uhaini wa lissu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cute Wife

    PreGE2025 Polisi waenda Hoteli ya Serena kutaka kumkamata Mpiga picha na Mwanaharakati Kenya Boniface Mwangi ikihusishwa na kesi ya Lissu

    Wakuu, Polisi wameendelea kufanya ujinga na mambo ya ajabu kwa usalama wa wananchi. Asubuhi hii ya leo polisi wavamia chumbani kwa mpigapicha na na mwanaharakati wa masuala ya kisiasa kutoka kenya Boniface Mwangi wakisema wanataka kufanya ukaguzi. Boniface alikataa kufungua mlango na kuongea...
  2. Cute Wife

    PreGE2025 Yaliyojiri Kesi ya Lissu: Mahakama imeahirisha shauri hadi 02/06/2025, mtuhumiwa amerejeshwa rumande

    https://www.youtube.com/live/9TLDeGzo4I4?si=2c8MZ_S_QZrJKEBl Kutoka kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam leo, Jumatatu Mei 19.2025 kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Wakili Tundu Lissu ililetwa kwa ajili ya...
  3. Carlos The Jackal

    PreGE2025 Mkutano wa IDU waazimia kwa pamoja, Tundu Lissu aachiwe mara Moja. Mke wa Lissu ahutubia

    CCM na Genge lake, walikaa Wakaona wamkamate Naibu Katibu Mkuu, ili ashindee kutoa Hotuba kwenye Mkutano wa IDU Nchini Ubelgiji. ( Unaweza jiuliza Mkuu, Hivi CCM na Genge lake hamna mwenye Akili, yaan Kwa Dunia ya Leo, unamkwamisha MTU safari ili asipate fursa ya kufikisha mawazo na Maoni ?)...
  4. The Palm Beach

    PreGE2025 Kada wa CCM: Rais Samia mwachie Tundu Lissu (Msingida) inatia doa uongozi wako bora

    Mtazameni na msikilizeni huyu kada wa CCM kisha tia neno unapata ujumbe gani kupitia kwake kuhusu kesi ya Tundu Lissu.... Anamtaka Mwenyekiti wake taifa - CCM, Bi Samia Suluhu Hassan kumwachia Tundu Lissu kwa sbb eti "..inatia doa uongozi wake bora..!!" Kwa wajuvi wa mambo ya propaganda za...
  5. Jamiitrailer

    PreGE2025 Rais Samia aliunda tume kuchunguza mfumo wa Haki jinai, akumbushwe kumfikisha mtu mahakamani bila upelelezi kukamilika ni kukiuka Haki jinai

    Wadau, 2023 rais Samia aliunda tume ya kuchunguza mfumo wa utoaji haki....Haki Jinai, kuangalia namna polisi, Takukuru, kitengo cha madawa ya kulevya, magereza na ofisi ya mwendesha mashtaka zinavyofanya kazi zao. Tume ilianzishwa kutokana na malalamiko ya wananchi ya kila siku kuhusu idara hizo...
  6. Cute Wife

    PreGE2025 Lissu kupelekwa mahakamani na wananchi waruhusiwa kwenda kusikiliza. Kesi kuendelea Mei 19, 2025

    Wakuu, Huu ni muendelezo ya kilichojiri mahakamani, naona bunge la EU limetisha watu mpaka wamebadilisha gia, sasa kesi itasikilizwa katika mahakama ya wazi na wanachi wataruhusiwa kusikiliza kesi hiyo. ==== Kutoka Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo, Jumanne Mei 06.2025 Mahakama ilikuwa...
  7. W

    PreGE2025 Ostadh Mazinge: Upo utaratibu wa kuomba Rais amuachie mtu, ukisema aachiwe mara moja ina maana una madaraka kuliko serikali

    Ustadh Mazinge anasema amesikia kuna mtu anaiamrisha serikali kwamba imto mtu ambaye yupo katika kesi. Amesema mbona wao wamewahi kukaa jela na habari kama hizo hawakuzisikia "Unaposema wewe unaamrisha kwamba yule atoke mara moja nu utovu wa nidhamu, utovu wa adabu. Huwezi kumuamrisha mkuu wa...
  8. A

    PreGE2025 Barua rasmi ya Tundu Lissu kwa Watanzania kutoka gerezani Ukonga

    Leo May 3, 2025, Tundu Lissu ametuma barua ya wazi kwa watanzania akiwa kolokoloni gereza la ukonga. Barua hii imechapishwa na Maria Sarungi kupitia mtandao wa X kama ifuatavyo, Barua rasmi ya Lissu kwetu sote! Alituma kwa Kiingereza neno kwa neno kupitia mtu aliyenifikishia na nimeweka hapa...
  9. Papaa Mobimba

    PreGE2025 Jaji Warioba: Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Waziri Bashungwa kutoa maoni kesi inayomkabili Lissu inaweza kutoa taswira mbaya kwa Serikali

    Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais Mstaafu, Jaji Joseph Warioba akitoa maoni katika kongamano la kitaifa kuhusu uchaguzi mkuu wa 2025 lililoandaliwa na Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), amesema kwamba hatua ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali pamoja na Waziri wa Mambo ya Ndani, Innocent...
  10. N

    PreGE2025 Wakili Kibatala: Tundu Lissu kugomea kula chakula Gerezani mpaka haki ipatikane

    Leo Mei 3, Mawakili wanaomtetea mshtakiwa Tundu Lissu wanazungumza na Watanzania kupitia vyombo vya habari. https://www.youtube.com/live/qwDj_39LjYk?si=p81m5_E7ICnpOth1 Kibatala: Intelijensia inayotumika kuthibiti maandamano ingetumika kuepusha kushambuliwa kwa Padre.Kitima na Mdude...
  11. Cute Wife

    PreGE2025 Viongozi wa dini wakiombea mitano tena ni wema, ila wakipinga unyanyasaji ni wachochezi na wahaini? Serikali mnafeli

    Wakuu, Yaani serikali, CCM mpaka mama mnaishangaza dunia, na kufanya hata tusiamini kwa huu ujinga na upuuzi mnatenda. Mama hadi alikenua Sheikh wa BAKWATA kumuombea ampe tulizo la moyo kwa kumpa mitano tena, hapo Sheikh alikuwa malaika, hana baya, ila ukiambiwa kweli ndio ukunje ndita? Vipi...
  12. P

    PreGE2025 Haya ndio magari wanatumia kusubilia watu ili baadaye waje kusema siyo wao?

