imekamilisha ujenzi wa jengo la tiba mionzi ya Saratani KCMC kwa bilioni 5

    Wakuu Wizara ya Afya imewekeza Sh5 bilioni katika ujenzi wa jengo jipya la tiba mionzi katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini (KCMC) pamoja na ununuzi wa vifaa tiba vya kisasa. Hatua hii inalenga kuboresha huduma za matibabu ya saratani kwa wakazi wa Kanda ya Kaskazini na maeneo...
  2. JamiiForums Tanzania Harmonize kumalizia ujenzi wa Msikiti ulioanzishwa na Diamond mtwara mwaka 2018 na kuuita 'Masjid Naseeb'

    Msanii wa Bongo Fleva, Harmonize, ametangaza kuwa atamalizia ujenzi wa msikiti ambao Diamond Platnumz aliuanzisha kijijini kwao Mtwara mwaka 2018. Kupitia Insta Story yake, Harmonize amesema kuwa msikiti huo ulianzishwa baada ya wao wawili kujadili umuhimu wa kusaidia jamii na kuwekeza mbele za...
  3. JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Mfano wa "REFORM" ya Rais Samia ni kama hivi anavyowahusisha "PPP" katika ujenzi wa barabara ya Kiberashi mpaka Singida(340kms)

    4R's za mh.Rais Samia zina mawanda mapana sana. REFORM: Huko nyuma hatukuona ujenzi wa barabara zetu wakipewa "PPP-ubia wa sekta binafsi na serikali" zaidi ya hatua za wizara ya uchukuzi(ujenzi)pekee. Mh.Rais Samia amekuja na mikakati hii mipya akiichagiza "REFORM" kwa kuihusisha "PPP" na...
  4. JamiiForums Tanzania RC Mtanda: Awaahidi wafanyabiashara 802 walioondolewa ili kupisha ujenzi wa Soko Kuu la Mwanza kuwa watapewa kipaumbele katika soko

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda, amewaahidi wafanyabiashara 802 walioondolewa ili kupisha ujenzi wa Soko Kuu la Mwanza kuwa watapewa kipaumbele katika soko hilo ili waendelee na biashara zao, kama walivyohakikishiwa na serikali. Mtanda ameyasema hayo alipokutana na wafanyabiashara hao...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Serikali Inaendelea na Ujenzi Barabara ya Amani - Muheza

    RAIS SAMIA: SERIKALI INAENDELEA NA UJENZI BARABARA YA AMANI - MUHEZA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameeleza kuwa Serikali inaendelea na ujenzi wa barabara ya Amani - Muheza (km 40) kwa kiwango cha lami ambapo Serikali inaendelea kutafuta fedha...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia Aweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Barabara ya Bagamoyo - Pangani - Tanga na Daraja la Mto Pangani (M 525)

    RAIS SAMIA AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI BARABARA YA BAGAMOYO - PANGANI - TANGA NA DARAJA LA MTO PANGANI (M 525) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa Barabara ya Bagamoyo (Makurunge) - Pangani - Tanga: sehemu ya Mkange...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 DC Bomboko aagiza kuondolewa mkandarasi anayetekeleza mradi wa ujenzi shule ya Sekondari Saashisha sababu mradi kusuasua

    Mkuu wa wilaya ya Hai, Hassan Bomboko ameagiza kuondolewa kwa mkandarasi anayetekeleza mradi wa ujenzi wa Mabweni, Vyoo na Nyumba ya mwalimu katika shule ya Sekondari Saashisha kwa kile kinachotajwa kushindwa kutekeleza mradi huo unaotajwa kufikia asilimia 75. Mradi huo wenye thamani ya kiasi...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali imetangaza kuanza kwa ujenzi wa barabara ya Soni - Bumbuli - Korogwe kwa kiwango cha lami

    Serikali limetangaza imetangaza kuanza kwa ujenzi wa barabara ya Soni - Bumbuli - Korogwe kwa kiwango cha lami. Ujenzi huo utaanza rasmi baada ya kufunguliwa kwa zabuni ya mkandarasi mnamo Machi 6, 2025, ambapo awamu ya kwanza itahusisha kilomita 20 kutoka Soni hadi Bumbuli, hatua inayotajwa...
  9. JamiiForums Tanzania DED Sumbawanga amtimua fundi kutokana na ubabaishaji usiozingatia viwango vya ujenzi

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Sumbawanga Bi. Pendo Mangali katika ziara yake ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo aliyoifanya Februari 22/2025, ameagiza kuondolewa kazini kwa fundi Yusuph Benias Mgogo na kutafutwa fundi mwingine kutokana na fundi huyo kuwa mbabaishaji na kushindwa kutekeleza majukumu...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tandahimba: Serikali imekamilisha ujenzi wa kituo cha afya cha Maheha kilichogharimu milioni 400

