uganda

Uganda, officially the Republic of Uganda, is a landlocked country in East Africa. It is bordered to the east by Kenya, to the north by South Sudan, to the west by the Democratic Republic of the Congo, to the south-west by Rwanda, and to the south by Tanzania.

The southern part includes a substantial portion of Lake Victoria, shared with Kenya and Tanzania. Uganda is in the African Great Lakes region, lies within the Nile basin, and has a varied equatorial climate. As of 2024, it has a population of nearly 46 million, of which 8.5 million live in the capital and largest city, Kampala.

Uganda is named after the Buganda kingdom, which encompasses a large portion of the south, including Kampala, and whose language, Luganda, is widely spoken; the official language is English. The region was populated by various ethnic groups before the Bantu and Nilotic groups arrived around 3,000 years ago.

These groups established influential kingdoms such as the Empire of Kitara. The arrival of Arab traders in the 1830s and British explorers in the late 19th century marked the beginning of foreign influence. The British established the Protectorate of Uganda in 1894, setting the stage for future political dynamics.

Uganda gained independence in 1962, with Milton Obote as the first prime minister. The 1966 Mengo Crisis marked a significant conflict between the Buganda Kingdom and the country's conversion from a parliamentary system to a presidential system. Idi Amin's military coup in 1971 led to a brutal regime characterized by mass killings and economic decline, until his overthrow in 1979.

Yoweri Museveni's National Resistance Movement (NRM) took power in 1986 after a six-year guerrilla war. This led to stability and economic growth, but authoritarian practices and human rights abuses continued. The abolition of presidential term limits, allegations of electoral fraud and repression, have raised concerns about Uganda's democratic future.

Museveni was elected president in the 2011, 2016, 2021, and 2026 general elections.

Human rights issues, corruption, and regional conflicts, such as involvement in the Congo Wars and the struggle against the Lord's Resistance Army (LRA), continue to challenge Uganda.

Despite this, it has made progress in education and health, improving literacy and reducing HIV infection, though challenges in maternal health and gender inequality persist. The country's future depends on addressing governance and human rights, while leveraging its natural and human resources for sustainable development.

Geographically, Uganda is diverse, with volcanic hills, mountains, and lakes, including Lake Victoria, the world's second-largest freshwater lake. The country has significant natural resources, including fertile agricultural land and untapped oil reserves, contributing to its economic development.

The service sector dominates the economy, surpassing agriculture. Uganda's rich biodiversity, with national parks and wildlife reserves, attracts tourism, a vital sector for the economy.

Uganda is a member of the United Nations, the African Union, G77, the East African Community, and the Organisation of Islamic Cooperation.

View More On Wikipedia.org
  1. Tanzania imepata ukuaji mdogo wa GDP ukilinganisha na Rwanda na Uganda kuanzia mwaka 2021

    Katika ripoti ya NBS inayoonesha masuala mbalimbali ya GDP kwa kipindi cha kuanzia April hadi Juni 2023, imeonesha ukuaji wa GDP wa Tanzania umeshuka ukilinganisha na Rwanda na Uganda. Tanzania imefananishwa na Rwanda na Uganda kwa kuwa ndio nchi pekee katika Jumuiya ya Africa Mashariki...
  2. Magaidi wa ADF wenye mlengo wa Islamic State (IS) wachinja watalii Uganda

    Hii yote kisa dini, watu wana imani za kiajabu sana................ A Ugandan national and two foreign tourists were killed in an attack by suspected Islamist rebels from the Allied Democratic Forces (ADF) in a national park, the police said on Tuesday. "We have registered a cowardly terrorist...
  3. Rais Yoweri Museveni akiwa na umri wa miaka 79 na miaka 37 ya Urais wa nchi ya Uganda

    Mwasibota Bazzukulu! Ndugu Rais Yoweri Kaguta K Museveni aliingia madarakani kama Rais nchini Uganda kwa njia ya mtutu wa bunduki, kama muasi dhidi ya serikali ya Milton Obote mwaka 1986, wakati huo Bwana Museveni akiwa na umri wa miaka 42, tangu wakati huo amekuwa madarakani kama Rais wa...
  4. Uganda, polisi wakamata mabomu ya magaidi yenye mlengo wa kiislamu yaliyokuwa yamepangwa kulipua makanisa

