uislam na ukristo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fascinating

    Huyu Mchungaji, anafanya uchochezi au anatimiza wajibu wake kiimani?

    Wakuu nimekuta na hii video sehemu, Mchungaji anawasimanga vijana na kuna mahala anaenda mbali zaidi mpaka kusema Vijana hawezi hata kudai haki, wakipewa Elfu 5 tu wavaa T-shirt. Hii mijadala ya dini na siasa imekuwa yakawaida sana hivi karibuni na mpaka wa Viongozi wa dini kuonekana wanafanya...
  2. Chizi Maarifa

    Historia Yangu yenye kujaa ukakasi na uhusiano wangu na Member huyu wa JF

    Nimezaliwa mwaka 1970, na kupata Elimu yangu ya Msingi hapa hapa Dar Es Salaam na Sekondary Nje ya Dar Es Salaam katika shule zinazomilikiwa na Makafir. Kiukweli ilikuwa changamoto kidogo kutokana na Mzee wangu kuwa ni mtu anayeshika sana Dini. Kwa wale watu walioishi Kimanga, Mji Mpya...
  3. H

    Kama Uislam/Quran na Ukristo/Biblia vingekuwa vya thamani wazungu na waarabu wasingevileta kwa Waafrika na wangeenda wao mbinguni kwanza

    Habarini, Ni kiasi cha kufikiri kidogo tu na wala haihitaji nguvu nyingi au muda mwingi juu ya ukweli. Kama waarabu wanatuuzia mafuta kwa bei kubwa na waliwauza WAAFRIKA kama bidhaa hivi kweli mtu mwenye akili zako unaweza kusimama na kupiga kelele kuwa watakupeleka mbinguni? Kama wazungu...
  4. H

    Je, bado kuna Waafrika wenye akili wanaoamini kuwa Uislam na Ukristo ndiyo dini za kweli za Mungu?

    Habarini, Mwafrika yoyote aliyesoma kweli na kujitambua lazima keshaelewa kuwa uislama na ukristo ni uongo kulingana na malengo na hasara zake kwa waafrika ikiwepo kupiteza asili na utamaduni wa Waafrika wa ukweli ktk kuabudu na kuamini. Hivi kweli inawezekanaje mtu amesoma kuanzia la kwanza...
  5. Hamissi Hamza Jr

    Uislam na Ukristo (Monotheism) havina nuru

    Sipo Hapa Kubeza,Kukashifu au Kutweza Dini Au Imani ya Mtu yeyote", Hivyo Tafadhari Wazee wa kuita Wengine Wapinga kristo Au Makafiri Mpite Mbali Huu Uzi Hauwahusu". Sina Shaka Na Uwepo Mungu Kwa Uelewa Wangu wa Kupembua Mambo Nimejiridhisha Na Kuthibitisha Uwepo Wa Mungu". Ila Kwa Miaka 23 Ya...
  6. SIPENDI SIASA

    Middle East kuna dini kuu tatu (Christianity, Islam na Jews). Kwanini Uislam na Ukristo uliletwa Africa na sio Uyahudi?? What went wrong with Jews?

    Middle East kuna dini kuu tatu (Christianity, Islam na Jews). Kwanini Uislam na Ukristo uliletwa Africa na sio Uyahudi?? What went wrong with Jews??.. ~ SIPENDI SIASA ~
  7. Mhaya

    Ukristo na Uislamu ni Dini mbili zisizofanana kabisa

    Labda hii watu hawajui. Leo si tunazungumzia dini zetu, let's go. Kuna tofauti ya watu walioandikwa kwenye Biblia na Koran, hilo kwanza ulijue. Ibrahim unayemsoma kwenye Biblia si Ibrahim unayemsoma kwenye Koran. Ibrahim wa kwenye Biblia baba yake anaitwa Terah ila wa kwenye Koran anaitwa...
  8. Imole

    Waafrika tujitambue kwenye hizi dini Uislam na Ukristo

    Waafrika dini zetu kuu ni 2, Uislam na Ukristo. Japo dini mbili hizi zinatofautiana ila misingi yake mikuu ni kuleta amani na upendo baina ya watu na si vingine. So kimsingi mifumo yetu ya kiibada ni tofauti ila sababu ya ibada zetu ni kumjua Mungu na kuhubiri amani na upendo baina yetu sisi...
  9. R

    Aliye mfano wa mwanadamu aketiye katika Kiti cha enzi Mbinguni ni nani?

    Salaam, shalom!! ( Isaya 6:1-10), Mwanzo 1:26-28). (Matendo 9:4) Maandiko ya atwambia Mbingu na Dunia zimejaa utukufu wa Mungu, hii inamaanisha Mungu yupo everywhere. Hapo hapo maandiko yanatwambia kuwa, Mbinguni kipo KITI Cha enzi, na aketiye katika KITI Cha enzi ana mfano wa mwanadamu. Ni...
  10. M

    Kuna nini dini hizi mbili kung'ang'ania kuwa mtu wao ndiye aliyetolewa sadaka ya kuchinjwa?

    wakati Waislamu wanadai nabii Ishmael ndiye aliyetolewa sadaka ya kuchinjwa na nabii Ibrahimu wakristo Kwa upande wao Isaka ndiye aliyetolewa kuchinjwa Kwa mujibu wa Biblia Takatifu. Mvutano na utafauti wa Msahafu na Biblia juu ya nani alitolewa kuchinjwa una tija Gani Kwa waamini wa pande hizi...
Back
Top Bottom