    Salam Wakuu, Muliro ametoa statement leo akisema wao walimkamata Heche na Mnyika pekee na kwamba hawahusiki kwa wengine waliokamatwa na kuteswa. Wanachama wamehojiwa wakiwa wamepigwa na kuumizwa vibaya, kwamba wanatuambia walijiteka wenyewe na kujipiga? Siku ile ya kesi ya Lissu nilikuwa na...
  13. E

    PreGE2025 Wapinzani Afrika wanavyopambana na kesi mahakamani

    Wakati Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu akipambana na kesi zake mahakamani ikiwamo ya uhaini, wapo pia wanasiasa wa upinzani Afrika walioonja joto ya jiwe kwa serikali wanazozipinga na hata wengine kutupwa jela. Kesi ya Lissu imekuja wakati akiongoza kampeni ya No Reforms No Election (Hakuna...
  14. B

    PreGE2025 Askofu Bagonza: Kama nchi ni yetu sote kwanini watu hawaruhusiwi kwenda kusikiliza kesi ya Lissu Mahakamani?

    Anaandika Mtumishi waMungu: UJINGA WANGU SASA UMEKOMAA Niliamini UHAINI ni kosa kubwa. Neno lenyewe tu, linaogopesha kulisoma, kuliandika na kulitamka. Ni kitendo cha kutaka au kupindua serikali yoyote (halali au haramu). Sasa kuna mtu mmoja katuhumiwa kutaka kutufanyia hayo. Huyu atakuwa ni...
  15. Cute Wife

    PreGE2025 Heche akamatwa na polisi, apelekwa kituo cha polisi Oysterbay

    Wakuu, Msafara wa Makamu Mwenyekiti Bara Mhe. @HecheJohn umezuiwa na Jeshi na Polisi muda akiwa maeneo ya Selandar Bridge usiende Mahakama ya Hakimu Mkazi kufuatilia mwenendo wa kesi ya Uhaini inayomkabili mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. @HecheJohn leo tarehe 24, 2025 na kupelekwa Kituo cha...
  16. Cute Wife

    PreGE2025 TEC: Watu wasipochagua kwa Uhuru Demokrasia itakufa, wananchi wasiporwe nguvu yao ya kupiga kura na kuchagua

    Wakuu, Hivi ndio inavyotakiwa, sio viongozi wa dini wanageuka kuwa machawa na kuimba nyimbo za mitano tena wakati wanaona mambo hayaendi sawa. ==== "Madkteta wengi Duniani na hata hapa Afrika hawataruhusu uchaguzi ufanyike, kwani wataogopa uchaguzi ukifanyika hawatachaguliwa. Na kama...
  17. Cute Wife

    PreGE2025 Roland Ebole (Amnesty International): Wananchi tutambue nguvu tuliyonayo katika kutokomeza ukandamizaji wa demokrasia

    Wakuu, Kengele nyingine hiyo kwa Watanzania kuamka na kurudisha uwajibikaji na kuchochea utawala bora. ==== Roland Ebole Amnesty International asema ni muda sasa kwa wananchi kutambua kwamba tupo wenyewe, ni muda wa wanachi kuelewa nguvu tuliyonayo kwenye masuala yote haya na kuungana pamoja...
  18. Cute Wife

    PreGE2025 Roland Ebole (Amnesty International): Uminywaji wa Demokrasia Afrika Mashariki utaisha endapo wananchi wataungana

    Wakuu, Suala la Lissu na uminywaji wa demokrasia na uhuru wa maoni Tanzania linazidi kusambaa, Watanzania huu ndio muda wa kuamka na kuhakikisha kuna utawala wa sheria wa haki. ===== Mtafiti wa Kikanda wa Amnesty International kwa Afrika Mashariki, Roland Ebole akiwa katika mahojiano leo...
  19. SYLLOGIST!

    PreGE2025 Mabalozi watakaohudhuria kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu et al, Wafukuzwe kutoka nchini

    Kwanini uhudhurio wa mabalozi hawa lazima upingwe. Soma pia https://www.jamiiforums.com/threads/mabalozi-wa-marekani-na-jumuiya-ya-ulaya-waliopo-tanzania-watahudhuria-kesi-ya-uhaini-inayomkabili-tundu-lissu.2329878/ Katika miaka ya hivi karibuni, mabalozi wa kutoka Ulaya wamekuwa wakivuka...
  20. Erythrocyte

    PreGE2025 Tetesi: Mabalozi wa Marekani na Jumuiya ya Ulaya waliopo Tanzania watahudhuria kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu

    Kama ulidhani mambo haya ni madogo, basi unapaswa kufikiria Upya. Taarifa kutoka Makao Makuu ya Chadema inaonyesha Orodha ya Viongozi wa Juu wanaowakilisha Mataifa yao Nchini Tanzania wataohudhuria Kesi ya Uongo ya Uhaini aliyobambikiwa Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu, baada ya Viongozi wa...
Back
Top Bottom