uhamishoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. tonicimmobility

    Cameroon: Mpinzani wa Paul Biya akimbilia uhamishoni Gambia

    Kiongozi wa upinzani nchini Cameroon, Issa Tchiroma Bakary, amekimbilia nchini Gambia kwaajili ya usalama wake kufuatia mvutano uliotokea baada ya uchaguzi wa Oktoba, ambao ulimrejesha madarakani Rais Paul Biya katikati ya maandamano yenye vurugu. Serikali ya Gambia imethibitisha kuwa Tchiroma...
  2. Yoda

    Nimemuelewa Polepole kutotaja nchi aliyokimbilia uhamishoni na kudanganya yuko Tanzania

    Alichokifanya Polepole katika uislamu tunaita "Taqiyya" ambapo mtu unaruhusiwa kusema uongo kuepusha madhara makubwa zaidi. Ukimsikiliza Polepole wakati anaanza kuongea alikuwa anasisitiza sana amekula kiapo kwa marais watatu, bila shaka hiki ndicho kilichomfanya ajifiche huko alikojificha na...
  3. G Sam

    Hawa ndiyo vijana wanaoikemea serikali ya Samia na kusaidia watanzana wengi baada ya kukimbilia uhamishoni nje ya nchi

    1. Edgar Mwakabela au SATIVA 2. Msabaha 3. Hilda Newton (Alikimbilia uhamishoni baada ya kunusurika siku ya kesi ya Lissu) 4. Titto Magoti 5. Maria Sarungi Ongeza wengine
  4. Stuxnet

    Zanzibar Kumpokea Sultan Jamshid: Ziara ya Kihistoria Baada ya Miaka 60 Uhamishoni

    Mnamo Januari 9, 2025, Zanzibar itashuhudia tukio la kihistoria itakapompokea Sultan Jamshid bin Abdullah kurejea kwenye pwani zake. Hili ni tukio muhimu sana kihistoria, kwani mtawala wa zamani wa Zanzibar anarudi baada ya miongo sita ya uhamisho nchini Uingereza na Oman, kufuatia kuondolewa...
  5. Ritz

    Israel wanaomba Mateka waachiwe Gaza. waondoe majeshi yao na viongizi wa Hamas waende uhamishoni

    Wanakumbi. Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Anthony Blinken wakati wa mkutano wake na maafisa wa baraza la mawaziri la vita: Kawambua haiwezekani kuiondoa Hamas Gaza katika hali yake sasa Israel wamerudi Qatar tena hali tete Gaza. Baraza la mawaziri la vita la Israel liliwekwa Jumatano...
  6. Kyambamasimbi

    Mwaisa nimerejea sasa, baada ya kuwa uhamishoni kwa muda. Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Habari ndugu wanaJF Poleni kwa majukumu, niliwamisi Sana ndugu zangu nilikuwa uhamishoni kwa muda ila nimerejea salama. Natuma salamu kwa wafiatao sky eclat faiza fox kichwa kichafu mpwayungu mshana Jr To yeye wa stendi na wote wanaosoma Uzi huuu......... UJUMBE TUKUMBUKANE KUPITIA JAMIIFOFUM
  7. J

    Leo ni kama siku tuliyompokea Mwanamageuzi Oscar Kambona kutoka Uhamishoni Uingereza!

    Hamasa ninayoishuhudia leo inanikumbusha siku tuliyompokea Mwanamageuzi Oscar Kambona kutoka Uhamishoni Uingereza. Kiukweli Bila kujali itikadi ya vyama wananchi kwa maelfu walifurika kumlaki. Hata leo naona Watu wameweka itikadi pembeni labda tu Sukuma gang ndio bado wanajishauri. Karibu...
Back
Top Bottom