uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uchaguzi ukiwa wa uhuru na haki, Tundu Lissu anashinda kweupe

    Hili halina mjadala hata CCM wanalijua hilo,leo hii kukawepo na tume huru ya uchaguzi,kila kitu kikaenda kwa haki Chadema wanashinda uchaguzi mapema kabisa, Lakini CCM kwa kulijua hilo ndiyo maana hawaachi fingusi zao za kutokutenda haki ili wapate mbeleko za kuwabeba wajifanye wameshinda...
  2. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbeya: Chifu Mwanshinga akemea mipango ya kuzuia uchaguzi 'No reforms No election' amuombea Rais Samia apate ushindi wa kishindo

    Chifu wa Mkoa wa Mbeya, Rocketi Masoko Mwanshinga, amewataka wananchi wote wa mkoa huo kutumia haki yao ya kikatiba kujiandikisha na kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu wa 2025. Chifu Mwanshinga amekemea vikali wale wote wanaotaka kuwazuia wananchi kushiriki katika mchakato wa uchaguzi...
  3. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Viongozi wa CHADEMA wamekiri kushindwa Uchaguzi, waogopa, wakubali ushindi wa kishindo CCM

    Wakuu Je, Ni kweli viongozi wa CHADEMA wamekiri kushindwa Uchaguzi, waogopa, wakubali ushindi wa kishindo CCM
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 INEC: Mtanzania mwenye umri wa miaka 18 na zaidi au ambaye atafikisha umri huo siku ya uchaguzi ndiye anatakiwa kujiandikisha

    INEC: Mtanzania mwenye umri wa miaka 18 na zaidi au ambaye atafikisha umri huo siku ya uchaguzi ndiye anatakiwa kujiandikisha Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), imetoa tangazo kuhusu watu wanaohusishwa kwenye zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ambalo limeanza kufanyika...
  5. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA kama mchakato unaoendelea wa kujiandikisha mmeshindwa kuuzuia, mtawezaje kuzuia Uchaguzi unaosimamiwa na Polisi?

    Wakuu, Binafsi naamini kabisa mfumo wa Uchaguzi wa kwenye nchi hii unapaswa kubadilishwa lakini itumike akili na busara kufanya hivyo. Mara nyingi tumeona Tundu Lissu na CHADEMA wakisema kuwa bila mabadiliko sio kwamba CHADEMA watasusia Uchaguzi bali ni kwamba UCHAGUZI HAUTAFANYIKA. Sasa...
  6. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ni kichaa pekee tu ataamini kuwa CCM haitapata tena ushindi wa zaidi ya 97% kwenye uchaguzi mkuu October 2025

    Mama anaupiga mwingi, CCM imeupiga mwingi miaka 64 ya uhuru, rasilimali zinarinwa vizuri na matunda yake mnayaona. 2019, 2020, 2024 CCM wamepita kwa zaidi ya 98%. Ni kichaa pekee tu ataamini kuwa CCM haitapata tena zaidi ya 97% kwenye uchaguzi mkuu October 2025. Watapata zaidi ya 97% kwa njia...
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Kumekucha! Kumekucha! twendeni tukajiandikishe kwenye daftari la Uchaguzi Mkuu, pamoja na kuhuisha taarifa zetu.

    Kumekucha! kumekucha! Vijana wa miaka ya 2000 huu ndio wakati wetu wa kutumia haki yetu ya Kikatiba ya Kupiga kura kwenye Uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu October 2025, sasa twendeni tukajiandikishe kwa wingi. Wazeee twendeni tukahuishe taarifa zetu ili tujihakikishie kupiga kura mwezi oktoba 2025.
  8. Johnson Alex Otieno

    JamiiForums Tanzania C.W.T BUKOMBE ,uchaguzi sio maagizo toka Juu ni mchakato huru,wazi na wa haki.

    Salaam kwenu wana wa nchi. Nimepita hapa jimbo la Bukombe na nimekutana na mambo ya ajabu sana. Moja ya mambo haya ni Uchaguzi wa Chama Cha Walimu Tanzania. Katika mchakato wa kuwapata viongozi mbalimbali wa chama hiki cha wasomi wa Tanzania na walezi wa watoto wa Watanzania nimeambiwa na...
  9. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Shoo: Maamuzi ya wananchi yaheshimiwe kwenye uchaguzi

    Mkuu wa Dayosisi ya Kaskazini Askofu Dkt. Fredrick Shoo amewataka wananchi kutokuwa tayari kuona yaliyofanyika katika chaguzi zilizopita yakijirudia katika Uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu 2025. Askofu Shoo ametoa kauli hiyo Machi 16,2025 katika ibada ya kufungua jengo jipya la Kanisa Usharika wa...
  10. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Stephen Wasira: CCM inaingia katika uchaguzi ikiwa na hakika ya ushindi, Tumejipanga kwa ushindi 2025

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara, Stephen Wasira amezungumza na wanachana na viongozi wa Chama wilayani ileje mkoani Songwe akiwa katika siku ya tatu ya ziara yake mkoani humo. Akizungumza na wana CCM hao katika Ukumbi wa Seselembe, Ileje leo, Machi 16, 2025, Wasira...
  11. Dialogist

    JamiiForums Tanzania Huyu Mchungaji Ana Hoja, Lakini Kwa Sasa Naomba Tumpuuze Mpaka Uchaguzi Upite..

