uharamia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lycaon pictus

    US ameanza uharamia. Amevamia, ameteka meli ya mafuta huko Venezuela.

    Majeshi ya Marekani yamekamata meli ya mafuta katika pwani ya Venezuela, ikiwa ni mpango wa Marekani kuwekeza shinikizo kwa Serikali ya Venezuela Akizungumza Ikulu ya White House siku ya Jumatano, Rais Donald Trump alisema meli hiyo ni kubwa kuliko zote zilizowahi kukamatwa. Video iliyotolewa...
  2. ChekoFagia

    PostGE2025 Ibrahim Msengi: Kilichotokea Oktoba 29 ilikuwa ni uharamia

    Mkuu wa Mkoa mstaafu Dkt. Ibrahim Msengi kwaniaba ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dar Es Salaam ameeleza kusikitishwa na uvunjifu wa amani uliotokea siku na baada ya uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, akiwataka wale wanaodai haki kutekeleza wajibu wao kwanza, huku pia akimshukuru...
  3. H

    PostGE2025 Kutokana na ukatili mkubwa unaodaiwa kufanywa na Wazanzibari kwa Watanganyika, Sheria kali ziwekwe kudhibiti uingiaji wa Wazanzibari Tanganyika

    Kila mahali wapo mashuhuda waliowaona na kuwasikia wauaji wakisema wazi kuwa eti walikuwa wanafanya hayo mauaji kulipiza kisadi kwa Watanganyika, kwa sababu polisi wa Tanganyika waliwaua Wazanzibari miaka ya huko nyuma. Kama hali ni hiyo, na kama hawa watu wana chuki za kisasi kwa Watanganyika...
  4. H

    Kwa Kiburi na Uharamia wa Watawala, Tujiandae kwa Hali Ngumu ya Uchumi

    Wenye macho, hawahitaji kuambiwa kuwa kuna giza nene kwa Tanzania linanyemelea kutokana na uharamia na kiburi cha watawala. Mpaka sasa, 1. Tanzania imezuia visa za wachunguzi 10 kutoka mahakama ya Kimataifa ya uhalifu ya ICC. Wewe kama siyo mhalifu, unaogopa nini kuchunguzwa? Wewe kama siyo...
  5. H

    Kufuatia Uharamia Mkubwa Uliofanywa na Dola Dhidi ya Wananchi, TLS Iandae Mkutano wa Wadau Mbalimbali Juu ya Hatua Za Kuchukua Dhidi ya Wauaji

    Kwa uharamia na ushetani mkunwa uliofanywa na watawala dhidi ya wananchi, ni lazima wadau wote, wapigania haki wote, wazalendo wote, tuungane kwaajili ya kutafua njia sahihi za kuwawajibisha wauaji na wadhulumaji wote wa haki za wananchi: 1. Sote tunajua kuwa watawala wamedhulumu haki za...
  6. H

    Watawala wa Tanzania, viongozi wa CCM na WanaCCM, Wanaimba Amani na Umoja, Lakini Mioyo na Matendo Yao Yanadhihirisha Walivyojaa Ushetani na Uharamia

    Kwa hakika, na kwa jina la Mungu wa Ibrahim, aishiye milele, hakuna chama kilichojaa watu wanafiki, watu ambao ni watumishi waaminifu wa shetani, katika Ulimwengu mzima, kuizidi CCM. Ukiwasikia viongozi wa CCM na Serikali yao, kila mahali wanajinadi kuwa wao ni wahubiri wa amani, wao ni walinzi...
  7. H

    Kinachoendelea Dhidi Ya Lisu Ni Mwendelezo wa Uharamia wa Wakati Wote, Sawa Walivyotendewa Waliouawawa na Waliotekwa, Lakini Hakuna Kesi.

