udiwani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. tonicimmobility

    PostGE2025 Manara: Udiwani wa kuvaa majoho na masuti lazima tuache

    Katika mkutano wa waandishi na waandishi wa habari alioufanya leo Novemba 20, 2025 Mkurugenzi wa manara tv na diwani mteule wa kata ya kariakoo Hajj Sunday Manara ameeleza kuwa udiwani wa kuvaa majoho na masuti kwa sasa lazima uachwe akitilia mkazo suala la uwajibikaji kuliko kuzingatia vyeti...
  2. M

    Day 3: Magari ya CCM, nyumba ya mgombea udiwani vyachomwa moto na waandamanaji jijini Mwanza

    Hali jijini Mwanza leo Oktoba 31 imeonekana hivi:
  3. Inside10

    GE2025 INEC Yafuta Kata 10, Yatengua Wagombea Udiwani 7

    https://www.instagram.com/p/DPtYNuFDePb/?igsh=cHd1bDVuOG9lejV5
  4. Just Pray

    GE2025 Mgombea udiwani Isevya: Mwaifunga alikuwa mbunge wa low profile sasa anaibuka juu

    Aliyekuwa Mstahiki Meya wa Manispaa ya Tabora ambaye kwa sasa ni Mgombe wa nafasi ya udiwani Kata ya Isevya kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Ramadhani Kapela amezindua rasmi kampeni ya kuomba ridhaa kwa wakazi wa kata hiyo Akizungumza na kumuombea kura Rais na Mgombea Ubunge Jimbo la...
  5. Just Pray

    GE2025 Mgombea udiwani Ilomba: Dkt. Tulia ni bidhaa adimu duniani Mungu ametusaidia

    Mgombea wa Nafasi ya Udiwani Kata ya Ilomba Kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Noah Mwakisu awasisitiza wakazi wa Jimbo la Uyole kumuunga Mkono na Kumpa kura za heshima Dkt. Tulia kwani ni bidhaa adimu. Akizungumza Katika Mkutano wa Kampeni za Mgombea Ubunge wa Jimbo la Uyole Dkt. Tulia...
  6. DodomaTZ

    GE2025 Mgombea Udiwani, John Ryoba Mrema anadi sera zake, asema watajenga kivuko katika Mtaa wa Kanga

    Mgombea Udiwani katika Kata ya Kinyerezi kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, John Ryoba Mrema (Wahenga aluminium) amesema endapo atachaguliwa kuwa diwani katika hiyo hatakuwa tayari kuona maturubai katika kipindi cha mvua kwenye bàadhi ya mitaa ikiwemo Mtaa wa Kanga. Wahenga ametoa kauli hiyo...
  7. peno hasegawa

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimefanikiwa kukusanya karibu bilioni 100 za kampeni, ila hazina msaada kwa wagombea Ubunge Wala Udiwani kupitia CCM

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimefanikiwa kukusanya karibu bilioni 100 kupitia michango ya wafanyabiashara mbalimbali nchini. Hata hivyo, kuna masikitiko makubwa miongoni mwa wanachama na wagombea wa chama hicho, hususan wale wanaowania nafasi za ubunge na udiwani. Fedha hizi, ambazo zinapaswa...
  8. Mhaya

    Tukio la Kutekwa kwa Ndugu wa Mgombea Udiwani CCM Sirari

    Sirari, Tarime – Mara Tarehe 11 Agosti 2025, majira ya saa 8:27 usiku, tukio la kutisha liliripotiwa kutokea katika makazi ya aliyekuwa mgombea udiwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kata ya Sirari, wilayani Tarime. Mashuhuda wanasema kundi la watu wasiojulikana, wakiwa na silaha za moto...
  9. Kabende Msakila

    CCM: tulioshindwa maoni na tusioteuliwa kugombea ubunge, wawakilishi na udiwani

  10. R

    Chaumma na ACT , na baadhi ya vyama vile 11 watapewa viti vya Ubunge na udiwani kuhalalisha haramu

    Time will tell! Mark this thread!
  11. W

    GE2025 CHAUMMA: Hadi sasa tumeshateua wagombea udiwani 3,182 kati ya kata 3,962 kwa upande wa Tanzania Bara

    Naibu Katibu mkuu CHAUMMA, Benson Kigaila wakati akizungumza na waandishi wa habari ameeleza kuwa kwa kiwango kikubwa wamefanikiwa kuteua wagombea wa nafasi ya udiwani kwa upande wa Tanzania bara ambao kwa sasa wanaruhusiwa kwenda kuchukua fomu kwenye tume. Kigaila ameeleza kuwa wagombea...
  12. DuaZaMama

