uhuru

  1. JamiiForums Tanzania Juzi ijumaa uchambuzi wa mradi mkubwa wa reli ya kisasa kwenye gazeti la uhuru

    📌KUTOKA KUIKUTA IKIJENGWA VIPANDE VIWILI, LEO CHINI YA RAIS SAMIA SGR VIPANDE VYOTE 6 VINAJENGWA NA WANANCHI WAMEANZA KUPATA HUDUMA. Na Bwanku M Bwanku. Juzi Ijumaa Septemba 11, 2026 kwenye Gazeti namba moja kwa ukongwe Tanzania, Gazeti la Uhuru ukurasa wa 14 kuna makala ya Ndugu Bwanku M...
  2. JamiiForums Tanzania Simba SC VS Might Wanderers | CAFCL - Kufuzu Round 1 | Uhuru Stadium | 13.09.2026

    Klabu ya Simba inashuka dimbani leo kukipiga dhidi ya Mighty Wanderers katika mchezo wa CAF Champions League wa Kufuzu Round 1 utakaochezwa Uwanja wa Uhuru saa 10:00 jioni. Simba SC imeanza safari yake ya CAF Champions League kwa ushindi muhimu ugenini na sasa Wekundu wa Msimbazi wanarejea...
  3. JamiiForums Tanzania Lawi Nangwanda Sijaona na Harakati za Kupigania Uhuru wa Tanganyika Akitokea Kijijini

    https://youtu.be/yqK9MbgWEuo 🔥 SIRI YA LAWI NANGWANDA SIJAONA: KADI YA TANU YA 1955, NYARAKA ZA AFRICAN ASSOCIATION NA BARUA YA KUMWANDIKIA NYERERE! Je, unajua kuwa Lawi Nangwanda Sijaona alikuwa miongoni mwa watu waliokuwa kwenye harakati za TAA (Tanganyika African Association) na baadaye...
  4. JamiiForums Tanzania Uhuru wa Mahakama Haulindwi kwa Maneno, Bali kwa Muundo: Kwanini Kauli ya kikatiba kwamba "Mahakama ni huru", bila muundo bora ni Udhaifu mkubwa..?

    Karibu kila Katiba duniani inasema "Mahakama ni huru." Ni sentensi rahisi kuandika, lakini historia imeonyesha mara nyingi kwamba sentensi hiyo peke yake haitoshi. Uhuru wa kweli wa Mahakama haupimwi kwa maneno ya utangulizi, unapimwa kwa maswali magumu zaidi: nani anateua Majaji, kwa muda gani...
  5. JamiiForums Tanzania Asili Halisi ya Mwenge wa Uhuru: Siri Yafichuka

    Wengi wetu tumebahatika aidha kushiriki au hata kuchangia mbio za Mwenge wa uhuru wa Tanganyia (Tanzania), lakini ni wangapi kati yetu tunajuwa asili haswa ya huo Mwenge!? Ipo siri kubwa kuhusu Mwenge wa Uhuru ambao hukimbizwa nchi nzima. Wapo wanaodhani kwamba aliyeleta mabadiliko katika nchi...
  6. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Marasta ni wapigania Uhuru, nafuata nyayo za mashujaa

    Rastas ni freedom fighters. Waammbie wasikilize Bob watajua kwanini nina rasta. Na wasome Historia ya Maumau. Tunafuata nyayo za Dedan Kimathi nyayo za mashujaa, sio za wanaopokea vipande thelathini vya fedha. Mau Mau walikiiwa ni vuguvugu la kupinga ukoloni wa Uingereza nchini Kenya, hasa...
  7. JamiiForums Tanzania Africa tungepewa uhuru kwa makabila badala ya mataifa bandia tungekuaje leo hii ?

    Katika jambo baya sana wakoloni walilotufanyia Africa ilikuwa ni kugawa bara la Africa mezani katika vipande mbalimbali bandia walivyoviita nchi. Hili ni jambo ambalo limewatesa sana Waafrika baada ya wakoloni kuondoka. Mataifa yetu yalipaswa yapatikana kwa mchakato wa asili wa sisi wenyewe...
  8. JamiiForums Tanzania Uhuru wa Habari Tanzania: Lisemwalo Lipo!, Baada ya Kilichosemwa Kutokea Kweli, Gazeti la Mwanahalisi Lipongezwe Kuibua Ukweli Fiche?, Lisamehewe au?

    Wanabodi, Hili ni bandiko la swali kuhusu Uhuru wa Habari Tanzania, baada ya kutokea Lisemwalo Lipo!, kwa Kilichosemwa Kutokea Kweli, Je Gazeti la Mwanahalisi lipongezwe kuibua ukweli fiche?, lisamehewe au liendelee tuu kubananishwa?, kwasababu ni kweli habari yao hata kama ni kweli, lakini...
  9. JamiiForums Tanzania Pongezi Kube, Mwanahalisi Kwa Ukweli Huu, Mashujaa wa Habari, CoRI, Teteeni Uhuru wa Habari kwa Utetezi wa Kweli na Sio Utetezi wa Kupiga Tuu Kelele!.

    Wanabodi, Hii ni Makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo, kwanza nitoe pongezi kwa mwandishi wa habari, Saed Kubenea na gazeti lake la Mwanahalisi kwa kuripoti ukweli bayana wa kitu cha kweli. Kubenea na Mwanahali watangazwe ni Mashujaa wa Habari, nimeitaka CoRI, kutetea uhuru wa habari...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Endapo Nchimbi atatakiwa kuachia Umakamu, tutumie fursa hii kuchochea Uhuru wa Tanganyika.

