uhuru wa tanganyika

Gabriel Ruhumbika (born 1938) is a Tanzanian novelist, short story writer, translator and academic. His first novel, Village in Uhuru, was published in 1969. He has written several subsequent novels in Swahili. He has also taught literature at a number of universities, and is currently a professor of Comparative Literature at the University of Georgia in the USA.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Endapo Nchimbi atatakiwa kuachia Umakamu, tutumie fursa hii kuchochea Uhuru wa Tanganyika.

    Tukio hili litakuwa tukio la aina yake na ni fursa ya kipekee kudai uhuru wa Tanganyika kama nchi Huru. Tuitumie hii fursa kufanya kampeni ya ghafla kuhamasisha Utaifa wa Tanganyika, kufufua Bendera ya Tanganyika na hata kuandaa Waraka wa uhuru na Rasimu ya katiba ya Tanganyika
  2. JamiiForums Tanzania Tanzania Nchi Iliyosahau Mashujaa Wake: Kumbukumbu ya TANU na Uhuru wa Tanganyika

    https://youtu.be/ZgzpXeu9eRY?si=HgH6XfcePFIMrxuI
  3. JamiiForums Tanzania Filamu ya Maisha ya Julius Nyerere Wakati wa Kupigania Uhuru wa Tanganyika

    Mchapishaji huyo, baada ya kuuona mswada (manuscript) wa kitabu cha historia ya harakati za uhuru ambacho Mohamed Said alikuwa amekiandika, alimwambia: "...unajua kama wewe umekalia neno la tumia alisema gold m yaani umekalia mgodi wa dhahabu". Maelezo ya ziada kuhusu nukuu hii ni kama...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kumekucha! Vijana wa gen-z wanapigania sana Tanganyika. Safari hii vipeperushi ni vya kudai uhuru wa tanganyika

    Kuzuia Chadema kushiriki uchaguzi October 29, ilikuwa ni kosa kubwa sana, na ni kosa litakalo wagharimu Wazanzibari na CCM. Ni suala la muda kabla ya Watanganyika kuchoka kuishi na Wazanzibari. G-55 walianzisha vuguvugu la serikali ya Tanganyika bungeni, Gen-Z wanalianzisha Mashinani...
  5. JamiiForums Tanzania Historia ya Uhuru wa Tanganyika

    Mwaka 1933, kutokana na hofu kuwa African Association ilionekana kuwa na sura ya Kiislamu pekee, waasisi waliamua kutenganisha dini na siasa ili kuwavutia Wakristo. Mzee Bin Sudi na Kleist Sykes walisema: "tuanzishe taasisi nyingine ili tuiondoe Uislamu ndani ya African Association". Jambo hili...
  6. JamiiForums Tanzania Siku ya Mashujaa: Dome Okochi Budohi Mkenya Katika Harakati za Kupigania Uhuru wa Tanganyika

    Kuhusu Dome Okochi Budohi (Mkenya aliyepigania Tanganyika) Mchango wake katika TANU: "Dome Okochi Budohi... kadi yake ya tano... ni mtu alikuwa anajua kila siku na mimi nimepata mengi... amekamatwa katika ardhi ya Tanganyika wakati akifanya harakati za tano." Kukamatwa na kuteswa: "Nimemuona...
  7. JamiiForums Tanzania Kanisa halikupigania kabisa uhuru wa Tanganyika?

    Kuna watu kama Mohamed Said ambao wana mtizamo kuwa historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika imepotoshwa kwa kuwa mchango wa waislam hauelezewi kwa kina. Lakini labda ipo pia historia iliyoachwa kuonesha mchango wa kanisa kwenye kupigania uhuru wa Tanganyika. Jee Kanisa halina mchango wowote...
  8. JamiiForums Tanzania Siku ya Mashujaa: Dome Okochi Budohi Mkenya Katika Harakati za Kupigania Uhuru wa Tanganyika

    https://youtu.be/TFgNAKhXvkA?si=yZRkLlA-39W6CCjA
  9. JamiiForums Tanzania Kama Hujui Waulize Wanaojua: Historia ya Kupigania Uhuru wa Tanganyika

    Mchango wa Sheikh Hassan bin Amir: Mohamed Said anaeleza kuwa Sheikh Hassan bin Amir, aliyekuwa Mufti wa Tanganyika miaka ya 1950 na 1960, alikuwa na mchango mkubwa kwa kuuza kadi za TANU ndani ya msikiti na kuhamasisha Waislamu kumuunga mkono Mwalimu Nyerere ili kuikomboa nchi kutoka kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Kama Nisingeandika Historia ya TANU na Uhuru wa Tanganyika Kurekebisha Historia Iliyokuwapo Leo Tungebakia na Historia Gani?

