uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Karibu Watanzania wote wana asili na ushabiki wa Simba au Yanga; basi angalieni ofa za ufadhili wa timu zenu isiwe kampeni ya uchaguzi mkuu 2025!

    Tunaelekea kwenye uchaguzi wa 2025, na ghafla tunaanza kusikia ofa za ufadhili wa Simba na Yanga, wakati timu za ligi kuu zipo nyingi. Kwa nini? Tatizo sisi Watanzania huwa tunaghiribiwa kirahisi sana. Tuliwahi kuuza nchi na watu wetu huko nyuma kwa zawadi za shanga na vioo vya kujitazamia...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Unabii kuelekea uchaguzi mkuu 2025

    1. Lissu na Mbowe watakosana. Kutakuwa na mgongano wa kimtazamo na kimwelekeo kati ya Mh. Lissu ambaye ni mtarajiwa mgombea wa Urais kupitia CHADEMA na Mwenyekiti wake Mh. Mbowe. 2. Kuna kiongozi wa dini ambaye atakuwa upande wa CCM na ataambatana na mgombea Urais wa CCM atakufa kabla ya...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uzi Maalum wa Kauli tata na za kushangaza kutoka kwa Viongozi na Wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Wakuu, wakati tunaelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na uchaguzi mkuu 2025 mengi yanasemwa na yataendelea kusemwa, na kati ya hayo ni kauli tata na za kushangaza kutoka kwa wanasiasa ambazo kwa namna moja ama nyingine zitakuwa na aathari fulani si tu katika uchaguzi huu wa mwaka...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Tunavyoelekea kwenye Uchaguzi Jeshi la Polisi litekeleze majukumu yake kwa kuzingatia Haki za Binadamuu

    Kiukweli mwenendo wa jeshi letu la polisi kwa sasa umekuwa ni mbovu sana,hasa kwa kipindi hiki cha kuelekea kwenye chaguzi mbalimbali. Kuna matukio ambayo yameweza kujitokeza kwenye siku za hizi karibuni baadhi ya hayo matukio ni; 1. Kukamatwa kwa viongozi wa chama cha demokrasia CHADEMA...
  5. I

    JamiiForums Tanzania Ili uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2024 uwe wa haki, mambo kadhaa yanaweza kufanywa

    Ili uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka 2024 uwe wa haki, mambo kadhaa yanaweza kufanywa: 1. Uwazi na Uadilifu wa Mchakato wa Uchaguzi. Vyombo vinavyosimamia uchaguzi, kama Tume ya Taifa ya Uchaguzi, viwe na uwazi katika kuendesha mchakato wa uchaguzi kuanzia usajili wa wapiga kura, uteuzi...
  6. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Shime ndugu Watanzania, twendeni tukajiandikishe Kwa ajili ya uchaguzi wa 2025

    Salaam ,shalom!! Tayari zoezi la kuboresha taarifa katika daftari la wapiga kura limeanza, tujitokeze Kwa wingi maana mbeleni hutopata fursa hii adhimu. Haya mambo ya Tindo kugomea kupiga kura Kisha unawatuhumu chama kile kuiba kura Ukiwa nyuma ya keyboard, tuachane nayo. Mungu ibariki Nchi...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Ulijifunza nini katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2014/2019? Unatarajia nini katika uchaguzi wa 2024?

    Tanzania inatarajia kufanya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 2024, je, utashiriki katika Kupiga Kura? Kama ndiyo/hapana kwanini? JamiiForums inakukaribisha kushiriki katika Mjadala utakaohusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Novemba 2024, utakaofanyika kupitia XSpaces, leo Agosti 22, 2024...
  8. JamiiForums Tanzania Haya ndio huwa yanafanyika hata wakati wa uchaguzi ili kupoteza watu kwenye jambo husika, tujifunze kuhakiki taarifa

    Wakuu, Naimani mlikutana na mabango haya yanayoelezea vingozi wa CHADEMA kufanya mkutano na waandishi wa habari, moja likiwa sahihi na mawili yakiwa ya uongo kuwapoteza watu na kuwagawanya wasifuatilie nini kinataka kusemwa na mtu sahihi. Mbinu ni hizi hizi hata kipindi cha uchaguzi, utakuta...
  9. W

    JamiiForums Tanzania KERO Viongozi wa Serikali za Mtaa Skanska Mashimoni, mnatarajia tuwachague tena mwaka huu kwa mazingira haya?

    Kituo cha Skanska maeneo ya Barabara ya Bagamoyo kuanzia mtaa wa Mashimoni hadi kuelekea Mtongani, hali ya mazingira ni mbaya mno, na afya za wananchi ziko hatarini. Mifumo ya maji ni mibovu, japokuwa hiki ni kipindi cha jua kali bado madimbwi ya maji machafu yamejaa kila kona. Najiuliza kwa...
  10. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbona CHADEMA hawajipangi ngazi za chini (grass root) kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa?

