Hatimaye dunia imeanza kuongea lugha moja dhidi ya huu ugonjwa ambao umeikumba dunia kwa miaka 1,400 sasa. Macho yanaanza kufunguka taratibu, itachukua muda lakini.
Kitambo tulikua tunadhani haya mambo hufanywa na watu wasiokua na elimu, lakini hebu waza rubani mtu mwenye elimu yake anajitoa...
Miaka ya karibuni Chadomo wamekuwa wakidai kwamba CCM imeshindwa kuleta maendeleo Kwa sababu eti kisa hakuna Demokrasia na Katiba Mpya kama Ulaya.
Na kwamba Katiba Mpya as per Chadomo ndio muarobaini wa matatizo na huko Ulaya na USA hakuna shida kabisa Kwa vile Wana Demokrasia na Katiba nzuri...
Ukiangali kinachoendelea ufaransa lazima utakubaliana na mimi wanahitaji kiongozi aina ya benyamini Nentanyau
Kwanini nasema hivi diaspora kutoka algeria, morocco, na tunisia ndo wanaongoza kuiharibu nchi
Psg ikishinda wanachoma nchi, morocco ikifungwa nchi inachomwa, watu wakiandaa maandamano...
Ufaransa imeanza kuchukua hatua za kupunguza utegemezi wake kwa programu na teknolojia zinazomilikiwa na makampuni ya Marekani, hasa katika taasisi za serikali.
Hatua hiyo ni sehemu ya mkakati wa Ufaransa wa kulinda “uhuru wake wa kidijitali”, yaani kuhakikisha taarifa muhimu za nchi na mifumo...
Hali iliyopo Kambini ni ya furaha sana maana utabiri unaonesha kuwa Morocco imefanikiwa kumwondoa France katika hatua hii ya Robo Final.
Kwa kweli haikuwa kazi rahisi. Mizimu yote ya Kiarabu imeshirikishwa kwa ukaribu sana. Majini rafiki yamekubali kushiriki na kucheza pia. France...
Sijui hizi habari zina ukweli kiasi gani ila nimeona kuna watu wanasema Samia kaenda au anaenda huko Paris.
Kama ni kweli, jipangeni ‘mumkaribishe’ kwa namna ambayo hatoisahau.
Msiogope. Huko hao watu wake hawana cha kuwafanya.
Mshikieni mabango. Mkiweza chukueni hata vipaza sauti.
Mpingeni...
Paul Makonda na Serikali yake Wamefungia Maandamano Tanzania, lakini ajabu ameenda kuandamana Nchi ya watu tena kapewa Ulinzi. Aliandama huku akitabasamu akifurahia kuandamana.
Annatumia mmaandamano kueneza ujumbe kuhusu Kiswahili. Ila ukimwambia tuandamane kuhusu Katiba unaitwa mhani sababu...
katiba
katiba mpya
kisa
kiswahili
kuandamana
maandamano
maandamano ya katiba
makonda
marufuku
mpya
paris
paul makonda
tanzania
tanzania maandamano
ufaransa
Utawala wa kijeshi wa Burkina Faso imevunja uhusiano wa kidiplomasia na Ufaransa rasmi kuanzia Juni 26, 2026, nchi ambayo ilikuwa mtawala wao wa zamani wa kikoloni, ukiishutumu kwa kuendelea kufanya mambo yanayokwenda kinyume na maslahi yake.
Taarifa iliyotolwa na Serikali hiyo ya kijeshi...
Duh huu uganga ni fashion ya kizamani mno.. Zamani mno enzi Mr. Noah bado yupo ndani ya safina.
Mbappe wa kwanza kuingia uwanjani , Mbappe wa kwanza kutoka uwanjani. Uchawi kama wa Simba na Yanga.. Uchawi wa kitoto kwelikweli Ufaransa wamepigwa 😁😁.
Anyways kesho QATAR wagomee mechi, nimeona...
Kombe la Dunia linaendelea tena leo ambapo Ufaransa watakuwa uwanjani dhidi ya Iraq
Naamini chama langu France litamkana sana mpenda vita Iraq
Soma Pia: FT: Ufaransa 3-1 Senegal | World Cup 2026 | MetLife Stadium | 16 Juni, 2026
Ingawa walionyesha kiwango kisichoridhisha katika kipindi cha...
Dah huyu jamaa anaandika historia mapema sana.
Baada ya mechi ya jana dhidi ya Senegal, Kylian Mbappe amekuwa rasmi mfungaji bora wa muda wote wa timu ya taifa ya France baada ya kufikisha mabao 58 na kumpita Olivier Giroud aliyekuwa na mabao 57.
Mbappe alipiga mabao mawili kwenye ushindi wa...
Timu ya Taifa ya Senegal imekubali kichapo hicho katika Kundi I, licha ya kuanza kucheza vizuri kipindi cha kwanza cha mchezo huo, kipindi cha pili mbinu za Ufaransa zikawa bora na kupata magoli kupitia kwa Kylian Mbappe dakika ya 66 na 90 na Bradley Barcola (82).
Senegal imepata goli lake...
Wanabodi
Hii ni C & P from
RatibaPodcast
Lengo la hija ye yote ni kuleta furaha ya ndani ya mhujaji. Ni Kitendo cha kujialika upya wa maisha. (Vatican Media)
VATICAN
Hija ya Wawata Nchini Italia, Ufaransa na Ureno! Chemchemi ya Baraka na Neema
Lengo la hija ye yote ni kuleta furaha ya ndani...
Burkina Faso imeipiga marufuku televisheni ya Ufaransa, TV5 Monde, ikiituhumu kwa kueneza "habari za uongo" kuhusu hali ya ugaidi nchini humo na nchi jirani ya Mali. Uamuzi huo ulitangazwa na mamlaka ya kusimamia vyombo vya habari nchini humo siku ya Jumanne Mei 5, 2026.
Hii si mara ya kwanza...
Iran’s President Masoud Pezeshkian urged Europe to play a more active role in pushing the United States toward an agreement, saying diplomacy remains the best way to resolve disputes, according to state media.
In a call with France’s President Emmanuel Macron, Pezeshkian said Iran was ready to...
Uingereza, Ufaransa, Ujerumani, Italia, Uholanzi na Japani zimesema zitachukua hatua za kuimarisha utulivu wa masoko ya nishati, na ziko tayari kushiriki katika “juhudi stahiki” ili kuhakikisha usalama wa upitishaji katika Mlango wa Hormuz.
Mahakama nchini Azerbaijan Jumatatu imemhukumu raia wa Ufaransa, Martin Ryan, kifungo cha miaka 10 jela baada ya kupatikana na hatia ya ujasusi kwa niaba ya Paris, tuhuma ambazo alikiri kwa sehemu, kwa mujibu wa shirika la habari la serikali ya Urusi RIA Novosti.
Mamlaka ya mji mkuu Baku...
Wabunge wa Ufaransa wamepitisha mswada ambao utawapiga marufuku vijana wa chini ya umri wa miaka 15 nchini humo kuwa katika mitandao ya kijamii.
Mswada huo uliopitishwa katika Bunge la kitaifa sasa utapelekwa kwa Baraza la Seneti ili kupitishwa kuwa sheria. Rais Emmanuel Macron ameitaja kuwa...
Mwaka 2024 Canada ikishinikizwa na Marekani iliweka ushuru wa 100% kwa magari ya umeme ya China kama ilivyofanya Marekani.
The table has turned, hivi karibuni Waziri Mkuu wa Canada Mark Carney alikuwa na ziara nchini China. Katika ziara hiyo alifungua milango ya kibiashara kati ya mataifa hayo...