uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chadema chini ya Lissu tumieni nguvu hiyo kukiimalisha CHAMA kuliko kutumia kuzuia uchaguzi.

    Poleni na hongereni na kutafuta mkate wa kila siku. Chadema mpya hongereni na harakati za kuleta mabadiliko ya kikatiba kwa Tanzania. Tumeona nia yenu ni njema sana ktk kuleta na kupigania haki ndani ya nchi yetu." Hoja hii ya No reform No election" ipo vzr sana, lakini kwa maoni yangu , ni...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa kijeshi wa Gabon Jenerali Brice Oligui Nguema ametangaza nia ya kugombea uchaguzi ujao, April 2025

    Kiongozi wa kijeshi wa Gabon, Jenerali Brice Oligui Nguema, ametangazia nia yake ya kugombea urais katika uchaguzi ujao wa mwezi ujao (April, 2025). Nguema alishika madaraka mwaka 2023 kupitia mapinduzi ya kijeshi ambayo yalikomesha utawala wa muda mrefu wa familia ya Bongo. Wakati huo...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Iringa yakanusha kauli iliyotolewa na Mwenyekiti wilaya ya Iringa juu ya kupewa kipaumbele wabunge na madiwani walipo madarakani kuelekea uchaguzi

    CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Iringa kupitia kikao chake cha dharura cha Kamati ya Siasa ya mkoani humo imekanusha vikali taarifa iliyotolewa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Iringa, Steven Mhapa inayodai majina ya madiwani na wabunge waliopo madarakani sasa yatakuwa miongoni mwa...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chanzo cha Tanzania Kuwepo kwa 'Electoral Fraud' na Njia za Kuondoa Hali Hiyo kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Utangulizi Tanzania, kama nchi nyingine nyingi duniani, imekuwa ikikabiliwa na changamoto za uchaguzi, ikiwa ni pamoja na tuhuma za udanganyifu wa uchaguzi (electoral fraud). Hali hii inachangia kutokuwepo kwa imani miongoni mwa wapiga kura na inaweza kuhatarisha demokrasia ya nchi. Chanzo cha...
  5. JamiiForums Tanzania DOKEZO Wizi wa kura unaua morali ya wapiga kura

    Wale wezi wa kura wasioheshimu sanduku la kura,wanaishi kwa mbeleko Msijione washindi kwa wizi wa kura kimsingi mnaua morali ya wapiga kura kushiriki katika chaguzi mbalimbali hapa nchini. Imefikia hatua wanachi hawataki kujitokeza kwenye mikutano na wala hawataki tu kusikia habari za uchaguzi...
  6. JamiiForums Tanzania Fursa za hela Msimu huu wa uchaguzi. Angalia hapa inayokufaa

    Nimewahi shiriki shughuli za kisiasa directly 2015, 2020 kama Msafirishaji, uchaguzi ni mchakato wenye hela sana. Nimeiuliza CHATGPT namna gani unaweza tengeneza kipindi cha uchaguzi huu wa 2025. Pitia kama kuna namna itakufaa. Ni kweli kwamba mwaka wa uchaguzi huleta fursa nyingi za...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Paschal umetuaibisha JF, kwamba Watanzania tukampigie magoti Mwenyekiti wa kijani kuomba Tume huru ya Uchaguzi na Katiba mpya!

    Kumbe kusoma shule Moja na TUNDU Lissu, Si kuwa na Maarifa, Yaani ilboru iliyomtoa TUNDU Lissu Kwa walimu wale wale, ndiyo pia imemtoa Pasco mayalla anayetuaibisha JF tuonekane wale wale! Yaani Watanzania twende tena kumpigia magoti Mwenyekiti wa kijani Ili atupe hisani ya kubadili Katiba mpya...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Kuwe na Tume ya Uchaguzi inayoshitakiwa ikikosea kwenye uchaguzi

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa Tundu Lissu akizungumza wakati wa mkutano kati ya CHADEMA na Jukwaa la Wahariri (TEF) unaofanyikasiku ya Jumapili Machi 2, 2025 Makao Makuu ya CHADEMA, Dar es Salaam "Utaratibu mzima wa kupiga kura umevurugwa na namna ya...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu: Mabadiliko yakikubaliwa, Uchaguzi utaahirishwa na Bunge litarudishwa hata kama lilivunjwa

    Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
  10. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Bagonza asema kupiga kura katika mfumo wetu wa uchaguzi ni kupoteza muda. Bila mageuzi ni sawa na kutokuwa na uchaguzi

    Askofu Kalikawe Benson Bagonza anasema kama mfumo hautafanyiwa marekebisho itakuwa ni sawa na hakuna uchaguzi. Askofu anasisitiza kwamba kwenda kupiga kura is a wastage of time. Sikiliza mahojiano yake hapa chini. https://www.youtube.com/watch?v=NaZiUuUBAv4
  11. JamiiForums Tanzania Nadhani No Reform No Elections ilipaswa kuanza kabla ya uchaguzi wa ndani wa CHADEMA. Kulikoni waliweza kufanya uchaguzi kwa Katiba mbovu vile?

