uhasibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Wahitimu wa Chuo cha Uhasibu Arusha tunawekewa matokeo tofauti na yaliyopo kwenye TRANSCRIPT

    Mimi ni Muhimu Chuo Kikuu kutoka Chuo Cha Uhasibu Arusha 2025 KERO yangu ni Kuna baadhi ya wahitimu wakienda kuchukua vyeti vyao unakuta matokeo yaliyoandikwa kwenye TRANSCRIPT ni Tofauti na Yale Mwanafunzi alipata kwenye mitihani yake. Mfano alipata A transcript imeandikwa B+ katika module...
  2. onemediaonline

    Maafisa 90 wa magereza wahitimu shahada ya uzamili Chuo cha Uhasibu Arusha

    Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Laurent Lusetula (Mbunge), amewatunuku shahada ya uzamili wahitimu 2,250 wa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), wakiwemo maafisa na askari 90 wa Jeshi la Magereza, waliosajiliwa katika mwaka wa masomo 2024/2025 katika fani mbalimbali zikiwemo amani na usalama pamoja na...
  3. S

    DOKEZO Chuo cha uhasibu Arusha kinawalazimisha waombaji wajiunge chuoni hapo,hakuna option ya kuahirisha maombi,na wanachagua kozi ambazo hawajaomba

    Kero Kuhusu Utaratibu wa Uchaguzi wa Kozi na Uthibitishaji wa Maombi katika Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) Chuo hiki hakizingatia Maombi ya Kozi Halisi kinawachagua wanafunzi katika kozi ambazo hawajaomba rasmi,mfano Mimi niliomba Kozi ya information technology Tena maombi matatu,wao...
  4. Rangooo

    Natoa huduma za uhasibu na usimamizi wa fedha kwa njia ya freelance

    Habari wanajamii, Naitwa Adam Ramadhani Waziri, mtaalamu wa masuala ya Uhasibu na Fedha mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 4 katika sekta mbalimbali. Kwa sasa, nipo tayari kushirikiana na kampuni yoyote (ndani ya Dar es Salaam au mikoani) kama freelancer/part-time accountant, kulingana na mahitaji...
  5. B

    Oral nterview ya Uhasibu Sekretarieti ya Ajira

    Wakuu habari Naomba muongozo kwa mwenye uzoefu na Oral interview nafasi ya Mhasibu Utumishi anipe uzoefu na namna ya kujiandaa natanguliza shukurani kwenu
  6. Masalu Jacob

    Makondakta ni wahasibu wana haki ya kulipa Kodi na Tozo hapa Tanzania

    Habari Tanzania ! Ujambo; NBAA, TRA na Wizara ya Fedha !. Makondakta wa magari ni Maafisa Hesabu wanaofanya miamala ya fedha kwenye Daladala na Mabasi ndani na nje ya Mikoa; na nje ya Nchi ni wadau wenu nyinyi hasa NBAA, TRA na Wizara ya Fedha. 1. Naomba ikiwapendeza muwaunde kwenye...
  7. W

    Kozi ya Uhasibu inaenda kuwa na tatizo kubwa sana kwenye ajira, kuna utitiri wa vyuo vingi sana mikoa mingi

    Tunakoelekea kazi za uhasibu wataanza kukaza kwenye gpa kupunguza utitiri wa waombaji, pia nafasi zitakuwa ni kwajili ya watu waliosoma uhasibu tu, wale waliosoma procuremnt, business administration,economics wataanza kuwekwa pembeni. Hivi ni baadhi tu ya vyuo TIA - DSM, Tanga, Mwanza, Mbeya...
  8. Consultant_Silwano

    CHANGAMOTO ZA KIUHASIBU NA KODI KWA WAFANYABIASHARA WANAOFANYA BIASHARA KWA MTINDO WA KUAGIZISHA BIDHAA KUTOKA NJE YA NCHI

    Changamoto kubwa kwenye eneo la uhasibu na kodi kwa wanafanyabiashara wengi hasa wanaotumia mtindo kuagizisha mizigo mbalimbali kutoka nje ya nchi kwa kutumia Fedha za wateja kufanikisha au ku-facilitate biashara husika ,changamoto hizi hupelekea biashara au wafanyabiashara wengi wa mtindo tajwa...
  9. Consultant_Silwano

    EPUKA ADHABU KWA KUFANYA MAKADILIO KODI KABLA YA KUVUKA 31/03/2025

    Habari wakuu, Napenda kutumia fursa hii kama mshauri wa biashara kwenye eneo la kodi, uhasibu, ukaguzi, kufuata sheria(Business compliances) na ufanikishaji wa biashara (Business facilitations). kwa wafanyabiashara wote kufanya makadilio ya kodi kwa mwaka fedha wa 2025 kabla kupita tarehe ya...
  10. Consultant_Silwano

