ufisadi afrika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. McLaren

    Mke wa aliyekuwa Rais wa Zamani wa Gabon Ali Bongo na mwanae wahstakiwa kwa ufisadi

    Sylvia Bongo, mke wa Rais wa zamani wa Gabon Ali Bongo, pamoja na mtoto wao Noureddin, wanakabiliwa na kesi kwa tuhuma za kufuja fedha za umma. Wawili hao, wanaoishi uhamishoni mjini London, wamekanusha mashtaka hayo na kudai kuwa waliteswa wakati wa kipindi cha miezi 20 walichokuwa kizuizini...
  2. H

    Ni wakati sasa Mungu atupe ukomo wa kiasisi cha binadamu kumiliki pesa

    Kwani watu wamekuwa wanyama hada viongozi wa kiafrika wanaojilimbikizia mali na kujikita kwenye ufisadi mkubwa hivyo ni vyema Mungu akawezesha viongozi wa kiafrika au utajiri wa mwafrika usizodi bilioni 2 ikizidi hapo basi uwe ni ugonjwa na aafe tu. Nasema hivyo kwani roho mbaya zinawaandama...
  3. M

    Kama hii ndio mbinu aliyotumia Kagame kudhibiti Rushwa na Ufisadi, basi Tanzania na nchi nyingi Afrika tuna safari ndefu, Sio Rahisi hata kidogo

    Katika video hii, Rais wa Rwanda, Paul Kagame aliulizwa kuhusu namna ya kupambana na rushwa akajibu rushwa haiondoki kwa kusali au kuswali bali kuwa na nia hamuitaki. Hili suala la kutotaka rushwa ni kwa kila mtu hadi viongozi. PIa ametaja kuwa uwajibikaji ni muhimu kwa ngazi zote hadi...
  4. U

    Jinsi Viongozi wa Serikali wanavyokula Kodi na Pesa za Mikopo

    Nakiri kabisa ni kweli Mange anavyosema kuwa Viongozi wa Serikali wanajilimbikizia mali, kupitia mikopo na kodi za Serikali. Viongozi wa Serikali licha ya kunufaika kwa kuwaingiza watoto wao Serikalini na kuwapa ajira na teuzi za upendeleo, huo ni upande mmoja wa namna wanavyojinufaisha. Njia...
  5. Samia atosha tukutane2030

    Kwa kuwa tumeshindwa kudhibiti rushwa na ufisadi basi serikali ifundishe mashuleni namna bora ya kula na kutoa rushwa. Pia ifundishe namna kufisadi

    Tuache unafiki. Suala la kudhibiti rushwa na ufisadi nchini Tanzania tumeshindwa – na hilo ni wazi kwa kila anayeangalia hali halisi bila miwani ya chama wala imani ya kisiasa. Taasisi ya kupambana na rushwa inasubiri maagizo kutoka kwa wanasiasa walioko madarakani – wengi wao wakiwa ndio...
  6. ndege JOHN

    Kwa mfano ingekuwa wewe Rais ungedili vipi na Ufisadi na Madawa ya Kulevya.

    Assume we ndo rais embu tuweke wazi ungefanyaje katika serikali yako ili rushwa zikome na uratibu kiundani bandarini. Mimi binafsi ningetoa billion 50 kwa ajili ya camera cctv dar na pia barabara za tanroads kisha kila mwezi NATOA report ya makusanyo na Matumizi.kama taifa tunabaini Lost.
  7. milele amina

    Uwanja wa kiwango hiki umekarabatiwaje kwa Bilioni 1.6? Mbona kama tunapigwa hapa?

    Jamani, kama kuna fedha kuibiwa, basi awamu ya sita inakabiliwa na wizi mkubwa kweli! Uwanja huu, ambao umekarabatiwa kwa gharama ya shilingi bilioni 1.5, hauna thamani yoyote. Inashangaza jinsi uongozi wa Manispaa ya Moshi unavyoweza kutufanya tuone kama tumepigwa kichefuchefu kwa jambo hili...
  8. R

    Ni ngumu sana kuwa mzalendo kwenye nchi ambayo "inaliwa" na wenye madaraka!

    Ikifika mahali kila mwananchi anaona kabisa kuwa nchi "inaliwa" na wenye madaraka, ile sense ya uzalendo kwa anayejitambua lazima ife! ndipo tulipofika kwetu hapa! Mtu atajifanya, atahubiri uzalendo kwa vile anaogpa rioting kutoka kwa walalahoi wasije wakawa class conscious wakawadhuru...
  9. Mindyou

    Ghana: Waziri wa Fedha adaiwa kukimbia nchi kwa tuhuma za rushwa. Ofisi ya mwendesha mashtaka inamsaka kumpeleka mahakamani

    Wakuu, Namsalimu Mwigulu Nchemba kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kazi iendelee =============================== Huko nchini Ghana aliyekuwa Waziri wa Fedha wa Ken Ofori-Atta, anatafutwa na Ofisi ya Mwendesha Mashtaka Maalum ili ajibu tuhuma za rushwa. Tangazo hilo...
  10. Mindyou

    Gavana wa zamani wa Kenya ahukumiwa miaka 12 jela kwa tuhuma za ufisadi na ubadhirifu pindi akiwa kiongozi!

    Aliyekuwa Gavana wa Jimbo la Kiambu, Ferdinand Waititu amehukumiwa kifungo cha miaka 12 jela ama kulipa faini ya kiasi cha Sh1.08 bilioni (Ksh53.8 milioni) baada ya kumtia hatiani kwa makosa ya ufisadi na utoaji zabuni ya barabara yenye thamani ya zaidi ya Sh11 bilioni (Ksh588 milioni). Akisoma...
  11. Mindyou

    Ukitaka kujua ufisadi wa CCM angalia kiasi hiki walichotoa USAID mwaka 2023. Kwanini bado tunalipia huduma za afya?

    Wakuu, Wakati napita pita zangu mitandaoni nimkeutana na hili bandiko linaloonesha kiasi cha pesa ambacho Marekani iliipa Tanzania mwaka 2023 kama msaada. Inawezekanaje kwamba tulipewa msaada wa USD Milion 512 ndani ya mwaka mmoja kwenye sekta ya afya pekee alafu bado wagonjwa wanalala chini...
  12. Suley2019

    Rushwa na ufisadi bado vimekithiri katika nchi nyingi za Afrika licha ya jitihada zinazofanyika kuikomesha

    Suala la rushwa na ufisadi ni mambo linalosumbua duniani kote. Rushwa inatikisa katika mataifa mengi ulimwenguni yaliyoendelea na yasiyoendelea na ushahidi unaonyesha kuwa rushwa inaumiza watu maskini kupita kiasi. Kwa mujibu wa makala iliyotolewa katika tovuti rasmi ya Serikali ya Afrika ya...
Back
Top Bottom