uchumi tanzania

Uchumi Supermarkets, often referred to simply as Uchumi, is a Kenyan supermarket chain. The word uchumi means "economy" in Swahili.

View More On Wikipedia.org
  1. Damaso

    Drama Blockchain Masterclass na sintofahamu za Mtazamo wa Sheria Tanzania

    Katika miji kama Dar es Salaam, Dodoma na Arusha, matangazo ya Blockchain Masterclass yamekuwa kama matangazo ya tamasha la muziki—kila wiki yapo, kila kona yanavutia sana. Ahadi ni ile ile: “Jifunze teknolojia ya baadaye, badilisha maisha yako.” Lakini tujiulize je, haya madarasa yanaendana na...
  2. Club Mate

    BoT yavunja Rekodi Kuuza Akiba ya Dola huku Thamani ya Shilingi Ikizidi Kushuka

    Tangu kumalizika kwa Uchaguzi Mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2025, Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imeuza jumla ya Dola za Kimarekani milioni 168 kwenye soko la fedha la mabenki – Interbank Foreign Exchange Market (IFEM). Hiki ni kiasi kikubwa na cha mara kwa mara ambacho hakijawahi kuonekana katika...
  3. Masalu Jacob

    Uwekezaji na Uchumi Tanzania: Vipato vya wananchi viheshimiwe

    Habari Tanzania ! Mimi na Wewe ni marafiki. Tunapendana sana. Tunaishi taifa moja na kwanini leo nikunyime Elimu. Karibu. Y = C + S ni sawa na kusema; Y= C+ I Hii maana yake; Y = Income/ Kipato C= Consumptions/ Matumizi S = Savings/ Hifadhi I = Investment/ Uwekezaji Nawaletea mambo kwa...
  4. Fortilo

    DOKEZO TRA Kipata nani anamkingia kifua Thom Lardha/Phares Lardha kupandisha kodi kubwa ghalfa ndani ya muda mfupi?

    Mwenye nyumba Kariakoo (Mtaa wa Sikukuu/Kipata) anataka kuvuruga watu. Hapo nyuma alikuwa anapokea kodi ya TZS 24,000,000/= p.a, lakini yeye analazimisha na mwanasheria wake kuandika kodi ya TZS 6,000,000 tu p.a. Mwaka jana akasema kodi imepanda kutoka Mil 24 mpaka Mil 36! Akaambiwa kama...
  5. Cute Wife

    Bunge lapitisha nyongeza ya bajeti ya Tsh. Bilioni 945

    Wakuu, Bunge limepitisha nyongeza ya mapato na matumizi ya jumla ya shilingi bilioni 945.7 kwa ajili ya kuongeza kwenye Bajeti ya Serikali ya mwaka 2024/25 kutoka shilingi trilioni 49.346 iliyoidhinishwa awali hadi shilingi trilioni 50.291. Nyongeza hiyo imewasilishwa na Waziri wa Fedha...
  6. GoldDhahabu

    Viwanda ndiyo suluhisho la ukosefu wa ajira?

    Japo inasemekana hali ya usalama siyo nzuri sana Afrika Kusini, bado watu wanamiminika huko kila siku iitwayo leo! Walipokamatwa Wasomalia waliokuwa wakipita Tanzania kinyemela, walisema wanaenda Afrika Kusini! Hata Waethiiopia nao madai yao ni yayo hayo! Ukiwauliza Watanzania wengi nchi...
  7. Yoda

    Hukajawahi kuwa na vita vya uchumi Tanzania, Historia iwekwe sawa

    Kuna watu wengi waliwahi kuaminishwa Tanzania iko au imewahi kuwa katika vita vya uchumi au inafanyiwa figisu za uchumi na majirani zake, mataifa ya nje na kampuni za kimataifa. Ukweli ni kwamba hatujawahi kuingia katika vita vya uchumi nchi hii. Mabishano na kutofautiana katika sera za uchumi...
  8. ngara23

    Kenya Huwa wanatuzidi vipi kwenye uchumi Tanzania?

    Me sio mtaalam wa masuala ya uchumi. Nimetembea baadhi ya maeneo Kenya kwenye harakati za kuusaka mkate maeneo kama Kisii, Migori Mombasa na Nairobi na maeneo mengine kadhaa Lakini nmegundua Kenya Kuna taabu sana, yaani maisha ni magumu, Wakenya wananuka shida Miundo mbinu mibovu, Tanzania...
  9. Introvert Music

    PreGE2025 CCM itabaki milele madarakani sababu inaongoza masikini

    Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema, CCM ITABAKI MILELE madarakani sababu ni moja tu wanaowaongoza ni wananchi masikini sana. Huwa nashangaa mfano mbunge anakuja watu wanamchekeachekea tu yaani ile ya kujipendekeza kwa tajiri nafikiri mmenipata. Kuna siku kamapeni ilifanyika mkoa fulani...
  10. J

    Kila mwaka 70% ya Bajeti ya nchi inaelekezwa kwenye ununuzi, Je, thamani yake inamfikia mwananchi?

