uhujumu uchumi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    TAKUKURU: Tunamtafuta Alex Msama ana mashtaka ya uhujumu uchumi na kuongoza genge la uhalifu. Atakayempata kuna zawadi nono

    Machawa wa Serikali ya CCM kumbe ni mijitu mibaya kiasi hiki! Msama ukimuona kama mtu mwema ila ni jizi la hatari mtapeli viwanja vya watu! ============== Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imetangaza kuwatafuta washtakiwa Alex Msama Mwita na Benny Mwita Sammoh wanaokabiliwa na...
  2. Pakome

    Hii ndiyo namna nzuri ya kutoa Haki katika Kesi ya Uhujumu Uchumi inayowakabili Wachina

    Tanzania tumekuwa na uhusiano mzuri na nchi ya China kwa miaka mingi Uhusiano huu unapaswa kuendelezwa ili tuweze kusaidiana mbinu za maendeleo katika nchi zetu China inatutegemea sana lakini pia sisi tunawategemea sana katika mambo mengi yanayohusiana na maendeleo Kesi ya Uhujumu Uchumi...
  3. N

    PostGE2025 Arusha: Bubu ashtakiwa kwa makosa ya Uhaini

    Bubu huyo ni miongoni mwa washukiwa wa makosa ya uhaini waliopandishwa leo kizimbani katika mahakama ya hakimu mkazi. Yupo pia mwandishi wa habari wa Millard ayo aitwaye Thomas pamoja na watoto ambao ni chini ya umri wa miaka 18. Swali langu, bubu anawezaje kufanya uhaini? Swali la pili, Ikiwa...
  4. PAYE

    Wahandisi watatu kusomewa hati mpya ya uhujumu uchumi, Septemba 30, 2025

    Wahandisi watatu na muongoza watalii mmoja wanaotuhumiwa kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu kutoka katika taasisi mbalimbali za Serikali na binafsi wanatarajia kusomewa hati mpya ya mshataka ya uhujumu uchumi Septemba 30, 2025. Wahandisi hao ni Faustine Malya (44) mkazi wa Salasala...
  5. DuaZaMama

    Mtendaji wa kata Sumbawanga ahukumiwa miaka 60 jela kwa uhujumu uchumi

    Mahakama ya Wilaya ya Sumbawanga Mkoani Rukwa imemhukumu Bw. Badwin Atanazi Chundu (60), Mtendaji wa Kata ya Ikozi, kifungo cha miaka 60 jela pamoja na kurejesha zaidi ya Shilingi milioni 44 alizozitumia vibaya. Kwa mujibu wa taarifa ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa...
  6. DuaZaMama

    Viongozi 32 wa Vyama vya Msingi Wakumbwa na Kesi ya Uhujumu Uchumi Igunga

    Mkuu wa mkoa wa Tabora Mhe Paul Chacha ameagiza viongozi wa vyama vya msingi vipatavyo 32 vya wakulima wa Pamba wilayani Igunga wakamatwe mara moja na kufunguliwa mashitaka ya uhujumu uchumi baada ya kubainika wamechezea mizani ya kieletroniki maarufu kama mizani janja ya kupimia uzito wa Pamba...
  7. Roving Journalist

    Mtendaji wa Kata ya Kainam Wilaya ya Mbulu Mkoa ya Manyara, ametiwa hatiani kwa kosa la uhujumu uchumi

    Tarehe 17/07/2025 Mahakama ya Wilaya ya Mbulu katika shauri la uhujumu uchumi (ECC. No. 13987/2025) imemtia hatiani mshtakiwa Mtendaji wa Kata ya Kainam Bw, ELIWANGU FADHILI MKUMBWA kwa kosa la ufujaji na ubadhilifu wa fedha za mradi wa Kituo cha Afya Kainam alizozitumia kwa manufaa yake...
  8. Roving Journalist

    Aliyekuwa Meneja RUWASA Kakonko na Mwenzie Wafikishwa Mahakamani Kwa Makosa Ya Rushwa Na Uhujumu Uchumi.

    Tarehe 15.07.2025 katika Mahakama ya Wilaya ya Kakonko limefunguliwa Shauri la Uhujumu Uchumi lililosajiliwa kwa nambari ECC.17155/2025 mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi Mh. Maila Makonya (SRM). Washtakiwa hao ni Bw. Denis Simon Manji (36) ambaye ni Fundi sanifu maji RUWASA Wilaya ya Kakonko na...
  9. G Sam

    Huyu mjasiramali "Sirjeff" anapewa mashitaka ya uhujumu uchumi siku chache tu baada ya kuanza kampeni ya No reforms No election!