    Tukio hili litakuwa tukio la aina yake na ni fursa ya kipekee kudai uhuru wa Tanganyika kama nchi Huru. Tuitumie hii fursa kufanya kampeni ya ghafla kuhamasisha Utaifa wa Tanganyika, kufufua Bendera ya Tanganyika na hata kuandaa Waraka wa uhuru na Rasimu ya katiba ya Tanganyika
  11. JamiiForums Tanzania Itakuwa ndio mara ya kwanza tangu tupate uhuru makamu wa Rais kutolewa madarakani,CCM ijitafakari sana, siasa zao sasa hazilijengi Taifa.

    Yote hii ni matakwa ya watu watano tu chamani yatimizwe, CCM yote kwa sasa iko kwa watu watano tu!na sio timu tena! Wengine wote wanaburuzwa tu, hawana cha kuamua wala chakulaani, ni watu wanao pewa maamuzi tu na sio kuyajadili kwa pamoja, mnatamani mshauri lakini hamna huo huwezi na hakuna...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Upi msimamo wa Mtume Muhammad katika kesi kubwa KAMA YA LISSU?

    Leo ni siku ya kuzaliwa mtume Muhammad S. A.W,kiongozi wa kiislamu. Tutaangazia kidogo kuhusu msimamo wa Mtume Muhammad ktk swala la kutoa haki ktk vyombo vya mahakama. Upi ulikuwa msimamo wake na vipi jamii ameiasa. Hapa siingilii mahakama maamuzi tunachambua jinsi ya mtume Muhammad...
  13. JamiiForums Tanzania Tangu tupate uhuru, Tundu Lissu ndio atakuwa Mwanasiasa wa kwanza Kunyongwa kwa ajili demokrasia ya taifa lake

    Hakuna mwingine ambae alishaandika historia kama ya Tundu Lissu. Kusingiziwa kesi isiyo na mashiko wala mbele. Kama watamtia hatiani atakuwa Mwanasiasa wa kwanza kumwaga damu yake kwa ajili ya demokrasia ya taifa lake.
  14. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania ‘Sitaki Kuitwa Sponsor’: Uhuru Akanusha Madai ya Kufadhili Upinzani Kuelekea 2027

    Aliyekuwa Rais Uhuru Kenyatta amekanusha madai kwamba anafadhili viongozi wa upinzani wanaojiandaa kumpinga Rais William Ruto katika Uchaguzi Mkuu wa 2027, akisisitiza kuwa uamuzi wa nani ataongoza Kenya uko mikononi mwa wananchi. Akizungumza Kitale wakati wa kumbukumbu ya aliyekuwa Makamu wa...
  15. JamiiForums Tanzania Je, mwanadamu anayo tena uhuru wa kuchagua (free will) au kila kitu kimepangwa?

    Niko hapa kujifunza Zaidi.
  16. JamiiForums Tanzania Tilisho na Wafanyabiashara wote, waungeni Mkono CHADEMA mfanye biashara kwa uhuru

    CCM na Serikali yake washakata pumzi. Wana CCM wanategemea kula kupitia kwenu. Nawashawishi Wafanyabiashara wote Tanzania kuiunga Mkono CHADEMA. Watanzania tushikamane tusaidiane CHADEMA ili tujikomboe. Vinginevyo kila mtu atafikiwa kwa wakati wake. Mambo ya pingu mlikuwa mkicheka mkiona...
  17. B

    JamiiForums Tanzania MADA MOTO : Uhuru wa Wanataaluma Barani Afrika | Intellectual Freedom and Future of African Universities

    14 August 2026 University of Dar es Salaam UDSM Tanzania Hatma, Uhuru wa Wanataaluma Barani Afrika | Intellectual Freedom and Future of African Universities https://m.youtube.com/watch?v=6VQIiwLieKc wanataaluma wa chuo hicho kimeaandaa mazungumza juu ya hatma ya uhuru wa wanataaluma barani...
  18. JamiiForums Tanzania Barua ya Mahakama Kuu Yazua Mjadala: Je, Katazo kwa Mawakili Linakiuka Uhuru wa Kujieleza Chini ya Ibara ya 18 na Kuvunja Ibara nyinginezo za Katiba?

    Mahakama Kuu ya Tanzania, kupitia barua iliyotolewa na Msajili wake C.M. Tengwa tarehe 12 Agosti 2026, imewaelekeza mawakili nchini kuepuka kuzungumza na vyombo vya habari katika maeneo ya mahakama mara baada ya mashauri kuahirishwa. Maelekezo hayo, yanayotegemea Kanuni ya 137 ya Kanuni za...
  19. O

    JamiiForums Tanzania Mradi wa maji wa Milioni 585 wazinduliwa na mwenge wa uhuru

    Mradi wa maji wa Sh585 milioni wazinduliwa na mwenge wa uhuru MWENGE wa Uhuru umezindua rasmi Mradi wa Ujenzi wa Mtambo wa Kuchuja Maji Igombe–Kabangaja, jijini Mwanza, uliyojengwa kwa gharama ya Sh585 milioni, unaolenga kuongeza upatikanaji wa maji safi na salama kwa wananchi wa maeneo hayo...
  20. JamiiForums Tanzania Tanzania Nchi Iliyosahau Mashujaa Wake: Kumbukumbu ya TANU na Uhuru wa Tanganyika

    https://youtu.be/ZgzpXeu9eRY?si=HgH6XfcePFIMrxuI
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…