uchawa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    Ili kuondoa dhana ya uchawa, Prof Kabudi ajiuzulu kama Yule wa US

    Huko US, kuna kiongozi WA counter intelligence ame jiuzulu na kupinga us kuipiga vita Iran, Kwani Iran sio tishio Kwa U.s
  2. Erick tech

    Watu waache unafiki na uchawa

    Binafsi najiuliza kwanini wengi wakisikia kiongozi anakuja mahali fulani ndio wanakuwa na mabango wengine wanalia yaani unakuta vurugu nyingi na ilhal mahali alipo kuna viongozi. Je, hawa wananchi wapo sawa au wanafanya unafiki.
  3. K

    Uchawa wa wanahabari: Mbona hakuna anayeuliza kuna Meli ngapi zilizopewa bendera ya Tanzania?

    Uchawa wa wanahabari: Mbona hakuna anayeuliza kuna Meli ngapi zilizopewa bendera ya Tanzania? Soma Kwanini kusiwe na Shirika la Meli la Muungano ili kuepuka usajili wa kiholela? Meli zinaandikishwa huko Zanzibar halafu zinaenda kutumika kwa kubeba magendo na madawa. Tuwaulize ni meli ngapi...
  4. The Burning Spear

    Official Zungu tulimsihi aache uchawa ona sasa anatukana, ATCL wamemsomesha namba kidogo tu

    GT Huyu dogo alijitia ujuaji sana wakati sisi tunaikosoa serikali kwa maovu yeye kajitia ujuaji na kuitetea. Sasa jana ATCL wamemsomesha namba kidogo tu na kuanza kutoa mapovu je ataomba msamaha kwa ATCL ngoja tusubiri... Na akae akijua haya ndo madhira wanayopitia watanzania wa kawaida...
  5. K

    Tanzania tukiendeleza uchawa tutatawaliwa na Jeshi muda si mrefu

    Ukiwa na Raisi ambaye ameingia kwa wizi wa kura na kila mtu anajua hilo. Ukiwa na system ya siasa mbayo haiendani na matakwa ya nchi. Ukiwa na utawala unategemea majeshi na una rushwa kuna kitu gani kinazuia jeshi kuchukuwa nchi. Yaani ni kupata wanajeshi wachache tu wakikubaliana na usalama...
  6. J

    Uchawa umezidi Bungeni

    Inashangaza sana nimejaribu kuangalia lile Bonge (bunge) la ile inchi ya kusadikika yaani hakuna anayeongea la maana hata moja , kunzia mwanzo hadi mwisho jitu linamsifia Killer in chief tu, kwakweli miafrika tuna safari ndefu sana.
  7. The Burning Spear

    Uchumi wa Tanzania unaangamia kwa siasa za uchawa

    GT. Na Malisa. Wakati wa Magufuli IMF ilitoa takwimu kwamba GDP per capita yetu imepanda hadi $2,400 na tukaingia kwenye orodha ya nchi za uchumi wa kati (Lower middle Income). Leo IMF haohao wametoa takwimu kuwa GDP per capita imeporomoka hadi $1,300. Nini kimetokea? Wakati ule tumeingia...
  8. A

    Africa (ikiwemo Tanzania) itaendelea ikiachana na siasa za uchawa, udini na ukabila

    Kuna video hapa inayozunmzia matatizo ya Nigeria na afrika Kwa jumla kama hatutazungumzia yaliomo kwenye hii video
  9. The Father of All

    Gwajima wataje watekaji badala ya kujibaraguza na kutafuta kiki kwa uchawa na utapeli

    Ukimsikiliza vizuri askofu uchwara wa kujipachika Josephat Gwajima, unashangaa. SIku hizi, amendandia hoja iliyotaka kumzamisha ya utekaji. Anasema hapendi utekaji kana kwamba kuna mtu mwenye akili zake anayeupenda ukiachi wauaji wetu . Kinachoshangaza ni kusema eti serikali na vyombo vya...
  10. W

    PostGE2025 Askofu Kyando: Wanaotaka kumshtaki Kitima wanataka umaarufu, uchawa

    Askofu wa Jimbo Katoliki la Njombe, Mhashamu Eusebio Kyando, amesema baadhi ya vijana wanapoteza mwelekeo wa imani kwa kuyumbishwa na tamaa ya umaarufu, pesa na mahitaji ya maisha, akionya kuwa hali hiyo inasababisha wengine hata kuukana wazi Ukristo wao. Askofu Kyando ametoa kauli hiyo hivi...
  11. R

