My Take
Hakuna kumung'unya maneno Inawezekana kabisa kwamba magenge ya wahalifu wa Kimataifa wamepata Uchochoro wa Kusajili Meli zao hapa Bongo Kwa rushwa Ili zikatumike kwenye Uhuni.
Mwaka 2018 hayati Magufuli aliliona hili na kuzuia usajili wa hizi meli lakini naona ule mchezo umejirudia...
Februari 4, 2026
DAR ES SALAAM — Kwa muda mrefu, yamekuwepo maneno ya chini kwa chini, tetesi zilizopuuzwa kama umbea wa vijiweni. Lakini sasa, swali sio tena kama Tanzania inahusika kwenye mtandao wa uhalifu wa ngono wa Jeffrey Epstein, bali ni mizizi hiyo imechimba kirefu kiasi gani...
Hajambo wote!
1. Bado Niko Morogoro hapa kama nilivyowaambia.
2. Mwezi wa kumi na moja na kumi na mbili nilibahatika kutembelea Mkoa wa Arusha, Moshi Mjini, Babati mjini, Korogwe Mjini, Dodoma Mjini, Kahama Mjini, na Sasa nipo zangu hapa Morogoro.
3. Aiseeh! What goes on here?
4. Dec 31...
Usifute kichwa cha habari JF:Yericko Nyerere Hufanani na vitabu unavyo sema ni ujasusi na uchochoro wa madaraka yani wewe ni Mr pimbi wa gazeti la sani.
Ukisoma vitabu vyake unaweza kujua huyu jamaa ni jasusi hatari ila ukirudi nyuma ni mr pimbi wa gazeti la sani.
Mimi naogopa sana watu...
Baada ya kufanya utafiti mdogo imebainika kuwa wengi wa wapiga kelele kuhusu bandari ni wale walio zoea kupitisha mizigo kimagendo yaani kupitisha mizigo kwa kukwepa kulipa malipo halali.
Lakini wengine ni lile kundi ambalo lina danganya nyaraka mfano mtu kaingiza kontena 100 akidai kwamba...
Ndugu zangu ukweli usemwe huyu Ouatarra mzito na hana speed bora babu Onyango..
Mohamed Hussein ana makosa mengi sana na huwa anachelewa kurudi tunaposhambuliwa..
Sasa yule wa kurekebisha makosa ndio mzito, mzembe na hana speed
Hata utopolo walitufunga tokana na hawa viazi wawili
Suala la katiba lipewe kipaumbele sana.
Katiba ni uhai.
Yapo mengi ya hatari sana kwenye katiba hii.
Lakini hili la Mrithi wa rais anayefariki dunia, kuwa ni makamu wa rais (automated) ni hatari sana kwa marais endapo tukipata Makamu asiyemwaminifu.
Pia linachangia sana kumuweka mbali...
Na Joseph Ngilisho ARUSHA
MKUU wa Mkoa wa Arusha John Mongela ameagiza kuchukuliwa hatua Kali kwa wafanyabiashara wasiowaaminifu ambao bado wanaendekeza tabia ya kuingiza bidhaa bandia mkoani humo kwa lengo la kujipatia faida zaidi huku wakihatarisha Afya za walaji.
Akiongea wakati akifungua...
☝
Expansion Joint ya Chuo kikuu cha DSM kama mnaikumbuka ndio mfano halisi wa mabeki wa Yanga .
Bila Lamine Moro hawataweza kupata Clean sheet milele, unaweza kudhani Mwamnyeto ni beki bora, lakini ukweli ni kwamba Mwamnyeto ni uchochoro sana, hajitumi kabisa, nadhani lengo lake alipokuwa...
Dodoma. Waziri wa Mambo ya Ndani nchini Tanzania, George Simbachawene amesema Jiji la Dar es Salaam ni uchochoro wa silaha zilizozagaa nchini.
Amesema kuna kata moja katika Jiji hilo la kibiashara ndio inaongoza kwa vibali vya kuruhusu watu kumiliki silaha na jambo linalomshangaza ni wahusika...