    Matukio kama haya ndio hufanya mapagan wasioabudu katika Mungu wanatushangaa sisi tunaoabudu maana mtu anakuja kabisa kupanga kuwalipua mabomu wakati mnaabudu ili mfe, huku akijiaminisha anachokifanya ni ibada kabisa kwa 'mungu' wake. ========================== Ugandan police foiled a bomb...
  5. Norway kufunga Ubalozi wake nchini Uganda

    Norway imetangaza kufunga ubalozi wake nchini Uganda mwaka ujao kama sehemu ya mageuzi ya kina katika huduma zake za kigeni. Taarifa iliyotolewa na ubalozi huo siku ya Ijumaa ilisema kuwa mabadiliko kadhaa yanaendelea katika uwepo wa kidiplomasia wa nchi hiyo nje ya nchi. "Kuzingatia na...
  6. Traffic: Uganda Vs Tanzania

    Hawa ndio Traffic wa Uganda dhidi ya Tanzania. Traffic wapi wanavutia zaidi kwa sare zao? Tanzania
  7. Mbona orodha ya matajiri Tanzania, Kenya, Uganda wengi ni Waarabu na Wahindi na si waafrika weusi?

    Ukiangia orodha ya watu matajiri Nchini Kenya na Tanzania utakuta Wahindi na Waarabu ndio wanaongoza kwa mali na utajiri Cheki orodha ya watu matajiri nchini Kenya hapo chini. Tizama pia list ya matajiri kutoka Tanzania. Na hapo kwenye list ya Tanzania ni kwa bahati mbaya tu Reginald Mengi...
  8. Wabunge Uganda wamekataa pendekezo la serikali la kuruhusu wasichana wenye umri wa miaka 15 kupata tembe za kupanga uzazi

    Wabunge nchini Uganda wamekataa pendekezo la serikali la kuruhusu wasichana wenye umri wa miaka 15 kupata tembe za kupanga uzazi ili kupunguza viwango vya juu vya mimba. Naibu Spika Thomas Tayebwa aliliita wazo hilo "Ushetani", akisema "Litarasimisha unajisi" wa wasichana. Afisa mkuu wa wizara...
  9. Fahamu kwa undani the ‘UGANDA SCHEME’, Israel wangeikubali Uganda, ya Palestine ndio yangetokea kwetu Afrika?

    Kiufupi sana, Waingereza walitaka kuwapa WaZayuni nchi ya Uganda ili waikalie, ambapo waGanda wangetimuliwa kama. Mbwa kwenye ardhi yao, sawa na inavyowatokea waPestona leo hii. Sawali ni Je, kwanini waliikataa Uganda yenye kila aina ya Rasilimali, badala yake wakaenda kugombania lile jangwa...
  10. Pamoja Afcon 2027: Tanzania vs Kenya vs Uganda

    Time to put things in their perspective. Ring road in Dodoma U/C https://youtu.be/rU64ZWjGhUo?si=Jpaj_cip-MYwSz_C
  11. M

    Sababu ya kusafirisha mafuta kutoka Uganda kupitia Bomba mpaka Tanga

    Za weekend wanaJF, Nimekuwa nikifikiria sababu inayotumiwa na nchi za Afrika kusafirisha mafuta kupeleka nchi za mbali bila kupata majibu. Nilitegemea mafuta ya Uganda na Tanzania tungeya-,process hapa kwetu Africa sababu sisi ni watumiaji wa bidhaa hii muhimu halafu ndio tuuze nje. Lakini...
  12. I

    Tajiri Uganda ajitangazia msiba ili kupima marafiki wa kweli

    Jamani dunia Ina Mambo na vijimambo. Tajiri mmoja nchini Uganda amewashangaza wengi. Tajiri huyo alikuwa na wanawake 4 kama ipasavyo Suna ya kiislam. Zamu ya mke mdogo ilipofika akaamua kuwa awadanganye watu kuwa amefariki ili awajue marafiki wa kweli. Alimpa simu mke mdogo awapigie simu...
  13. Media za Kenya na Uganda zinaelezea Fursa za EAC Pamoja AFCON FINALS 2027 za Tanzania zinahoji kwanini jina la Kenya limetangulia!