    EPUKA ADHABU KWA KUFANYA MAKADILIO KODI KABLA YA KUVUKA 31/03/2025

    Habari wakuu, Napenda kutumia fursa hii kama mshauri wa biashara kwenye eneo la kodi, uhasibu, ukaguzi, kufuata sheria(Business compliances) na ufanikishaji wa biashara (Business facilitations). kwa wafanyabiashara wote kufanya makadilio ya kodi kwa mwaka fedha wa 2025 kabla kupita tarehe ya...
  11. Consultant_Silwano

    Epuka adhabu kwa kufanya makadilio kodi kabla ya kuvuka 31/03/2025

    Habari wakuu, Napenda kutumia fursa hii kama mshauri wa biashara kwenye eneo la kodi, uhasibu, ukaguzi, kufuata sheria(Business compliances) na ufanikishaji wa biashara (Business facilitations). kwa wafanyabiashara wote kufanya makadilio ya kodi kwa mwaka fedha wa 2025 kabla kupita tarehe ya...
  12. Consultant_Silwano

    HUDUMA ZA BILA MIPAKA-TUNAKUFIKIA POPOTE ULIPO TANZANIA

    Tuanze kwa kuwashukuru makampuni(Companies), Ubia (Partnerships), Biashara binafsi(Sole proprietors) na Taasisi zisizo za kiabishara (Not for profit entities) kwa kutupa fursa na ushirikiano wa kufanya kazi, tunawahakishia siku zote tutafanya kazi kwa uaminifu na kitaalamu ili kuhakisha ustawi...
  13. Consultant_Silwano

    Consultant Silwano huduma ambazo zinazoweza kutolewa kwa ukamilifu na ufanisi pasina kuja au uwepo wa mteja ofsini kwetu

    Tuanze kwa kuwashukuru makampuni(Companies), Ubia (Partnerships), Biashara binafsi(Sole proprietors) na Taasisi zisizo za kiabishara (Not for profit entities) kwa kutupa fursa na ushirikiano wa kufanya kazi, tunawahakishia siku zote tutafanya kazi kwa uaminifu na kitaalamu ili kuhakisha ustawi...
  14. Consultant_Silwano

    Je, unatafuta ushauri wa biashara? Moms consulting iko tayari kukuhudumia

    Moms consulting, tunafurahi kuwahudumia na kuwakaribisha kwa huduma zetu za Uhasibu(Accountancy), Kodi(Tax), Ukaguzi(Audit), Uwezeshaji wa Biashara (Business facilitation), ufuataji wa sheria za Biashara(Business compliance), Kuanzisha Biashara na taasisi zisizo za kifaida (Business and Not for...
  15. M

    Natafuta kazi ya uhasibu Naombeni msaada wetu

    Naitwa jenipha Nimesomea degree ya uhasibu chuoo kikuu cha Dar es salaam natafuta kazi naombeni msaada wenu 0713776534
  16. Consultant_Silwano

    Anza mwaka kwa kufanya makadirio ya kodi kwa wakati: Fanya makadirio ya kodi ya mapato mapema na epuka adhabu

    Kwa mujibu wa Sheria ya Kodi ya Mapato, Sura ya 332, Kifungu cha 84 (kama ilivyorekebishwa mwaka 2023), mlipa kodi (binafsi au kampuni) anahitajika kufanya na kuwasilisha makadirio ya kodi ya mapato kwa wakati. Sheria hii inaweka miongozo ifuatayo: 1. Muda wa Kuwasilisha Makadirio ya Kodi...
  17. Msaga_sumu

    Wadau wenye uzoefu na maduka na hizi stores za kawaida hivi hawaitaji mtu anaeweza kua anafanya stock taking

    Ni muda sana sijaandika uzi, wakuu kwanza habarini, Aseh mimi ni muhitimu wa chuo cha fedha hapa Tanzania, nimesoma masomo ya uhasibu na IT, nImekua nikijihusisha na shughuli za hapa na pale ila Mungu si Athumani napata chochote kitu. Wazo langu bi kufungua consultation firm lakini kwa sasa...
  18. M

    Natafuta kazi ya uhasibu naombeni msaada wenu

    Hello naitwa jenipha natafuta kazi ya receptionist naombeni msaada wenu 0713776534
  19. O

    Chuo cha uhasibu na vigezo vyake ili mtu ajiunge vipoje?

    Wakuu kuna mshikaji ananiambia anasoma chuo cha uhasibu (TIA) pale mitaa ya Temeke,ila mara nyingi usiku ndio anakuwa chuo,je pale wanasoma usiku? Na vigezo vyake ili mtu ajiunge vipoje? Nataka mwanangu asome mwakani
  20. J

    WATAALAM WA UHASIBU NA KODI

    Je, biashara yako inahitaji mtaalamu wa uhasibu na huduma za ushauri wa kodi? Sisi ni wataalamu wako kwa ajili ya ufumbuzi wa kina wa kifedha Kwa uzoefu wa miaka mingi, tuna utaalam katika kusaidia biashara kama yako. Huduma Zinazotolewa: * Kurejesha VAT: Hakikisha biashara yako inatii...
Back
Top Bottom