uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. Kauli ya "Tutasimamisha uchaguzi" Ilionekana Kama NDOTO YA MCHANA, Ila Dalili Sasa ni Kweli NRNE Kutimia

    Mienendo ya sasa ndani ya chama tawala CCM, Wapinzani wa Kweli, Wanazuoni, Jumuia ya kimataifa na Taasisi zake kwa pamoja ni kuwa Uchaguzi unaweza usifanyike Oktoba. Na kama utafanyika basi lazima reforms za muhimu zitafanyika. Sasa tunajiuliza, wale waliokuwa wana mkebehi Lissu, Heche na chama...
  2. Kumbe Ile Trump Kuambiwa Alishirikiana Na Urusi Kuingilia Uchaguzi Wa Mwaka 2016 Wa Marekani Ilikuwa Ni "Hoax" Iliyotengenezwa Na Obama

    Tulsi Gabbard's Revelations Confirm a Deep State Conspiracy Against Trump 🚨BREAKING NEWS FROM DNI Tulsi Gabbard: "Americans will finally learn the truth about how in 2016, intelligence was politicized and weaponized by the most powerful people in the Obama Administration to lay the groundwork...
  3. WanaCCM watakaoenguliwa kwa mizengwe ya huu utaratibu mpya walitarajia kujiunga CHADEMA Bahati mbaya CHADEMA haishiriki uchaguzi na CHAUMMA hawaitaki

    Wengi walitarajia kurudi upande wa pili ili waingie bungeni bahati mbaya mambo sio. Kilichobakia ni wao kuendeleza upinzani ndani ya chama chao Bhagosha!!!
  4. GE2025 Mtume maarufu Nigeria mwenye wafuasi milioni 10 asema Rais Samia atashinda uchaguzi 2025, wanaompinga ndani ya chama wataaibika, uchumi utang'aa

    Mkikaa kimya hata mawe yataongea, sasa watu kutoka mbali kabisa wameiona nyota angani mithili ya mamajusi. Nabii huyu kasema kwamba Samia Suluhu Hassan atashinda kwa kishindo uchaguzi mkuu 2025. Kikubwa zaidi, amesema kwamba katika awamu ya urais ya 2025-2030, uchumi utakua kwa kasi ya...
  5. GE2025 Samia Suluhu anakuwa mgombea wa kwanza kuingia madarakani kupitia CCM bila kupitia mchakato wa Uchaguzi. Je, wameogopa nini kumshindanisha na wenzie?

    wahuni wameogopa kumshindàisha maza na makada wengine, Ivi hili lina chochote cha kutueleza juu ya uwezo wa maza kwenye Medani husika za uongozi na siasa kiujumla ?? Na je, hii haileti ishara mbaya juu ya sirikali yetu kupigwa copy, kwamba wale wanaopromote uwepo wa maza wana ulaji wao pale...
  6. Uchaguzi Mkuu 2025

  7. SI KWELI PreGE2025 Polepole amesema CCM ni chama imara, kitashinda uchaguzi mkuu kwa kishindo

  8. SI KWELI PreGE2025 Polepole amesema twende tukashiriki uchaguzi mkuu kwa utulivu na mshikamano

  9. PreGE2025 ACT yalalamikia utaratibu wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar unawakosesha Wananchi wengi haki ya kupiga kura

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI ACT-Wazalendo, tumeshangazwa na kushtushwa na Ujumbe mfupi wa SMS, kutoka Tume ya Uchaguzi Zanzibar, ambao wanatumiwa wananchi, kufika katika Ofisi za Uchaguzi za Wilaya kuchukua Vitambulisho vyao vya kupiga kura (Vote I'd), kuanzia tarehe 17/07/2025, katika Siku na...
  10. Ibrahim Traore afuta Tume ya Uchaguzi Burkinafaso

    Power corrupts, and absolute power corrupts absolutely. Madaraka yakianza kulevya. Sababu alizotoa hazina mashiko. Bado moyo wangu ni mzito kumkubali Ibrahim Traore kama ambavyo mitandao mingi inavyomshabikia kwa "mafanikio hewa. Cc Nyani Ngabu
  11. R