    Halafu GENTAMYCINE nikiwa Kutwa naidharau Media ya Tanzania mnaona nakosea au siijui jinsi ilivyo rotten Professionally. Hivi kweli kama tayari nchi Tatu za Uganda, Kenya na Tanzania zimefanikiwa kwa pamoja kuandaa Mashindano ya AFCON ya mwaka 2027 kuna haja logically media ya Tanzania kuhoji...
  14. K

    Tumeandaa AFCON sawa, nchi ipi kati ya Kenya, Uganda na Tanzania itatoa timu mwenyeji wa mashindano?

    Kenya Uganda na Tanzania zimepewa nafasi ya kuandaa kwa pamoja fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) mwaka 2027 baada ya Shirikisho la soka Afrika (CAF) kutangaza kuwa ombi lao pa pamoja limeshinda dhidi ya maombi ya Algeria, Misri na Botswana ambazo nazo ziliomba. Kwa kawaida utaratibu...
  15. T

    AFCON 2027: Tanzania, Kenya na Uganda kuwa wenyeji

    Zaweza kuwa ni nchi zitakazofanikisha sana mashindano haya. CAF wasione haya wayalete tu huku kwenye mzuka wa mpira. Ufunguzi iwe Tanzania na ufungaji pia iwe Tanzania. Dua zenu tafadhari. ===== Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika (CAF) limepitisha ombi la pamoja la nchi za Kenya...
  16. Uganda: Polisi wapiga marufuku mikutano ya kisiasa ya Bobi Wine kwa madai ya kumtukana Rais Museveni

    Jeshi la Polisi nchini Uganda limepiga marufuku mikutano ya kisiasa ya kiongozi wa upinzani, Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine, kutokana na ukiukaji wa utaratibu na kumchafua Rais Yoweri Museveni. Polisi nchini humo wamesema mtu mmoja amefariki na wengine 10 kujeruhiwa vibaya katika...
  17. Yanayosemwa huko Algeria kuhusu tuhuma za kufix mechi ya Tanzania vs Algeria

    Mengi yanasemwa kuhusu matokeo ya mechi ya Tanzania vs Algeria iliyoisha kwa suluhu na kuipeleka Tanzania AFCON 2023 huku Uganda ikikosa nafasi hiyo. Nimechukua kama lisaa kufuatilia nini kinasemwa huko nje na nakileta kwenu muone jinsi wanavyotuchafua na kutuona kama hatukuwa na uwezo wa...
  18. Uganda ingefuzu AFCON 2024 ingeiwakilisha vyema EAC kuliko Tanzania inayoenda Kutia Aibu tu huko

    Na hapa wala tusidanganyane Lengo la Watanzania wengi lilikuwa ni Kucheza tu AFCON 2024 huko Ivory Coast ila Mioyoni mwao wanajua na wanakubali kuwa inaenda kuwa Kapu la Magoli kwa Timu ambazo itapangwa nazo Kundi Moja na Kutia Aibu. Kwa Mfumo wa Soka la Uganda, Vipaji vilivyopo na Commitment...
  19. Uganda: Barabara kufungwa kupisha Sherehe za Siku ya kuzaliwa Rais Museveni

    Askari wa Usalama Barabarani wametangaza kufunga barabara jijini Kampala kwa ajili ya sherehe za kuadhimisha Miaka 79 ya kuzaliwa kwa Rais Yoweri Museveni, Septemba 8, 2023, zitakazofanyika katika Uwanja wa Uhuru na kutarajiwa kuhudhuriwa na watu zaidi ya 100,000 kutoka Nchi mbalimbali Sherehe...
  20. Yoweri Museveni Rais wa Uganda amepiga marufuku Mitumba. Amesema ni Nguo zilizoachwa na Wafu wa Ulaya

    My Take Rwanda tayari,Uganda tayari. --- The President was speaking at the opening of 16 factories at Sino-Uganda Mbale Industrial Park yesterday. President Museveni has re-echoed the need for citizens to embrace the Buy Uganda Build Uganda (BUBU) policy if the country is to develop. In line...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…