    Mwisho wa juma lililopita nilifanyiwa mahojiano na Online TV moja inayojikita kwa vijana. Mwisho wa mahojiano mtangazaji alinirushia swali lakini kwanza akanitahadharisha kuwa swali hilo ni langu binafsi. Swali nililoulizwa ni hili: "Nina maoni gani kuhusu shutuma kwa baadhi ya wasomaji wa...
  11. JamiiForums Tanzania Ally Sykes na Nyaraka za Harakati za Kupigania Uhuru wa Tanganyika

    Nimeiona picha ambayo nilipiga na Ally Sykes Muthaiga Club Nairobi mwaka wa 1989. Miaka 37 imepita. Ally Sykes amefariki miaka 13 iliyopita. Bwana Ally alikuwa rafiki yangu na baba yangu lakini pia alikuwa mwalimu wangu yote kwa pamoja. Hii picha nilipiga na camera ya bei rahisi sana mfano wa...
  12. JamiiForums Tanzania Uhuru wa Tanganyika uzungumzii waliofikisha ila unazungumzia Nyerere na Zanzibar swala Mapinduzi umzungumzii John Okello.Kwa nini?

    Kuna mzee hapa JF ni mzee wetu ana mchango mkubwa wa kutupa historia ya uhuru wa tanganyika na waliofikisha naombeni mtag. Ila kwa kuwa ndio wajanja wakatumia njia hiyo kuonesha wao hakuna utofauti kama ule wa mzee shayo na koyi mzungu. Ukija Zanzibar kuna jamaa alikwenda kufanya kipindi...
  13. JamiiForums Tanzania Jengo la Al Jamiatul Islammiya fi Tanganyika ni Alama ya Historia ya Kupigania Uhuru wa Tanganyika

    https://youtu.be/4Azi52gW5U8?si=Ir7sExLBDoRqPSd-
  14. JamiiForums Tanzania Kutoka Maktaba: Picha Adimu Hazikupata Kuwepo za Historia ya Uhuru wa Tanganyika

    Mkutano wa ndani wa TANU nyumbani kwa Ali Msham Mtaa wa Jaribu Magomeni Mapipa miaka ya mwanzoni 1950 Fatilia ukurusa huu In Shaa Allah nitaweka picha zaidi kila nipatapo nafasi. Tumia picha upendavyo hazina hati miliki. Picha hii ilipigwa 1942 wakati Abdul Sykes alipokuja Dar es Salaam...
  15. JamiiForums Tanzania Makosa SUGU Katika Historia ya Uhuru wa Tanganyika

    https://youtu.be/XPUzrHfjH2s
  16. JamiiForums Tanzania Jiwe la Kumbukumbu la Nyumba Aliyolala Mwalimu Nyerere Ujiji 1954 Wakati wa Kupigania Uhuru wa Tanganyika

    https://youtu.be/zZS4uioW6_g
  17. JamiiForums Tanzania Taazia ya Brendon Grimshaw (sunday news 1968) mchango wa Abdul Sykes na ukoo wa Sykes katika uhuru wa Tanganyika ni mkubwa

    Taazia ya Brendon Grimshaw (sunday news 1968) mchango wa Abdul Sykes na ukoo wa Sykes katika uhuru wa Tanganyika ni mkubwa https://youtu.be/cGln0q9H1Oc
  18. D

    JamiiForums Tanzania Swali la kufikirisha: Inakuwaje Samia anaona Sherehe za kuzaliwa kwake ni za lazima kuliko Sherehe za Uhuru wa Tanganyika?

    Watanganyika bila kuamka huyu bibi amedhamiria kuifuta Tanganyika ipotee kabisa au atuachie migogoro na vita vya wenyewe kwa wenyewe: Soma comment ya mdau:
  19. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya kupata Uhuru wa Tanganyika, tutafuta Jina Samia kwenye kila kitu hapa Tanganyika

    Mzanzibari asijekuwa tena Kiongozi wa Tanganyika
  20. JamiiForums Tanzania Mageuzi Katika Mtaala wa Kufundusha Historia ya Uhuru wa Tanganyika

    MAGEUZI KATIKA MTAALA WA UFUNDISHAJI WA HISTORIA YA UHURU WA TANGANYIKA Nimepokea ujumbe huo hapo chini kutoka kwa mwanafunzi wangu mmoja: ''Leo rafiki yangu mmoja ambaye ni muhitimu wa Shahada ya Ualimu wa Historia mwaka huu amenipa habari njema kwamba habari za Abdulwahid Sykes na wazee...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…