Habari wanaJf,
Kumekuwa na upungufu wa Dola ya Kimarekani baada ya kutengamaa kwa kipindi kisichozidi miezi minne, kwasasa inapanda kwa kasi na imekuwa adimu ghafla na bila kuwa na Akaunti ya Dollar, baadhi ya Benki huwezi kupata.
Wafanyabiashara wanaoagiza mizigo toka nje ya nchi wanahaha...