Hakuna wanachokifanya huduma MBOVU Kwa wananchi, rushwa, wizi na utapeli vimetamalaki
Yapata miezi sita Sasa wananchi walotuma maombi ya passport na wanao omba passport wanaambiwa mfumo umekorapti haufanyi kazi, angali pesa zote za maombi ya passport tayri washalipia, 150,000/=
Mpaka wengine...