    Kuna uwezekano mkubwa kwamba malalamiko kuhusu ubovu wa katiba ya Chadema, yalichochewa na chuki binafsi dhidi ya wagombea uongozi Fulani ndani ya chadema, na kwahivyo hakuna haja ya viongozi hao walalamishi wenye chuki binafsi dhidi ya watu binafsi, kuhamishia na chuki hizo binafsi kwa wengine...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wananchi wasusia intro ya maombi ya viongozi wa dini kuomuombea Rais Samia, wajitokeza wao na bodyguards wao!

    Wakuu, Kunazidi kuchangamka huko, maombi ya kina kuhani Mussa na chawa wengine kwenye dini yana dalili kubwa ya kubuma kesho, leo wamejitokeza wao na bodyguards wao kupiga maombi kwaajili ya Rasi Samia. Wananchi wanazidi kuamka... mpaka mama anamuita waziri Mh. Rais mchezo!
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tume ya Uchaguzi kupunguza majimbo ya Zanzibar, itawakilishwa na wabunge 5 au 6?

    Heshima sana wana jamvi. Tume inayojiita tume huru imetangaza mchakato wa kugawa majimbo ya uchaguzi. Vigezo vikuu ni idadi ya watu na ukubwa wa eneo. Majimbo ya mijini idadi ya watu itakuwa kuanzia watu 600,000 huku majimbo ya Vijijini idadi ya watu itakuwa kuanzia 400,000. Idadi ya jumla...
  14. JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa CWT wilaya ya Butiama utazamwe na TAKUKURU

    Kuna tetesi kuwa mchakato wa uchaguzi wa CWT katika wilaya hiyo umegubikwa na visa vingi vinavyokiuka taratibu za uchaguzi. Mojawapo ya visa hivyo ni pamoja na usambaji wa fomu kwa wagombea ngazi ya matawi unaoambatana na kupewa kiasi fulani cha pesa. Tunaiomba TAKUKURU imulike uchaguzi huo...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali yatoa kanuni zitakazotumika kwenye Uchaguzi mkuu wa 2025

    Wakuu, Wakati CHADEMA ikikoleza moto wa ajenda ya No Reforms No Elections, Serikali ya Tanzania imetoa kanuni za Uchaguzi ambazo zitatumika kwenye uchaguzi wa mwaka huu. =========================================================== Serikali ya Tanzania imetangaza kanuni mpya za uchaguzi kwa...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Watanzania msikubali kubabaishwa au kurubuniwa fikra, uhuru, pesa na haki zenu za kikatiba za kupiga kura, uchaguzi mkuu Mwaka huu2025

    Huu ni wito wangu kwa wadau wote wa JF na waTanzania wenzangu wote. Uchaguzi mkuu wa Tanzania utafanyika mwaka huu October 2025. Uchaguzi huu ni kwa mujibu wa sheria na katiba ya Tanzania. Asitokee kibaka au tapeli wa kisiasa, eti kwa maslahi yake binafsi na familia yake, akawadanganya kwamba...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tukemee kauli ya Ally Hapi, kuvitaka vyombo vya dola kushughulikia wapigania mabadiliko ya kikatiba ni tishio kwa demokrasia na uchaguzi huru na haki

    Salaam Kauli ya Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Ally Hapi, inayoitaka vyombo vya dola kuwachukulia hatua watu wanaodaiwa kutaka kuzuia uchaguzi mkuu ni ya kutia wasiwasi katika muktadha wa demokrasia na haki za raia. Tamko hili linaibua maswali kuhusu uhuru wa...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu CHADEMA, Njombe: Hakuna Uchaguzi kama hakuna mabadiliko

    Katibu wa chama cha Chadema mkoa wa Njombe Baraka kivambe, amesema hawako tayari kushiriki uchaguzi ikiwa hakuna mabadiliko kwa baadhi ya mambo ambayo wamekuwa wakiyalalamikia kwa muda mrefu. Ameeleza hayo katika kipindi cha Vitamin Asubuhi hapa Elolama Fm. Kupata taarifa na matukio yanayojiri...
  19. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bulaya asema CHADEMA inapopambania reform za uchaguzi siyo kwa ajili ya CHADEMA tu

    "Kwahiyo CHADEMA inapopambania reform za uchaguzi siyo tu kwa CHADEMA kushinda, reform za uchaguzi zitamuingiza yeyote yule aliyechaguliwa kwa kura za wananchi". Esther Bulaya, Mbunge wa viti malum Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special...
  20. JamiiForums Tanzania Baada ya kupokea tuzo ya Champion of Comedy Rais Samia ndiye atapokea tuzo ya Champion wa uchaguzi mkuu wa amani Tanzania October 2025

    Na hilo ndilo litakalothibitisha kwamba Dr.Samia Suluhu Hassan habahatishi na yeye pekee ndie champion of everything in Tanzania, Ni champion wa wa amani na maridhiano, ni champion wa utalii, ni champion wa mazingira, ni champion wa afya, ni champion wa kilimo, ni champion wa ufugaji, uvuvi na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…