uhaini wa lissu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Idugunde

    Kama kuangalia video ya Lissu akisema tutakinukisha ndio ndio uhaini wa Lissu, basi mashahidi wa Jamhuri ni mil 50

    Nacheka mimi Idu huku nakula balimi la baridi nikiwa Igunga. Mashahidi wa Jamhuri ni watu zaidi ya mil 50. Jamhuri wanahangaika nini?
  2. Heparin

    PostGE2025 Lissu anyimwa tena faragha ya kuzungumza na mawakili wake gerezani Ukonga, barua aliyoandika kuhoji mwenendo wa kesi yatumia siku 10 kumfikia Msajili

    Leo (Jana, Desemba 17, 2025) nimemtembelea Mteja wangu Mhe Lissu, Ukonga Gerezani kujadiliana naye hatima ya kesi zinazomkabili, ashukuliwe Mungu kwa kuendelea kumjalia afya na siha njema kiongozi. Gerezani kuna utaratibu mpya umeanzishwa ambao ni kinyume cha sheria, Nilichokutana nacho leo...
  3. Heparin

    PostGE2025 Tundu Lissu: Hakuna Maridhiano bila Ukweli na Uwajibikaji. Hakuna amani bila haki

    Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa, Tundu Lissu ametuma ujumbe kutoka Gerezani ukonga, akibainisha kuwa hakuna Maridhiano bila Ukweli na Uwajibikaji. Aidha, amesema hakuna haki bila amani. Ujumbe huu ameuandika kwa mkono wake mwenyewe.
  4. R

    Kesi ya Lissu: Mawakili wa serikali tendeni haki. Mlitaka ahirisho la wiki mbili mkakataliwa, leo mmeleta shahidi. Mlitaka ateseke jela?

    Mtendeeni Lisu haki. Mliomba wiki mbili ili kumkomoa akae jela. Hili si agizo na wakubwa zenu. Mmeshakuwa indoctrinated na roho mbaya wa wakubwa zenu kumtesa Lissu. Tendeni haki! KUNA SIKU YA HUKUMU INAKUJA, MTAULIZWA NA MUNGU WA HAKI.
  5. R

    Mwili na akili zangu vimesinyaa. Nilitegemea Samia na na wanaosema maridhiano, leo waifute kesi ya Lissu kama good gesture danganya toto, wamekomaa

    Nilitegemea sana kuwa leo wataonesha uungwana kwa kitu kidogo tu xha kuofuta kesi hii ya UONGO, FABRICATED. Surprisingly enough wanadiriki kuleta shahidi wa siri wa uongo! Tenda Bwana Yesu, Tenda Bwana Yesu.
  6. N

    GE2025 Baada ya Lissu kutoletwa Mahakamani kwa sababu za kiusalama; Kesi yapangwa November 12, 2025 , Jamhuri waagizwa kuleta mashahidi

    Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Wakili Tundu Lissu, ambayo ilipangwa kuendelea kusikilizwa tarehe 3 Novemba 2025, haikuweza kuendelea kama ilivyopangwa. Kesi hiyo iliahirishwa hadi 10 Novemba 2025, lakini hata tarehe hii ya leo Lissu...
  7. Heparin

    GE2025 Kizungumkuti Makahama Kuu, Lissu hajafikishwa kuendelea na kesi ya Uhaini kwa sababu za kiusalama

    Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu imeanza kusikilizwa katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam leo, Jumatatu Novemba 10.2025 Hata hivyo, tofauti na siku zote ambapo Lissu ambaye anajitetea mwenyewe kwenye...
  8. Heparin

    GE2025 Uhaini wa Lissu kuendelea kusikilizwa tena Novemba 10, 2025 Mahakama Kuu kanda ya Dar

    KESI ya uhaini namba 19605/2025 inayomkabili Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), inatarajiwa kuendelea siku ya jumatatu, tarehe 10 Novemba 2025, katika Mahakama Kuu masjala ndogo ya Dar es Salaam.
  9. DuaZaMama

    GE2025 Kesi ya Lissu yaahirishwa hadi Novemba 3, 2025, shahidi wa nne wa Jamhuri ‘akwama mkoani’

    Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu imehairishwa leo, Ijumaa Oktoba 24.2025 hadi Novemba 03.2025 Kesi hiyo imehairishwa kufuatia ombi la Jamhuri lililowasilishwa Mahakamani hapo likieleza kuwa, leo...
  10. Heparin

    Lissu amkaba Shahidi wa Jamhuri Mahakamani, ahoji elimu yake ya 'Mafriji' kasomea wapi

    Kumsikiliza Lissu akiwasulubu mashahidi wa mchongo wa Jamhuri ni jambo la kufurahisha sana. Leo kamkaba shahidi wa pili kuhusu elimu yake ya kuunga unga kwenye kesi yake ya Ugaidi. Ni polisi, mtaalamu wa cyber ila kasomea kutengeneza mafriji.
  11. Heparin

    GE2025 Utetezi wa sita wa Tundu Lissu, Mahakama Kuu ya Tanzania kwenye kesi yake ya Uhaini, Septemba 16, 2025

    Utetezi wa sita wa Tundu Lissu, Mahakama Kuu ya Tanzania kwenye kesi yake ya Uhaini, Septemba 16, 2025. Kilichojiri kwenye utetezi wa tano kipo hapa: GE2025 - Utetezi wa tano wa Tundu Lissu, Mahakama Kuu ya Tanzania kwenye kesi yake ya Uhaini, Septemba 15, 2025 === Majaji wameingia kwenye...
  12. H

    GE2025 Kwanini Serikali huwa inawaajiri Mawakili wenye uwezo mdogo sana?