    Ununuzi wa umma unachukua sehemu kubwa ya matumizi ya Serikali barani Afrika, ikihusisha zaidi ya asilimia 70 ya bajeti ya nchi. Hii inatoa fursa kubwa lakini pia inakabiliwa na changamoto nyingi, zikiwemo dosari za vitendo vya rushwa na ubadhirifu wa fedha za umma. Taarifa za Wakaguzi Wakuu wa...
  11. R

    Watanzania mnaposhangilia nchi kulipishwa faini za mabilioni msidhani mnamkomoa Hayati Magufuli. Yeye alishamaliza mwendo wake

    1. Tanzania na hasa upande wa serikali hakuna wanasheria wabobezi wa mikataba ya kimataifa 2. Kesi za Tanzania zilizofunguliwa kwenye mahakama za kimataifa zinasimamiwa na watumishi wa umma wanaona posho kama kipaombele na siyo wanasheria wabobezi. 3. Kesi hizi zinasimamiwa kwa siri kubwa huku...
  12. ChoiceVariable

    Tanzania kuilipa Indiana Resources Ltd Bilioni 237 baada ya kuvunja mkataba mwaka 2018. Yatanguliza Bilioni 92

    My Take: Kama Nchi ingesubiria na kutangaza kwamba haitaongeza mda wa leseni by 2020 basi mradi hodhi ungerejea Serikalini bila kulipa fidia yeyote. Akili ni nywele kama huna wenya nazo wataendelea kutunyoa Kwa msumeno.Pia soma Wanasheria wa Serikali Wakwama Mahakama ya Kimataifa. Bilioni 300...
  13. J

    Nchi hufilisika pale inapokuwa imeweka rehani rasilimali zake zote na siyo inapofeli kulipa Wakandarasi

    Nchi inapoweka Rehani Rasilimali zake zote Ndio tunaiita Mufilisi kwa sababu inakuwa haikopesheki tena. Kuchelewa kulipa makandarasi na Wazabuni wengine hilo ni jambo la kawaida sana Ndio sababu umewekwa utaratibu wa kuwalipa Riba ya kuchelewesha malipo. Ni sawa tu hii Mikopo yetu ya Eniembii...
  14. Sifi Leo

    Rais Samia mbona kwenye miradi hii chanzo cha fedha ni wahisani pekee, Kodi zetu zinafanyia nini?

    Mh. Rais hivi sasa ni saa kumi na mbili kamili nina Imani umeisha amka na umeisha swali Dua ya Asubuh! Mh. Rais shikamoo! Mh. Rais nauliza swali dogo na mimi ni Mtanzania na Mkurugenzi wa Taasisi kwa miaka 7 nchini Tanzania na ni mlipa Kodi mzuri kwa mujibu wa sheria zetu na ni MUUMINI wa...
  15. Analogia Malenga

    Kwanini TRA wasigawe EFDs badala ya kuziuza?

    VAT ni kifupi cha Value Added Tax. Ni kodi inayotozwa kwenye bidhaa, huduma, na mali isiyohamishika ya shughuli yoyote ya kiuchumi wakati thamani inapoongezwa katika kila hatua ya uzalishaji na hatua ya mwisho ya mauzo. Viwango ni 18% kwa usambazaji wa kiwango cha kawaida, na 0% kwa mauzo ya...
  16. Dr. Mwigulu Nchemba

    Kodi zetu ndio Maendeleo ya Taifa letu

    Kodi zetu ndio Maendeleo ya Taifa letu. Mwaka 2021/22- Trillions 22.2. Mwaka 2022/23- Trillions 24.1. Mwaka 2023/24- Trillions 27.6 ==== Pia soma: Mgogoro wa Kariakoo vs TRA; Tatizo Siyo Kodi Bali Matumizi Mabaya ya Kodi Chini ya 20% Ya watanzania ndio walipa Kodi
  17. Manyanza

    Maoni ya Mtanzania anayeishi UK kuhusu kupanda kwa kodi za majengo

    Haya ni maoni ya Mtanzania ambaye kwa akili yangu nimemuona kama hajielewi na hajui jinsi vile hizi kodi na tozo zinavyotafunwa Kifisadi hapa Tanzania 👇👇👇👇 Hii kodi ni ndogo sana...kwa mwezi... Nyumba ya kawaida ilitakiwa ilipie kodi ya jengo walau 5000/ kwa mwezi Waafrika tunadhalilishwa kwa...
  18. Mtoto halali na hela

    Utekelezaji wa bajeti mpya kuanza leo

    Heri ya mwaka mpya wa kiserikali, utekelezaji wa bajeti mpya umeanza. Badiliko la kwanza kwenye kodi ya pango toka 1,500 hadi 2,000 tuendelee kujuzana bidhaa mbalimbali na bei zake mpya. Umeme wa 10k makato zaidi ya 3,000, acha tunyooshwe tu Ref: EC1022156... Cost 6,557.38 VAT 18% 1,180.33...
  19. Mstahiki Mea

    Chini ya 20% Ya watanzania ndio walipa Kodi

    • Hapa Ni Ile Kodi ya moja kwa moja •Kwa takwimu za mwaka Jana Ni 16% ya Nguvu kazi ambayo ndiyo inalipa Kodi Yani Kati ya Nguvu kazi ya Tanzania 33,000,000 Ni watu chini ya milioni nne Pelee ndio wanalipa Kodi Kama ndivyo nilazima Hawa wachache wanaolipa waione mzigo kwa manufaa ya watu...
Back
Top Bottom