    Waziri mwenye dhamana ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa ametangaza kuwa uchaguzi wa Serikali za Mitaa utafanyika Novemba, 2024. Jinsi muda unavyoyoyoma kuelekea uchaguzi huo ninaona kabisa CHADEMA hawajijipanga kabisa kwa Uchaguzi huu. Wenzenu CCM wanapita nyumba kwa nyumba wakiomba kura...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Abdul (mtoto wa Rais Samia) alitaka tukutane kwenye hoteli moja Masaki anihonge, nikamwambia njoo kwangu

    Makamu mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu akizungumza kwenye kipindi cha Medani za Siasa, Star TV, leo Agosti 17, 2024, amesema Mtoto wa Rais Samia aliyemtaja kwa jina la Abdul alitaka kumhonga pesa Novemba 2023. Tundu Lissu amesema Abdul hakutaja kiwango cha pesa, na alitaka aende usiku kwenye...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Je, kuna siku Tanzania itafanyika uchaguzi wa huru na haki?

    Kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na maelewano kwa wanasiasa Tanzania. Je, hiyo ni dalili ya uchaguzi wa huru na haki?
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Siasa kuingia kwenye michezo na wanamichezo kutumika kisiasa hatujali kuibomoa sekta hii?

    Wakuu kwema? Tumeshuhudia mara kadhaa siasa kupenyezwa taratibu kwenye michezo na wakati mwingine hata kushawishi baadhi ya baadhi maamuzi kufanyika kwa utashi wa kisiasa! Mara watu kwenda na mabango uwanjani yenye kusifia chama fulani cha kisiasa, mara simu kupigwa wakati wa sherehe ya vilabu...
  14. JamiiForums Tanzania Hali ya wananchi kiuchumi ni mbaya sana kupitiliza kuelekea Uchaguzi wa 2025

    Watumishi wenye ajira na ujira ni miongoni vya vyanzo vikuu vya kusambaza fedha kwenye jamii wakati wanapofanya matumizi na manunuzi yao kwa kutumia mishahara yao wanayopata kila mwezi.. Kundi hili linalipwa mishahara isiyolingana na uhalisia wa upandaji wa Bei, hivyo kufanya ununuzi mdogo sana...
  15. JamiiForums Tanzania Kama mchengerwa ndo msimamizi mkuu uchaguzi serikali za mtaa basi wapinzani mmekwisha.

    Wasalaam Zote tunajua kwamba bwana mchengerwa ni mkwe wa mama Samia kwa maana kamuoa mtoto wa rais. Na nakumbuka mwaka jana bwana mchengerwa alikula kiapo mbele ya rais Samia na kujiapiza kwamba uchaguzi wa serikali za mtaa mwaka 2024 hakuna mtaa hata mmoja utaenda upinzani. Hakika siku...
  16. JamiiForums Tanzania Mohamed Mchengerwa anatangaza uchaguzi wa serikali za mitaa kama nani?

    Kuna mambo yanastaajabisha sana. Huyu ni waziri anayepaswa kusimamia majukumu ya OR-TAMISEMI ambapo Majukumu ya OR-TAMISEMI yanatekelezwa katika ngazi ya Makao Makuu, Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa. Kwa kuzingatia Hati ya Rais ya Mgawanyo wa Majukumu (Presidential Instrument) iliyotolewa...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Waziri Mchengerwa: Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Bara utafanyika 27 November, 2024

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI leo tarehe 15 Agosti, 2024 ametangaza tarehe ya kufanyika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Bara unaotarajiwa kufanyika mwaka huu 2024 nchi nzima. Ambapo Uchaguzi huo unatarajiwa kufanyika 27 November, 2024 nchi nzima. Naupigaji wa kura utaanza saa mbili...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kanuni za Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Kijiji, Wajumbe wa Halmashauri ya Kijiji na Mwenyekiti wa Kitongoji katika Mamlaka za Wilaya za Mwaka 2024

    Wakuu, Hizi hapa Kanuni za Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Kijiji, Wajumbe, wa Halmashauri ya Kijiji na Mwenyekiti wa Kitongoji katika Mamlaka za Wilaya za mwaka 2024. Pia soma ~ Je, umeziona na kuzisoma kanuni mpya za uchaguzi wa serikali za mitaa? ~ Rasimu ya Kanuni za Uchaguzi wa Mwenyekiti wa...
  19. JamiiForums Tanzania Uteuzi: Lukuvi, Kabudi warejeshwa Baraza la Mawaziri, Ummy aondolewa Wizara ya Afya. TTCL, TAKUKURU zapata Mabosi wapya

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na uhamisho wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, viongozi walioteuliwa na kuhamishwa vituo vya kazi ni...
  20. JamiiForums Tanzania Mkitaka kujua kuhusu uchaguzi ulizeni watu hawa

    Mkitaka kujua kuhusu uchaguzi unaendaje ulizeni watu hawa:- i, Polisi iii, JWTZ iii, JKT Nyongeza waalimu Nyie wananchi wa kawaida sidhani kama mchakato mzima wa uchaguzi huwa hata mnaufahamu. Huwa nacheka pale vyama vya upinzani vinavyopo aminishana kuwa uchaguzi huu mara huu CCM hatoki hii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…