uendelee

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rais Samia na CCM wenzangu, ni utamaduni wa siku nyingi kila Rais kuwa na Waziri Mkuu wake, tunaomba utamaduni huo uendelee!

    Ni kawaida kwa Rais, mara tu anapoanza awamu yake ya uongozi, kuteua Waziri Mkuu wake,mtu anayemwamini,atakayeenda na falsafa yake, bila kumuwekea makundi. Marais huwa wanaachana na Mawaziri wakuu wa watangulizi wao kuashiria zama mpya, pia kuvunja kundi la kisiasa la aliyemteua. Ni wazi, lile...
  2. Unataka urafiki wenu uendelee kudumu? Basi usijenge nyumba jirani na yule "best friend" yako

    Good afternoon JamiiForums. Je, unataka urafiki wenu uendelee kudumu miaka na miaka? Basi usijenge nyumba jirani na yule "best friend" yako. Usifikiri mkijenga majirani ndio mtadumisha urafiki wenu mkuu. Hapana kwa sababu kuu moja kwamba, wewe na yeye mnaweza kuwa "best friends" lakini wake...
  3. Namuunga mkono Spika Ndugai, ujenzi Bandari ya Bagamoyo uendelee

    Najua topic imepita, lakini ninajua kidogo kuhusu mradi wa Bandari ya Bagamoyo na napenda kumuunga mkono Mhe Spika kwa hoja zifuatazo. Na naamini Serikali yetu itazichukulia kama ushauri wa Mbunge kwa Serikali, ambao ndio wajibu wetu wa msingi kama Wabunge. Muhimu kujua background ya mradi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…