uhujumu uchumi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bams

    Uhujumu Uchumi, Utakatishaji Fedha

    Mara nyingi binadamu walio wengi, wanapoyasikia mabaya, kama hayawagusi moja kwa moja, ni rahisi kufikiria kuwa hayawahusu, na wale wanaopatwa nayo wanawaona ama ni wajinga ama hawana uthamani kama walio nao wao. Leo hii, kama kuna mtu au anakuwa ametekwa au kukamatwa na vyombo vya usalama...
  2. Kurzweil

    Tito Magoti na Theodory Giyan wafikishwa Mahakamani, wafunguliwa mashtaka 3 yakiwemo ya Uhujumu Uchumi na Utakatishaji Fedha

    Afisa wa LHRC, Tito Magoti pamoja na mwenzake (kama wanavyoonekana pichani) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mchana huu Hata hivyo bado haijafahamika wamefikishwa Mahakamani hapo kwa tuhuma gani Tito Magoti pamoja na wenzake walitoweka siku 4 zilizopita kabla ya Polisi...
  3. mkiluvya

    Serikali yafungua akaunti maalum ya Uhujumu Uchumi

    Serikali imefungua akaunti maalum ambayo watuhumiwa wa uhujumu uchumi waliokiri makosa yao wataweka fedha wanazotuhumiwa kuhujumu, ili kuachiwa huru. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) nchini Tanzania, Biswalo Mganga jana Alhamisi October 3. DPP hakuna fedha itakayolipwa kwenye...
  4. Return Of Undertaker

    Peter Zakaria aanza kurudisha mali zote alizonunua yeye na mkewe serikalini

    Mfanyabiashara Peter Zakaria (58), amerejesha mali zote alizonunua kutoka Chama Kikuu cha Ushirika Nyanza (NCU), akiamini kwa kufanya hivyo ataondoa ‘nuksi’ ya kuandamwa na Serikali. Tajiri huyo mkazi wa Tarime mkoani Mara, anayemiliki vitegauchumi mbalimbali yakiwamo mabasi ya Zakaria...
  5. Mindi

    Uhujumu Uchumi: Idd Simba na wenzake waachiwa huru katika kesi ya kuhujumu shirika la UDA

    Kesi ya kuhujumu uchumi na kuisababishia UDA hasara ya Sh. bilioni 8.4 dhidi ya waziri wa zamani Iddi Simba na wenzake imefutwa kwa amri ya DPP. My Take: Nikiangalia jinsi kesi ilivyokuwa na ukweli kwamba imefutwa na DPP, inasisitiza kile ambacho kimekuwa kikipigiwa kelele: DPP yupo pale kwa...
  6. Mwenda_Pole

    Serikali yamuanika Idd Simba kortini

    Na Happiness Katabazi UPANDE wa jamhuri katika kesi ya kughushi na kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu na kulisababishia hasara Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA) inayomkabili mwenyekiti wa bodi ya shirika hilo, Idd Simba, na wenzake umeieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es...
Back
Top Bottom