uhuru

  1. JamiiForums Tanzania Pesa, Uhuru, Muda, Furaha, na Maana ya Maisha Ndio Utajiri wa Kweli.

    Je, unakubaliana naye?
  2. JamiiForums Tanzania CCM Msitufanye Shamba la Bibi: JamiiForums Sio Mali Yenu, Ni Uhuru Wetu wa Kikatiba

    Hivi jamani, kila siku CCM mnadhani hii nchi ni mali yenu? Kila mtu akisema kitu against serikali, mara ohh kufungia, mara ohh kuzima.! Hivi mnaona Watanzania wote ni ma-idiot wa kufuata tu mnavyoamuru? Jamii Forums siyo mali ya mtu binafsi, ni jukwaa la wananchi. Ni platform ya maoni, freedom...
  3. JamiiForums Tanzania Kufungiwa kwa JF ila utashangaa wale chawa nao wakaja wanatumia VPN kueleza mama kaachia uhuru

    Hii nchi kuna watu akili hawana hawa chiembe ChoiceVariable Tlaatlaah na Lucas Mwashambwa usije shangaa baada ya mda wanakuja na nyuzi zao kusifu CCm. Kama mnabisha subiri mjionee na wao wanatumia VPN
  4. JamiiForums Tanzania Uhuru wa wengine ni uhuru wetu. Tukinyamaza hata humu JF ipo siku. Ndio Maana Watibeli tunahangaika. Walianza CDM wameingia CCM. Who's next.

    Habari za Sabato! Mbinu rahisi ya kuwafanya watu watumwa ni kuwafanya waone Uhuru wa wengine hauwahusu. Kuona kuonewa kwa wengine ni juu yao, ilimradi wao wapo salama basi, wengine wakionewa haiwahusu. Hiyo inaitwa Divide and Rule technique. Hakuna jamii rahisi kuitawala na kuifanya watumwa...
  5. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia akiapishwa Urais aongoze nchi bila kuwabembeleza Watanzania wala kuwapa Uhuru Uliopitiliza

    Ndugu zangu Watanzania, Sisi watanzania ni watu wa ajabu sana ,ni watu wa kushangaza sana ,ni watu ambao tupo tofauti sana na watu wengine. Watanzania ni watu ambao ukiwapa uhuru wa jambo fulani unakuwa umeharibu kabisa. Kwa sababu watatumia uhuru huo na kukuchukulia wewe uliyewapa uhuru huo...
  6. JamiiForums Tanzania CCM mkubali tu:- Ukweli, Haki na Uhuru lazima vitafutwe

    Kwa sasa nchi ipo kwenye sitofahamu, Kila kiongozi anajinasibu yuko sahihi, swali wanataka kutupeleka wapi, tuko wapi na tunaelekea wapi? 1; Nikimuuliza comrade Kikwete nani ametufikisha hapa atajibu nini?? 2: Nikimuuliza Mh Samia tuko wapi na unataka kutupeleka wapi je utakuwa na jibu!! 3: Hoja...
  7. JamiiForums Tanzania Clouds Maktaba Kutafuta Chanzo Cha Harakati za Uhuru

    EMMANUEL SHONDE WA CLOUDS AMEFIKA MAKTABA KUTAFITI CHANZO CHA HARAKATI ZA UHURU WA TANGANYIKA Kijana Emmanuel wa Clouds leo asubuhi kaniweka kitako akinipiga maswali na kunihoji kuhusu historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika. Emmanuel kasukumwa kuja kunihoji baada ya kusoma kitabu cha Abdul...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ina uhuru na inatajirisha lakini watoto wetu tunawaombea waje kuajiriwa wavae na tai, stress za biashara si mchezo

    Hatuwazungumzii wale wafanyabiashara waliopo angani na helikopta zao, hao ni kwenye ligi ya mbali kabisa. Tunazungumzia kundi kubwa la wafanyabiashara wenye maduka, walioko mtaani, masokoni, n.k. ni pirika-pirika Kuamka alfajiri kurudi usiku daily labda ujipe ka off jumapili Hatuzijui sikukuu...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania waleo hwafuatilii taarifa za habari kwenye tv au redio au kununua na kusoma magazeti. Unajua sababu;?

    Awamu hii naona vyombo vya habari kama vile magazeti redio na tv vinaandika na kutangaza habari ambazo zingepaswa kuandikwa au kutangazwa na vyombo vya habari vya serikali au Chama tawala. Vyote vimekuwa kama vipaza sauti au wasemaji wa serikali. Hata habari na vichwa vya habari kwenye...
  10. JamiiForums Tanzania INEC yamjibu Polepole, yasisitiza uhuru wa mifumo yake ya uchaguzi

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania (INEC) imekanusha vikali madai yaliyotolewa naaliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, ambaye pia ni kada Chama Cha Mapinduzi (CCM), aliyejitokeza hivi karibuni kukosoa mamlaka. Polepole, katika mazungumzo yake yaliyofanyika usiku wa...
  11. JamiiForums Tanzania Kabla ya kudharau wabunge wa darasa la saba ebu tuangalie mchango wa wabunge wasomi wa Tanzania tangu nchi ijipatie uhuru wake .