    Vijana wa umri wa 30s ambao wanajipambanua kiuchumi kwa ujasiriamali then from No where wanapewa kesi za uhujumu uchumi. Hivi hili rika letu lina nini cha kuhujumu nchi? Kijana ndo kwanza unajitafuta kimaisha ila kutokana na mambo tu ya kisiasa mmetofautiana unatafuta kesi popote pale ili mradi...
  10. Scared

    Tetesi: SirJeff Khagolla (Alias Ontario) amedakwa Mafinga kwa kosa la Uhujumu Uchumi

    Jamaa kadakwa kizembe sana kama kuku kwenye mtego wa pumba nakumbuka alishwahi kutapeli wajinga humu. Sasa ni zamu yake ONTARIO mahakamani. Anahamishiwa Kisutu leo. Vijana fanyeni kazi halali, acheni wizi na utapeli maana nyakati hizi sio za ujanjaujanja. Huyu kawa wa mfano
  11. Mkalukungone Mwamba

    Watumishi 11 wa Manispaa ya Kigamboni kortini kuisababishia TAMISEMI hasara ya Milioni 169

    Wafanyakazi 11 wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kigamboni wakikabiliwa na mashtaka mbalimbali, yakiwemo ya uhujumu uchumi na kusababisha hasara ya Shilingi 169,617,520 kwa Ofisi ya Rais – TAMISEMI. Kesi hiyo imetajwa leo, Juni 24, 2025, mbele ya...
  12. M

    Katibu wa Gulla Amcos Maswa afungwa jela miaka 20 kwa rushwa na uhujumu uchumi

    MAHAKAMA ya Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu imemhukumu kwenda jela miaka 20 Katibu wa Chama Cha Ushirika cha Msingi(Amcos)Kijiji cha Gula,Masanja Mboje(36)baada ya kukutwa na hatia ya makosa mawili ya rushwa na uhujumu uchumi. Hukumu hiyo imetolewa leo Jumanne.Mei20,2025 na Hakimu Mkazi wa...
  13. Waufukweni

    Kesi ya mrembo Nicole Berry na mwenzake kutajwa mahakamani leo

    Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili msanii wa uigizaji Joyce Mbaga (32), maarufu Nicole Berry na mwenzake Rehema Mahanyu (31), itatajwa leo Jumatatu Machi 24, 2025 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni inayoketi Kinondoni. Kwa mara ya kwanza, washtakiwa hao walifikishwa mahakamani hapo...
  14. Mindyou

    Kisa Milioni 6, Mtendaji wa kata akutwa na kesi ya Uhujumu Uchumi na kifungo cha miaka 20 jela!

    Wakuu, Mahakama ya Hakimu Mkazi Mfawidhi mkoani Songwe imemhukumu kifungo cha miaka 20 gerezani aliyekuwa Afisa Mtendaji wa Kata ya Mbuyuni baada ya kumkuta na hatia ya uhujumu uchumi. Afisa Mtendaji huyo, Assan Jacob anadaiwa kukusanya Shilingi milioni sita kutoka kwa wananchi 200 wa kata...
  15. Mtoa Taarifa

    Aliyekuwa Mkurugenzi wa Bunda na wengine 11 Wafikishwa Mahakamani kwa kesi ya Uhujumu Uchumi

    Watumishi tisa wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda mkoani Mara, akiwamo aliyekuwa mkurugenzi mtendaji wa halmashauri hiyo, Amos Kusaja na wafanyabiashara watatu wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Musoma wakikabiliwa na mashtaka ya uhujumu uchumi na kuisababishia Serikali hasara ya zaidi ya...
  16. Waufukweni

    Dkt. Manguruwe matatani, asomewa mashtaka 28 ya utapeli, uhujumu Uchumi

    Mr. Manguruwe yamemkuta huko. Mkurugenzi Mwanzilishi wa Kampuni ya Vanilla International Ltd, Simon Mkondya (40) maarufu kwa jina la Dkt. Manguruwe na mwenzake wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakiballiwa na kesi ya uhujumu uchumi yenye mashtaka 28. Katika kesi hiyo, Mkondya...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    Serikali ipige Marufuku Ajira za kujitolea. Ni Mbinu mpya ya kinyonyaji, dhulma na uhujumu uchumi wa Nchi

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Hatuwezi kuwa na Taífa la matapeli, wanyonyaji na dhulma tupu. Alafu serikali ibariki unyonyaji huo. Inashangaza kumwona Kiongozi akishadadia na kuhamasisha Vijana wajitolee, wanyonywe, wadhulumiwe, wapotezewe Muda waô. Kwa kweli inasikitisha Sana Kama...
  18. J

    GE2020 Ushuhuda wa Deogratius Mahinyila, kijana aliyegombea Udiwani akaishia kushtakiwa kwa uhujumu Uchumi

    ..Ni wakili msomi Deogratius Mahinyila. ..anaeleza dhuluma aliyofanyiwa ktk uchaguzi wa 2020. https://www.youtube.com/watch?v=w8DGtcdh9qc
  19. K

    Kwanini kitengo cha Clearing and Forwarding kule TASAC kimefutwa na wale watumishi kuhamishiwa taasisi nyingine?

    Najiuliza na kujiuliza tena na tena. TASAC palikuwa na kitengo cha Clearing and Forwarding ambapo hawa kazi yao ilikuwa ni kusimama kama serikali kufanya clearance ya kila kitu kutoka hapa nchini kabla ya kufanyiwa shipping mfano madini, mazao kama ngano, wanyama na vitu vingine sensitive...
  20. Mwizukulu mgikuru

    Upepo wa kesi za uhujumu uchumi Na utakatishaji fedha..

    Kuna kipindi ule upepo wa kesi za uhujumu uchumi Na utakatishaji fedha ulizidi kiwango chake , hasa kile kipindi cha mwendazake...sidhani kama ule upepo ungemuacha huyu jamaa yangu mwenye tabia za m Kihaya😀..
Back
Top Bottom