uhujumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hii ndiyo namna nzuri ya kutoa Haki katika Kesi ya Uhujumu Uchumi inayowakabili Wachina

    Tanzania tumekuwa na uhusiano mzuri na nchi ya China kwa miaka mingi Uhusiano huu unapaswa kuendelezwa ili tuweze kusaidiana mbinu za maendeleo katika nchi zetu China inatutegemea sana lakini pia sisi tunawategemea sana katika mambo mengi yanayohusiana na maendeleo Kesi ya Uhujumu Uchumi...
  2. N

    PostGE2025 Arusha: Bubu ashtakiwa kwa makosa ya Uhaini

    Bubu huyo ni miongoni mwa washukiwa wa makosa ya uhaini waliopandishwa leo kizimbani katika mahakama ya hakimu mkazi. Yupo pia mwandishi wa habari wa Millard ayo aitwaye Thomas pamoja na watoto ambao ni chini ya umri wa miaka 18. Swali langu, bubu anawezaje kufanya uhaini? Swali la pili, Ikiwa...
  3. Aliyekuwa Meneja RUWASA Kakonko na Mwenzie Wafikishwa Mahakamani Kwa Makosa Ya Rushwa Na Uhujumu Uchumi.

    Tarehe 15.07.2025 katika Mahakama ya Wilaya ya Kakonko limefunguliwa Shauri la Uhujumu Uchumi lililosajiliwa kwa nambari ECC.17155/2025 mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi Mh. Maila Makonya (SRM). Washtakiwa hao ni Bw. Denis Simon Manji (36) ambaye ni Fundi sanifu maji RUWASA Wilaya ya Kakonko na...
  4. W

    Alionywa akakaidi: Hizi hapa post zilizomuingiza SirJeff kwenye 18 za System, kesi ya uhaini au uhujumu inanukia, Cruiser Nyeupe ilikuwa inamfuata

    POST YAKE YA MWISHO NI JUZI, KUNA TETESI AMEKAMATWA ANAKOISHI NA KUFANYA SHUGHUI ZAKE MAFINGA MKOANI IRINGA, AMESAFIRISHWA KWA SASA YUPO DSM
  5. Aliyekuwa Mkurugenzi wa Bunda na wengine 11 Wafikishwa Mahakamani kwa kesi ya Uhujumu Uchumi

    Watumishi tisa wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda mkoani Mara, akiwamo aliyekuwa mkurugenzi mtendaji wa halmashauri hiyo, Amos Kusaja na wafanyabiashara watatu wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Musoma wakikabiliwa na mashtaka ya uhujumu uchumi na kuisababishia Serikali hasara ya zaidi ya...
  6. J

    GE2020 Ushuhuda wa Deogratius Mahinyila, kijana aliyegombea Udiwani akaishia kushtakiwa kwa uhujumu Uchumi

    ..Ni wakili msomi Deogratius Mahinyila. ..anaeleza dhuluma aliyofanyiwa ktk uchaguzi wa 2020. https://www.youtube.com/watch?v=w8DGtcdh9qc
  7. Airtel imenifanyia huu uhujumu

    Wakuu, Toka jana nimejiunga hiki kifurushi cha Mitandao yote SME ila cha kushangaza pesa yangu 5000 wamekata halafu kifurushi hakuna, licha ya kuniletea message za kuwa nimefakiwa kununua kifurushi hiki ila bado hakionekani na hata nikipiga simu naletewa ujumbe kuwa sina salio la kutosha...
  8. Upepo wa kesi za uhujumu uchumi Na utakatishaji fedha..

    Kuna kipindi ule upepo wa kesi za uhujumu uchumi Na utakatishaji fedha ulizidi kiwango chake , hasa kile kipindi cha mwendazake...sidhani kama ule upepo ungemuacha huyu jamaa yangu mwenye tabia za m Kihaya😀..
  9. Je, ni kwanini Millard Ayo na Mkurugenzi wa TANAPA wasishtakiwe kwa uhujumu uchumi?

    Sote tunafahamu umuhimu wa utalii kwenye kuchangia pato katika uchumi wa nchi yetu. Hivyo basi, panapotokea taharuki inayoweza kusababisha kupungua kwa idadi ya watalii, anayesambaza hiyo taharuki ni sawa na mhujumu uchumi tu. Sasa kulikuwa na haja gani kwa hawa watu wawili kupiga makelele na...
  10. B

    TANESCO hiki mnachofanya tuite wizi, ukwapuaji, unyang'anyi, au uhujumu uchumi

    TANESCO kwa nini mbona mnakwapua pesa za wanyonge bila huruma. Mwanzo wananchi walipiga kelele kuwa mmepandisha kodi ya jengo kutoka 15,000/= hadi 2,000/=lakini mlikuja kukanusha huku ukweli mkiujua. Sasa hivi kuna uhuni unaofanywa wakati wa kununua umeme kuliko hapo awali. Sasa hivi karibu...
  11. KERO Responded Mfumo wa BRELA ni mbovu, Mnachochea uhujumu uchumi