    Watanzania Wengi Ambao wanadharau wabunge , naomba watupe mchango wa wabunge ambao wamesoma wamelifanyia nini Taifa la Tanganyika.
  12. G

    JamiiForums Tanzania Kuboresha miundombinu mazingira gerezani hakuondoi kiu mfungwa kuwa huru , maendeleo makubwa ya kwanza yaliletwa na wakoloni lakini tulidai uhuru

    Watawala wengi wanashindwa kulielewa hili Makuburu walijenga miji mkubwa Sauth lakini bado walikataliwa Gadafi aliwapa Hadi huduma bure lakini alishindwa kujua wakati wa kuwapa uhuru wakamtoa
  13. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM na Uhamiaji miaka 60 ya Uhuru wanashindwa kutengeneza passport , bila shaka hatuwezi kupata maendeleo CCM ikiendelea kuwa madarakani

    Wadau, Ni msiba mzito kwa Tanzania kuwa CCM priority yake ni kupambana kuendelea kuwa madarakani kwa gharama yoyote ikiwemo kupokea pesa chafu kutoka kwa watu ambao wakati mwingine inawaita mafisadi, kuua, kuteka na kulawiti wale wanaopingana nayo kwa hoja , yote hayo inaweza kuyafanya...
  14. JamiiForums Tanzania Je, wajua kila Agosti 15 kila mwaka taifa la Congo Brazzaville inasherehekea siku uhuru waliopata mwaka 1960?

    Wakuu ==== Mwaka 1960, Congo-Brazzaville ilipata uhuru kutoka kwa Ufaransa na kupitisha jina la ‘Jamhuri ya Congo’ ambapo Fulbert Youlou alikuwa Rais wake wa kwanza. Mnamo Agosti 15, 1960, Jamhuri ya Kongo, inayojulikana pia kama Congo-Brazzaville, ilipata uhuru wake kutoka kwa Ufaransa...
  15. JamiiForums Tanzania Mwenge wa Uhuru unahifadhiwa wapi baada ya kutembezwa?

    Habari za muda huu wanajamvi, Naomba msaada kwa anayejua wapi mwenge wa uhuru unapohifadhiwa baada ya mbio za mwenge. Mwanangu wa shule ya msingi alinipiga hili swali jana nikawa napepesa macho tu, shuleni kwao wapo katika topic inayohusiana na mambo ya uhuru wa Tanzania pamoja na mwenge wa...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Demokrasia ni uhuru wa watu ambao haupo duniani kote

    Huwezi kuwa na mfumo wa demokrasia kwenye mfumo wa ubebali au ubeberu,ni nchi gani hiyo uingereza,urusi,marekani,ujeruman,nk? Kiuhalisia nchi zote duniani zinafuata mifumo ya kidini ambayo huitaji pesa tu na si vinginevyo Ukiondoa mifumo ya ubebari,ubeberu na dini utabakiwa na mfumo wa UJAMAA...
  17. JamiiForums Tanzania Burundi: Miaka 63 ya uhuru marais 13

  18. M

    JamiiForums Tanzania Family time ya kiafrika ni baba asiwepo ndio watoto wanakuwa huru, Baba ukiwepo akijumuika kunakuwa hakuna uhuru

    Kwa asili yetu waafrika wengi baba anafaa zaidi kwenye mijumuiko inayohitaji maamuzi na kuonekana kama kichwa mfano kwenye vikao, misiba, sherehe, kuitetea familia kwenye hatari, n.k. Mama ndie anaonekana kufaa zaidi kwenye family time iwe ni kukaa pamoja sebuleni, kula pamoja, kwenda out...
  19. JamiiForums Tanzania Masheikh Wanasiasa Wazalendo Walipigania Uhuru wa Tanganyika

    MASHEIKH WANASIASA WAZALENDO WALIOPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA Historia ya Waislam waliopigania uhuru wa Tanganyika ukisoma maisha yao utawakuta masheikh ambao wao usomeshaji wa dini iliku wa ndiyo jukumu lao kuu mfano wa Mufti Sheikh Hassan bin Ameir, Sheikh Yusuf Badi (Lindi) na Sheikh Mohamed...
  20. JamiiForums Tanzania Tanzania yaunga mkono uhuru wa chakula katika mkutano wa unfss+4 jijini Addis Ababa

    TANZANIA YAUNGA MKONO UHURU WA CHAKULA KATIKA MKUTANO WA UNFSS+4 JIJINI ADDIS ABABA Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), ameongoza ujumbe wa Tanzania katika mkutano wa ngazi ya Mawaziri uliofanyika tarehe 29 Julai 2025, jijini Addis...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…