    Ukifuatilia kesi bandia ya Serikali dhidi ya Tundu Lissu, unapata ujumbe mmoja ulio dhahiri kabisa kuwa, "Mawakili wa Serikali wana uwezo mdogo sana wa akili na Taaluma! Maswali Muhimu ya kujiuliza: 1. Ni kweli mawakili wa Serikali ni watu wenye akili na weledi mdogo sana? Kama ndivyo, kwa...
  13. The Palm Beach

    Kesi ya uhaini ya Lissu: Hakimu Kiswaga ana wakati mgumu sana. Nafsi yake inataka kutenda haki. Lakini lile genge limemkaba koo kumtaka aipindishe

    https://youtu.be/HVArMzRPSyk?si=278C6pGBZ2Dk0qwq ➡Leo Tundu Lissu kampiga za uso kweli kweli hakimu Kiswaga na kumwambia waziwazi kuwa yeye ndiye anayeruhusu utaratibu na mchakato wa uendeshaji kesi mahakamani (court process) kufanyiwa ufisadi (abused) na Public prosecutors.. ➡Kamwambia hakimu...
  14. B

    GE2025 Ikitokea kesi ikafutwa sababu ya ushahidi dhaifu au kwa kubambikiwa, haki ya mtuhumiwa inarejeshwaje?

    Kuna msemo unasema 'Justice delayed is justice denied' na huu ndio uhalisia unaojitokeza kwenye mifumo yetu ya Haki Jinai. Mtu anakamatwa, anafunguliwa kesi, lakini upelelezi haujakamilika—maombi ya muda yanaendelea. Shauri likifika mahakamani, bado upande wa mashitaka unaomba muda zaidi, au...
  15. B

    PreGE2025 Kesi ya Uhaini ya Lissu yaahirishwa hadi Julai 01, 2025

    https://www.youtube.com/live/oU5eT7Dimu0?si=BYYHRNCBHOz_0_ye Siku hazikawii kufika, usikilizwaji kesi ya Lissu huo umewadia. Kama mnakumbuka wakayi uliopita upande wa mashtaka walisema wanahitaji muda zaidi kukamilisha upelelezi na wakaambiwa tarehe itakayopangwa kutakuwa hakuna nafasi ya hiki...
  16. R

    PreGE2025 Uasi ni nini? Rebellion ni nini? Uhaini ni nini?

    uasi = rebellion A rebellion is a violent organized action by a large group of people who are trying to change their country's political system. Rebellion: When a group of people openly and forcefully go against the government or leader in charge. It can also mean when someone goes against a...
  17. Cute Wife

    PreGE2025 Wakenya wasema watakuja kuhudhuria kesi ya Lissu na watahakikisha wenzao walioshikiliwa huku wanarudi kwao salama, hawamwogopi Rais Samia

    Wakuu, Kunazidi kutokota huko, majirani wanasema hawatakaa kimya wakiona wenzao wanahenyeshwa wakati hawajafanya kosa lolote. ===== Wakenya wasema watakuja Tanzania kusikiliza kesi ya Lisuu, na kuhakikisha wenzao walioshikiliwa nchini wanakuwa salama na wanarejea wakiwa wazima makwao...
  18. Cute Wife

    PreGE2025 Mahakama mnashindwa kuwa na vifaa vya maana kuhakikisha tukio linaruka bila changamoto? Au ni makusudi ili tuache kufuatilia?

    Wakuu, Kwa wale ambao tumeshindwa kufika mahakamani channel ya mahakama inarusha tukio hili mubashara (maana TBC imegoma kurusha tukio hili lenye maslahi ya taifa), lakini kwa quality ya video na sauti ni kama unaangalia midoli inakwenda huku huko basi! Sauti inasikika kwa tabu sana, ni ngumu...
  19. Cute Wife

    PreGE2025 Kesi ya Lissu imesababisha mtandao kuminywa leo? Dawa yenu ipo jikoni, hamuwezi kushindana na teknolojia

    Wakuu, Hali ya mtandao ikoje mliko? Yaani toka asubuhi mtandao imekuwa hovyooo kila kitu kinaenda taratibu kwa spidi ya kobe! Ni hii tu kesi ya Lissu ndio mnafanya mambo yote yasiende na kutuingizia hasara? Yaani Lissu anawatetemesha mpaka mnatumia resource zote kuhakikisha mambo hayaendi sawa...
  20. Cute Wife

    PreGE2025 Kesi ya Lissu inaendelea TBC kimya! Mpo kwa maslahi ya nani kama jambo kubwa linalogusa usalama wa taifa mnalifungia vioo?

    Wakuu, Kesi ya Lissu ni suala la kitaifa. Watanzania tuna maslahi nayo maana Uhain si na uchochezi wa kusumbua Watanzania na kufanya tukose amani ni suala serious sana (hata kama tunajua ni uongo😂😂😂), sasa mbali na haya yote TBC, televisheni ya Taifa ni kama wapo ulimwengu mwingine! Yaani ni...
Back
Top Bottom