    Rais wa Cameroon Paul Biya abadili viongozi wa kijeshi kabla ya uchaguzi

    Rais wa Cameroon mwenye umri wa miaka 92, Paul Biya amabaye ni kiongozi mkongwe zaidi duniani kwa sasa ametekeleza mabadiliko makubwa katika safu ya juu ya jeshi siku chache tu baada ya kutangaza nia ya kugombea kwa muhula wa nane kwenye uchaguzi wa urais utakaofanyika Oktoba 12. Kupitia amri za...
  12. K

    Chadema kusalimu Amri;Kuingia kwenye uchaguzi kupoza njaa,Gwajima awatetea

    Asalam aleykum waislamu wenzangu. Hongereni kwa mahangaiko ya siku,poleni na madhila ya utafutaji. Mimi nimesoma vitabu vingi vya mageuzi lakini ni kuwa zama zimebadilika sana ambapo jumla ya vitabu hivyo 5 vinaonesha mbinu za mageuzi ni kuvuruga amani. Tangu achaguliwe mwezi January,Mzee...
  13. PreGE2025 POTOSHI Gwajima ametoa wito kwa wananchi wote kushiriki uchaguzi mkuu kwa amani, utulivu na mshikamano

  14. R

    GE2025 Magdalena Rwebangira ametoa wito kwa Watendaji wa uchaguzi kuzingatia sheria, kanuni na miongozo

    Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Magdalena Rwebangira, ametoa wito kwa Watendaji wa Uchaguzi kuhakikisha wanafuata kwa umakini Katiba, sheria, kanuni na miongozo yote inayosimamia mchakato wa uchaguzi nchini Akizungumza akiwa Tabora wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya Watendaji wa...
  15. R

    Swali fikirishi: Ikiwa tulishindwa kujenga matundu ya vyoo, tutaweza kupata pesa ya uchaguzi kwa pesa za ndani?

    Hellow! Nijuavyo, makusanyo ya ndani yanatosha pekee kulipia mishahara kulipia watumishi wa umma, pesa ya miradi mara nyingi ni mikopo na misaada. Na ukweli huu ndio sababu hata ujenzi wa matundu ya vyoo, wanakijiji wamekuwa wakibanwa wachangie, wengine Hadi wanakamatiwa mifugo Ili ipatikane...
  16. LGE2024 JamiiCheck ilivyoshiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024: Taarifa sahihi huwawezesha wananchi kufanya maamuzi sahihi

    Uthibitishaji wa taarifa ni msingi unaowawezesha wananchi kufanya maamuzi sahihi kutokana na Taarifa sahihi mathalani kipindi cha uchaguzi, hili linafanikishwa kwa mapambano dhidi ya taarifa potoshi pamoja na kuwajengea uelewa wananchi jinsi ya kutambua na kudhibiti taarifa zisizo za kweli...
  17. Hii Baiskeli ya rushwa imetolewa ili watu wamchague flani kwenye uchaguzi hii ni rushwa

    Hii Baiskeli ya rushwa imetolewa ili watu wamchague flani kwenye uchaguzi hii ni rushwa. Kama mtu anaweza kutoa rushwa kama hivi ili achaguliwe inamaana yeye ni rushwa rushwa tu kwenye maisha yake anaweza kupokea rushwa pia anaweza kuuza rasilimali za nchi. "Mimi sitaki rushwa na ninapinga kwa...
  18. Hivi Chadema ni imekaushwa na CHAUMMA au imejikausha yenyewe kwenye medani za siasa za Tanzania kuelekea Uchaguzi mkuu wa October 2025?

    Maana mipango mikakati yake yote ya kujiimarisha kama vile mpango wa kuomba omba pesa za kujikimu kwa viongozi maarufu kama tone tone kidigitali na kwenye kibakuli imekauka, mpango nonsense wa no reform no elections haijulikani tena kama upo au hauko, mkakati wa uropokaji mikutanoni n.k...
  19. GE2025 Ninaamini hakutakuwa na uchaguzi Oktoba 2025

    Balozi Polepole aneweka wazi kuwa sababu za kujiuzulu katika nafasi yake ya ubalozi ni kuwa, serikali anayoitumikia haisimamii maslahi ya umma. Tuko katikati ya July na October haiko mbali. Chama kitauzaje sera zake kwa wananchi wakati barua wazi ya Balozi Polepole inanyoshea kidole mapungufu...
  20. Tukiwa Tunapambana na Waliokatwa na Kujiuzuru kwa Polepole, Kisiwani Tumenunua Ndege Yetu ya Kwanza

    ... Endelee kuzubaa wenzenu uchumi unakimbia huku
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…