    Mfanyabiashara umejipapatua unataka kujisajili ulipe kodi aisee ukienda kwa hao majipu wanajiita BRELA yani ni aibu. Mfumo dhaifu, user experience mbaya na tunalipa pesa zetu yaani kama ningekuwa na mamlaka timu nzima ya TEHAMA Brela ningeifutilia mbali. Makodi yenyewe yapo juu kwa uzalendo...
  12. Aliyenunua mdoli na kuuweka bungeni ashikwe afunguliwe mashtaka ya uhujumu uchumi

    Mdoli huyu hata vitoto vyenye certificate ya electronic ya pale VETA vinaweza kuujenga. Mdoli eti mpaka uusogelee usubiri dk kadhaa apate hisia ya kunyoosha mkono . Mdoli waneupaka rangi ya Tanzania, mdoli hautembei, haujui Kiswahili wala lugha yoyote. Waliohusika kuununua washikwe wafunguliwe...
  13. Alphonce Lusako: Nimenusurika kutekwa kwa madai ya kuwa Gaidi, sasa namuachia Mungu suala la usalama wangu

    NIPO SALAMA ndugu zangu Baada ya TUKIO la KUWATOROKA Waliojiita POLISI, Pale Landmark Hotel, Ubungo, Dar es salaam. "Kama Magaidi Wanakamatwa kwa namna ile, Nadhani kuna shida kubwa kwa Vyombo Vyetu Vya dola. NITAELEZA kwa kina but in brief Nikiwa na Kikao Kazi Landmark Hotel,Ubungo,Walikuja...
  14. Naibu Waziri Mkuu Dkt. Biteko afichua orodha ya matendo ya uhujumu wa miundombinu ya TANESCO

    Hizi hapa Nukuu za Dkt. Biteko akifichua Mtao wa uhujumu miundombinu 1. ’'Tarehe 13 mwezi wa pili mwaka 2024, BAGAMOYO alikamatwa mtu mmoja pale akiwa na Lita 80 za mafuta ya Transfoma, kesi imefunguliwa, maana yake ile Transfoma imekufa mafuta yamesha chukuliwa’’ 2. ‘’Mwezi wa tatu tarehe...
  15. Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Arusha (Dkt. Pima) afunguliwa kesi mpya 2 za Uhujumu Uchumi

    Mkurugenzi wa Mashtaka nchini DPP, amemfutia Kesi na kumfungulia mpya mbili za Uhujumu Uchumia aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Dkt. John Marko Pima na wenzake watatu. Kesi hizo zimefunguliwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha zikimkabili na wenzake watatu. Kesi hizo zina mashtaka...
  16. Katibu Mkuu wa TUICO afikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi

    Shauri la Uhujumu Uchumi namba 2015/2024- Jamhuri dhidi ya Bw. BONIFACE YOHANA NKAKATISI- Katibu Mkuu Taifa wa CHAMA CHA WAFANYAKAZI WA VIWANDA, BIASHARA-TAASISI ZA FEDHA, HUDUMA NA USHAURI (TUICO) imefunguliwa leo Januari 31, 2024 mbele ya Mh. Bittony Mwakisu (SRM) katika Mahakama ya wilaya...
  17. Udanganyifu kwenye mitihani uhesabike miongoni mwa makosa ya uhujumu uchumi

    Pamoja na yote maishani mwangu kitu kinaitwa udanganyifu kwenye mitihani nakichukia sana. Udanganyifu kwenye mitihani ndio mwanzo wa mla rushwa na fisadi. Kama mtu haogopi kufanya cheating kwenye mitihani huyo mtu katu abadani hatoogopa kula rushwa, hatoogopa kufisadi fedha na mali za umma...
  18. K

    Rais Samia, mfute kazi Waziri wa Maliasili na Utalii, mzungu naye akamatwe na kushtakiwa kwa uhujumu uchumi

    Tazama kwanza Mama huyu akipelekwa kwenda kutumikia kifungo Cha miaka 22 kwa kosa la kukutwa na vipande 12 vya nyama ya swala miezi miwili iliyopita. NB- tuzingatie na kutafakari pia wawindaji waliomuua mamba wamepigwa marufuku kufanya uwindaji nchini kwao. Sasa twende kwenye tukio lilisambaa...
  19. Aliyekuwa Mkurugenzi Igunga aendelea kusota Mahabusu Sakata la Utakatishaji Fedha

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Kigoma imewaachia huru kwa masharti ya dhamana washtakiwa wa tano kati ya 11 waliokuwa wameshtakiwa kwa makosa 11 likiwemo la utakatishaji fedha Sh463.5 milioni, huku Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Igunga, Athumani Msabila na wenzake watano wakiendelea...
  20. U

    Kwa ukosefu wa Umeme hasa Mkoani Mbeya tunaomba viongozi mjitafakari. Hii ni zaidi ya uhujumu uchumi

    Tunataka Serikali ijitafakari kwa hali inavyoendelea kuhusu upatikanaji wa Umeme. Mbeya kila siku hakuna umeme ni usumbufu tuu. Hii inakera sana, heri muache kusafiri lakini shughulikieni suala la Umeme. Miezi sita mliyosema yatakuwa yaleyale Miaka 62 bado umeme unasumbua sana, itawezekana Kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…