    GE2025 Mgombea Udiwani ajenga kiwanda cha bilioni 14

    Mgombea nafasi ya Udiwani kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Musa Musa ambaye ameteuliwa na Chama hicho Kata ya Lugelele Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Mkoa wa Mbeya, amejenga kiwanda cha bilioni kumi na nne kitakachoajiri vijana 400 na kusaidia kutatua changamoto ya ajira. Bw. Musa...
  13. Just Pray

    GE2025 CCM yawatangaza waliopita kuwania udiwani Buchosa

    Katibu wa CCM Wilaya ya Sengerema, Rashid Semindu, ametangaza majina ya madiwani walioteuliwa kuwania nafasi hiyo katika wilaya ya Sengerema. Aidha, amewakabidhi barua zao za uteuzi na kuwataka waendelee kushikamana ili chama kipate kura za kutosha katika Uchaguzi Mkuu.
  14. DuaZaMama

    GE2025 Wanachama wa CCM waandama Ulanga kwa kutoridhia uamuzi wa jina la mgombea nafasi ya Udiwani

    Wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) zaidi ya 50 kutoka kata ya Minepa Wilaya ya Ulanga mkoani Morogoro wameandamana katika Ofisi ya Mkoa ya Chama hicho, kwa madai ya kutoridhia uamzi wa jina la mgombea wa nafasi ya udiwani aliyeshinda kwenye kura za maoni kutorudishwa, wakishinikiza kurudisha...
  15. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 CCM yapitisha Wagombea 208 wa Udiwani Dodoma kwa Uchaguzi Mkuu 2025

    Jumla ya wagombea 208 kati ya 209 wa nafasi ya udiwani kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma waliopata ushindi kwenye kura za maoni, wamepitishwa na kikao cha Halmashauri Kuu ya mkoa kugombea nafasi hiyo katika uchaguzi mkuu ujao. Hata hivyo, mgombea mmoja wa Kata ya Ihumwa jijini...
  16. Knock life

    Byabato popote ulipo nadhani salamu umezipata na kama haujazipata nakupatia muda huu.

    Ndugu Byabato usiendelee na hizo dharau za kusema unaweza kuwachagulia wananchi wa Bukoba mjini Mbunge . Kuwa makini Sana wala usithubutu kuingia katika huo mtego wa kushindana na Mwenyekiti wa chama na kamati kuu waliokukata.
  17. K

    Ni muda sahihi Kwa waliokosa nafasi za ubunge na udiwani waende veta

    Baada ya kura za wajumbe kufanyika waliokosa nafasi za kuwakilisha vyama vyao kwenye uchaguzi wa 10.29.2024 katika ngazi za ubunge na udiwani Kwa Sasa ni muda muafaka wa wao kwenda Veta
  18. McLaren

    GE2025 Wananchi waandamana kumkataa mgombea wa Udiwani aliyeshinda kwenye kura za maoni

    Wakuu, Huko Bihawana wajumbe wamechachamaa kwa kuandamana wakipinga matokeo ya kura za maoni. Hawa wananchi hawamtaki diwani aliyeshinda kura za maoni wanasema tangu aingie miaka 10 iliyopita hajafanya kitu chochote cha maana na wao walikuwa wanataka akatwe tangu mapema lakini jina lake...
  19. W

    GE2025 Apaikunda aongoza kura za maoni udiwani kata ya Mawenzi

    Diwani aliyemaliza muda wake wa Mawenzi, Jimbo la Moshi Mjini, Apaikunda Naburi ameongoza kura za maoni katika kata hiyo kwa kupata kura 58 kati ya 94 zilizopigwa. Akitangaza matokeo hayo, katika uchaguzi huo uliofanyika leo Jumatatu, Agosti 4, 2025, Katibu wa CCM Kata ya Mawenzi, Jolitha John...
  20. W

    GE2025 Mtia nia Udiwani aliyetoweka siku 7 kupigiwa kura leo. Polisi kufanya uchunguzi

    Wakati wajumbe wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kata wakijiandaa kupiga kura kwa watiania wa ubunge na udiwani leo Jumatatu, Agosti 4, 2025, hali ni tofauti kwa Siza Mwita, mtiania wa udiwani wa Ganyange mkoani Mara, ambaye zimepita siku saba hajulikani alipo. Hata hivyo, Jeshi la Polisi mkoani...
Back
Top Bottom