    Uchawa umepunguza imani ya Wananchi kwa Serikali

    Demokrasia inahitaji sauti huru na uwajibikaji wa viongozi lakini pale ambapo kundi la vijana linageuka kuwa mashabiki badala ya walinzi, misingi hiyo taifa na misingi imara ya demokrasia huanguka taratibu. “Viongozi wanajua wakifanya kosa, watatetewa. Wapinzani wakisema ukweli, watashambuliwa...
  12. Fbn

    Kwa hiyo sasa njia za kuingia serikalini kuwa mbunge, diwani lazime upitie kazi za usanii na uchawa

    Kama nchi tukiendelea nao hawa majangiri CCM msije shangaa shilole kuwa waziri wa kilimo. Ina maana weledi wa waliosomea uwongozi kuwapa waweze kuongoza umekufa kabisa. Sasa wasanii na chawa ndio vipaumbele vya kuongoza nchi.
  13. The Father of All

    Je, uchawa utaushinda umma?

    Kwa machawa, leo ni siku muhimu sana. Anayewafuga kajitutumua asijue kitakachofuatia. Wapo wanasherehekea wasijue watalia soon. Samia hawezi kutobowa. Naamini machawa na awafugaye watatobolewa. Ni suala la muda. Ukitaka kujua hiii, angalia spidi ya mashehetani ya kutishia wengine ilivyozimika...
  14. The Father of All

    Wanaoshabikia uchawa wajue uchawa ni ukosefu wa falsafa ya kutawala

    Kichwa cha habari kiko wazi. Unapokabidhiwa dhamana ya kuongoza, si kutawala wenzako, lazima uwe na falsafa ili ikuongoze katika kuongoza. Ukiondoa Mwalimu Nyerere, pamoja na mapungufu yake, alikuwa na falsafa ya uongozi tofauti na waliomfuata wakatawala bila falsafa. Ili kuongoza, lazima...
  15. K

    Tanzania hatuna ubavu wa kumshika mwanajeshi wa Marekani ni uchawa tu

    Polisi hii ya kupiga risasi vijana ndiyo yenye uwezo wa kumshika Mwanajeshi wa Marekani tuache ujinga na uongo. Mwanajeshi wa Marekani akishikwa ni swala la kitaifa mpaka sasa jeshi la Marekani halijasema kitu. Pili kama alikuwa mwanajeshi zamani sasa atakuwa mwanajeshi mstaafu. Kuna kitu...
  16. M

    kuna kundi lingine linaloonekana kupuuzwa kwa uchawa, "MACHIFU"

    Katika nafasi ya uchawa hili kundi haliwezi kukosa top 3 Nyerere pamoja na madhaofu yake alilitendea haki taifa kwa kuwavua mamlaka hili kundi.
  17. Mafyangula

    PostGE2025 Wananchi: Wabunge waache "uchawa" wafanyekazi ya kuwatumikia watanzania

    Kufuatia kuanza rasmi kwa shughuli za Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Wananchi jijini Dodoma wametoa wito kwa Wabunge kuachana na tabia ya ushabiki na kusifia kila jambo linalowasilishwa Bungeni, ambapo wameeleza kuwa ni muhimu kwa Wabunge kusimamia haki, misingi ya Katiba na...
  18. The Father of All

    Falsafa ya Samuya ya uchawa naomba aifahamuye anielimishe hapa tafadhali

    Marehemu John Magufuli alikuja na falsa ya hapa kazi na wanyonge. Samuya alikuja na uchawa na kazi iendelee. Je, hii falsafa inamaanisha nini kwako binafsi kama mdau katika taifa lake?
  19. D

    Ufisadi wa kidola, kukosa kuwajibishana na Uchawa kumeua Mwendokasi na leo vimeangusha Treni; Mungu aepushe visije vikaangusha serikali

    Kingekuwa ni kitu kizuri leo kutwa yote wangeimba “AJALI YA MAMA” na tusioimba tungebezwa, tungeitwa KENGE, SISIMIZI, NYWINYWI, NYWINYWINYWI. Lakini Mungu huyu ni fundi sana, kapiga kwenye mshono na hadi tarehe 29 atapiga pigo jengine palepale kwenye mshono kama si kusugulia chumvi. Uchafu...
  20. K

    Nguvu ya Kanisa dhidi ya haki, Bakwata na uchawa wa je unasimama na nani?

    Huu ndiyo ukweli wenyewe Kanisa limeamuwa kusimama na haki dhidi ya watawala huku Bakwata na baadhi ya Waisilamu wameamua kugeuka chawa kwa kweli Taifa linaenda kuwaka moto
Back
Top Bottom