uishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Matumizi sahihi ya JF yanaweza kukufanya uishi maisha swadakta!

    JF nimejiunga miaka 12 ilopita. Japo sionekani sana kwa sasa ila ni sababu ya JF yenyewe imesababisha haya. Kupitia jukwaa hili nimevuna nilicho panda kwa wanajamii wenzangu. Kupitia JF mimi nipo kama nilivyo sasa. Napenda kusema Chochote nacho miliki,chochote nacho fanya na ajira yangu ya...
  2. Jinsi ya kutokuwa Mtumwa wa Mitandao ya Kijamii na Uishi Maisha ya Furaha

    Upweke ni tatizo kubwa hususani vijana, unashangaa upo online masaa 24 kwenye mitandao ya kijamii. Lakini... Huna muda wala ukaribu na mtu wa karibu yako pengine majirani zako, kwa kisingizio unaishi maisha yako hivyo wasikufate fuate, Kumbuka maisha bila watu hayana ladha. Mitandao ya...
  3. Jikumbushe Haya 9 Wakati Unaishi Na Mwanamke, Ili Uishi Kwa Amani.

    Kuishi na mwanamke inapaswa iwe raha. Ukiona huna raha kuishi naye, tambua kuna sehemu umeyumba. Kosa kubwa wengi hufanya ni kuishi na mwanamke anayemtesa sababu anaogopa kumuacha. Anaogopa kuanza upya kutafuta mwanamke mwingine. Anaona aishi na huyo hivyo hivyo tu, maisha yasonge. Lakini tambua...
  4. Maisha matamu, tongoza anayeonesha dalili za kukuelewa achana na mamba uishi maisha marefu

    Salaam JF, Mwanamke sio sanamu bali ni binadamu, hivyo wanaume acheni uduni wa fikra usijichoshe. Tongoza mwanamke mwenye dalili zote za kuvutiwa na wewe. Kwa uchache tu pokeeni huu ujumbe. Wadiz
  5. Faida ni bora kuliko mshahara. Mshahara utakufanya uishi tu, lakini faida inaweza kukufanya uwe tajiri

    Habari waungwana, Ukiwa mwelewa na kuacha ubishi haya maneno yanaweza kubadilisha maisha yako kabisa. Siandiki maneno haya ili kukuonyesha kwamba mimi ni tajiri sana hapana. Naweza kuwa sina chochote lakini bado nikaandika kitu ambacho kitakufanya kesho uwe mtu mkubwa sana hapa duniani. Wapo...
  6. K

    Mke wangu kipenzi changu rafiki yangu ndugu Dada na mfariji wangu uishi miaka mingi

    Leo ngoja nikusifie mtoto wa kipare, tulianza mahusiano nikiwa chuo mwaka wa mwisho nikiwa chembamba cheusi sivutii nani angenitamani kipindi kile mtoto wa watu kigori cheupe kifupi kinene nilipokutongoza ukanikubalia thax mama be blessed my dear. Nikapata kazi baada ya chuo tukawa pamoja...
  7. Wanadamu sijui uishi vipi

    Mna hero wakuu na si laana. Moja kwa moja kwny mada Nipo mkoani Kagera kikazi wilaya naomba nisitaje sasa ni miezi 5 Uzuri nilipofka huku kuna dogo langu mmoja ni askali huku kwahiyo ndo alinipokea na kunitafutia room Aliponitafutia room nilimkuta jamaa mmoja na mkewe na vitoto vidogo vitatu...
  8. Uongo haukwepeki ili uishi vizuri

    Ukiwa na dingi mkali au mbabe, huyu lazima umdanganye, hakuna namna Ili umnase demu lazima utupie uongo Walimu wanoko, dawa yao uongo tu. Hata kanisani wengi ni waongo na wanafiki, nyuma wameficha ukweli mchungu Na sehemu nyingi, uongo haukwepeki Uongo ni sehemu ya maisha yetu. Ukweli...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…