  12. Don san tan

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi

    Naomba na sisi walemavu tujumuishwe kwenye Ubunge wa viti maalumu. CCM chama changu naomba mtuangalie na sisi tupate nafasi serikalini
  13. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 TAMWA yataka wanawake watakaojitokeza kutia nia kwenye Uchaguzi waungwe mkono

    Wakuu, Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) Joyce Shebe amesema wanawake watakaoonesha nia ya kugombea katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 wanapaswa kuungwa mkono na jamii ili waweze kutimiza ndoto zao za kuwa viongozi. Ushauri huo ameutoa Jijini Dodoma katika...
  14. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Kama mmeshindwa kupambana wafuasi wenu warudishwe au wasitekwe kabisa hizi ngonjera za kuizia uchaguzi achaneni nazo CHADEMA

    Siasa za kipuuzi na zi kilaghai hazina maana hata kidogo. Wewe kama chama cha upinzani Chadema hakuna jitihada za dhati za kweli kupambana na kufa ili vijana wenu warudi au wasitekwe lakini mnakuja na blah blah za kuzuia uchaguzi ujue huu ni ujinga mkubwa. Hivi siku huyo Soka kwa mfano kama...
  15. State Propaganda

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kuelekea Uchaguzi mkuu : Wapinzani bado wamezubaa sana

    Wakati CHADEMA ikikomaa na NO REFORM, NO ELECTION, ACT WAZALENDO nao wamekuja na mpya kususia vikao vya umoja wa vyama vya siasa kwa madai kama ya CHADEMA. CCM wao wako busy kubuni mbinu za kunasa makundi mengi ya wananchi waisapoti na kuipa kura nyingi uchaguzi mkuu. Wanabuni vikundi vya...
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 TCRA yataka Vyombo vya Habari kuripotiwa uchaguzi bila upendeleo

    MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imevitaka vyombo vya habari nchini katika kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu kuvipatia vyama vya siasa nafasi sawa katika kuripotiwa habari bila upendeleo ili kuondoa malalamiko. Meneja wa Kitengo cha Utangazaji TCRA...
  17. J

    JamiiForums Tanzania ✳️ Ni zamu yetu Dar es Salaam, tukajiandikishe tuweze kupiga kura uchaguzi mkuu

    ✳️ NI ZAMU YETU DAR ES SALAAM, TUKAJIANDIKISHE TUWEZE KUPIGA KURA UCHAGUZI MKUU Zoezi la kuboresha taarifa na kujiandishika katika Daftari la kudumu la Mpiga Kura litaendelea kwa mkoa wa Dar es Salaam kuanzia Machi 17 hadi 23, 2025. Issa Rajabu Risasi mkazi wa Kawe amewaomba watu wenye sifa za...
  18. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania Jifunze kuthibitisha maudhui ya Akili Mnemba kwani yanaweza kutumika upotosha kuhusu Wanasiasa wakati wa Uchaguzi

    Ni muhimu kutambua mbinu zitakazokuwezesha kubaini maudhui ya picha, video ama sauti, yaliyotengenezwa kwa kutumia teknolojia ya AkiliMnemba kwani yanaweza kutumiwa kupotosha uhalisia wa Taarifa nyakati za uchaguzi hivyo kusababisha wananchi kushindwa kufanya maamuzi sahihi. Shikamana na Jukwaa...
  19. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Joseph Selasini: Hatususii uchaguzi, muda uliobaki hautoshi kufanya mabadiliko

    Wakuu, Panazidi kuchangamka huko, Baadhi ya vyama vya siasa nchini vimesema haviko tayari kususia uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba, mwaka huu kwa kigezo cha marekebisho ya katiba mpya. Haya yamebainishwa mkoani Morogoro na Makamu Mwenyekiti Taifa Chama cha NCCR Mageuzi Joseph...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanachama wa ACT Wazalendo wakamatwa kwa kufanya fujo kwenye Vituo vya Uandikishaji Zanzibar

    Kama ambavyo niliwapa habari awali juu ya zoezi la Uandikishaji kwenye Daftari la wapiga kura Mkoa wa Kusini Unguja kuanzia tarehe 08/03/2025 hadi tarehe 13/03/2025; zoezi ambalo Jeshi la Polisi lilikuwa na dhamana ya ulinzi na Usalama wa vifaa, watendaji wa Tume, mawakala wa vyama, wananchi...
Back
Top Bottom