    Baada ya miaka 16 ya kutembea kilomita 40 kutafuta huduma za afya, wananchi wa vijiji vitatu wilayani Tandahimba mkoani Mtwara hatimaye wamepata suluhisho. Kituo cha Afya cha Maheha kilichogharimu shilingi milioni 400 sasa kimeanza kutoa huduma na wananchi wengi hususan wanawake wamejitokeza...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kyela: CCM yasikitishwa kusuasua kwa utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mbeya

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wazazi Taifa Ndg. Fadhil Maganya, amedai kutoridhishwa na utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mbeya, inayogharimu zaidi ya bilioni nne iliyojengwa kata ya Busale wilayani Kyela,na kuwataka Mkuu wa wilaya na Mkurugenzi...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali kuanza ujenzi na ukarabati wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga (Bombo)

    Serikali kupitia Wizara ya Afya imejipanga kuanza ujenzi na ukarabati wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga (Bombo) kwa kuanzia na jengo la wodi ya mama na mtoto kabla ya mwezi Mei mwaka huu, ili kurahisisha upatikanaji wa huduma za uzazi mama na mtoto na kuwa katika muonekano mpya. Kauli hiyo...
  13. JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Rais Samia: Kushindwa kutekeleza ujenzi wa Hotel ya TANAPA Chato

    Mh . Rais Samia, unaendelea vema,japo chato na mkoa wa Geita,tunalala tukilia usiku na mchana,Kila tukiona hotel imeota majani huko jirani na ziwa Victoria. Katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu wa 2025, kuna haja ya kuangazia masuala kadhaa yanayoathiri maendeleo ya Chato na wananchi...
  14. JamiiForums Tanzania Waziri Mhagama Akagua Ujenzi wa Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Handeni

    Waziri Mhagama Akagua Ujenzi wa Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Handeni Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama Februari 22, 2025 amefanya ziara ya kukagua miundombinu pamoja na huduma zinazotolewa katika Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Handeni (Mkata) Mkoani Tanga inayotarajiwa...
  15. JamiiForums Tanzania Ubunifu wa parking na sideways kwa kutumia tiles na pavements blocks

    Ukisikia finishing ni kaburi la pesa basi hapa ni eneo mojawapo Hizo tiles na paving blocks zinauzwa kwa square meter Kisha kuna gharama ya usafiri Halafu kusawazisha na kusindilia vizuri eneo Kuna gharama za zenge, rough cement au mchanga Kuna ufundi Kuna usafi wa kila siku.. Ama kweli kizuri...
  16. JamiiForums Tanzania MWAUWASA: Ujenzi wa matanki ya Maji kwa Wananchi umeanza ili maeneo ya milimani yapate maji kwa uwiano sahihi

    Baada ya hoja za Wanachama kadhaa wa JamiiForums.com kuelezea kuhusu changamoto ya huduma ya maji katika baadhi ya maeneo Jijini Mwanza, ufafanuzi umetolewa na Mamlaka husika... Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Maji na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wananchi Arumeru Magharibi wasema mbunge wao ni mzigo, ameshindwa kutekeleza ahadi ya ujenzi wa barabara

    Wananchi wa Kiranyi wilaya ya Arumeru wamefunga barabara kwa zaidi ya masaa matatu kwa lengo lakufikisha ujumbe kwa serikali, kutokana na ubovu wa barabara hiyo kwa muda mrefu huku wakilaumu MBUNGE wa eneo hilo kuwa mzigo kwa wananchi hao kwakushindwa kutekeleza ahadi yake ya Ujenzi wa Barabara...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 DAWASA inatekeleza ujenzi wa vituo nane (8) vya kisasa vya kuchakata majitaka kwa thamani ya Bilioni 16

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira DAWASA inatekeleza ujenzi wa vituo nane(8) vya kisasa vya kuchakata majitaka/takatope vyenye thamani ya Bilioni 16 katika jiji la Dar Es Salaam ambavyo itasaidia kupunguza gharama za kuzoa majitaka kutokana na ufinyu wa maeneo ya kuyahifadhi...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali yatoa bilioni 2.5 kuendeleza ujenzi hospitali ya Dtk. Samia Muheza

    Serikali imeipatia hospital ya Dkt Samia Suluhu Hassan iliyopo wilayani Muheza kiasi cha sh. 2,570,164,000 fedha kuendeleza ujenzi wa hospitali hiyo pamoja na ununuzi wa vifaa tiba. Akikabidhi sehemu ya vifaa tiba vilivyotolewa na serikali Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Shinyanga: Ujenzi wa zahanati ambayo haujakamilika tangu 2012, wananchi waililia serikali ikamilishe ujenzi huo

    Wakazi wa Kijiji cha Bushimani kata ya Chambo Wilayani Kahama mkoani Shinyanga wameiomba Serikali kukamilisha ujenzi wa Boma la Zahanati walilolijenga kwa nguvu zao mwaka 2012 ili kuwaondolea adha ya kufuata huduma za Matibabu umbali wa kilomita 10. Veronica Michael na Elizabeth Mabula ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…