    CCM na watawala waovu wameendelea na uovu wao dhidi ya haki. Anachofanyiwa Lisu na polisi, magereza, na mahakimu, na majaji mchongo, ni mwendelezo wa uovu ule ule aliofanyiwa Ali Kibao, Mdude Nyagali, Soka na wengine wengi. Ni mwendelezo wa uovu ule aliofanyiwa Baba wa Kiroho na Katibu wa Baraza...
  8. ILAN RAMON

    GE2025 Uhuni unaoendelea kushuhudiwa katika kura za maoni ndani ya CCM ni dalili ya kuporomoka kwa maadili ya kisiasa

    Uhuni unaoendelea kushuhudiwa katika kipindi hiki cha kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni dalili ya kuporomoka kwa maadili ya kisiasa na ukosefu wa utawala wa sheria ndani ya mfumo wa chama hicho. Matukio ya kukodi vijana wahuni ili kuwadhuru wapinzani wa kisiasa ndani ya chama...
  9. Lord Denning

    Ushauri wangu wa mwisho kwa CHADEMA: Wakati ni huu fanyeni haya kukomesha huu Uharamia ili usitokee tena na tujenge nchi mpya

    Kwa kila mtu anayefuatilia vyombo vya habari vya kimataifa sasaivi, mtakubaliana na mimi kuwa, kwa sasa Dunia nzima imemjua Samia kuwa ni dikteta. Kwa kila mtu anayefuatilia vyombo vya habari vya duniani sasaivi wote mtaelewa kuwa, Dunia nzima sasa inajua kuwa Serikali ya Samia inateka, inaua...
  10. M

    Jenerali wa Iran asema tulilenga Kambi za Jeshi za Israel zinazohusika kufanya uharamia wa kuua watu wasio na hatia!

    Jeneral Mkuu wa vikosi vya IRGC vya Iran amesema kuwa Iran ilijaribu kuwa wavumilivu baada ya Israel kubreach sovereignity yao kwa kuingia ndani na kumuua mgeni wao Ismail Hanniyeh aliyekuwa amekwenda kuhudhuria kuapishwa kwa rais mpya wa Iran. Akasema kuwa baada ya Israel kumuua Jeneral wa Iran...
  11. Erythrocyte

    Jinsi awamu ya 5 ilivyoua ajira za Vijana wazawa

    Utawala wa awamu ile uliamini kwenye Umasikini, Shida na Mateso . Kwamba umasikini ni baraka . Akizungumza mara baada ya kuapishwa kuwa Rais wa Tanzania 2015 , alikuwa akihutubia kwao Chato na alizungumzia ufaulu wa Darasa la 7 baada ya wanafunzi wengi kufeli kwenye shule aliyosoma , aliwalaumu...
  12. M

    Huu sasa ni uharamia: Kumbe bomba la gesi Nord 1 lilifumuliwa, kipande cha mita 40 kikatoka!

    Sasa nimeelewa kwa nini nchi za magharibi hazikutaka kabisa kuihusisha Urusi kwenye kuchunguza kilichotokea kwenye mabomba ya gesi toka urusi. Tuliambiwa gesi ilivuja kumbe siyo kuvuja bali ILIMWAGIKA!! Kuvuja maana yake kuna tundu kwenye bomba. Kumbe si tundu bali bombomba lilifumuliwa na...
  13. Sam Gidori

    Video: Jeshi la Maji la Uingereza latumia teknolojia ya mtu kupaa kupambana na uharamia

    Jeshi la Maji la Uingereza limefanya majaribio ya kutumia mavazi maalum yanayomwezesha mtu kupaa kwa lengo la kuboresha operesheni za kuzuia uharamia baharini. Kampuni ya utafiti wa teknolojia ya anga ya Gravity Industries imechapisha video inayoonesha wanajeshi hao wakifanya mazoezi kwa...
  14. Erythrocyte

    Dar es Salaam: Gharama za kujifungua ni Tshs 75,000. Uchaguzi huu unakupa nafasi ya kukataa uharamia huu

    Wajawazito wanaojifungulia kwenye Hospitali ya Rufaa ya Temeke , wale wanaojifungua kwa njia ya kawaida inawalazimu kulipia pesa taslimu ya kitanzania shilingi elfu 75 kama gharama ya kuzaa , Wale wanaojifungua kwa njia ya upasuaji wanapaswa kulipa zaidi ya Tsh laki 2 na yaweza hata kufika...
  15. Chief Mtangi

    Je, wasanii wa muziki wamekubaliana na uharamia (piracy) katika kazi zao?

    Uharamia (piracy) sio jambo jipya katika sanaa nchini, lilichangia kuanguka kwa BONGO MOVIE hasa baada ya mapato kupungua leo wasanii wamebaki kulaumu foreign films, TV shows and series wakati ukweli wanaujua dhahiri. Now jinamizi hili limeshika hatamu katika upande wa Bongo fleva, tangu...
Back
Top Bottom