uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Heche akiri kama kutakuwa reforms ndogo zinazowezekana CHADEMA itaingia kwenye uchaguzi, asema kuna mambo ya kikatiba yanaweza kuchukua muda mrefu

    "Kuna watu waliniuliza kama mna minimum reforms ambazo zikifanywa mnaweza kuingia kwenye uchaguzi, nikaambia Yes, kwa sababu sisi sio watu wa kuongea ongea, tumeandaa paper iko serikalini, Lakini vilevile sisi sio vichaa kwa sababu tunajua kuna mambo ambayo ni ya kikatiba yanaweza kuchukua muda...
  2. JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa raisi wa wanavyuo(TAHLISO) ni lini

    Kwa katiba za wanavyuo, ukomo wa raisi wa wanafunzi ni baada ya miaka mingapi? Next time chagueni watu smart na wanaojielewa!!!!
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Vyama vyaaswa kuzingatia sheria ya gharama za uchaguzi mkuu

    Akizungumza Jumatatu Agosti 18, 2025 Mwenyekiti wa baraza la vyama vya siasa Juma Khatibu katika Mafunzo kuhusu Sheria ya Gharama za Uchaguzi yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), mkoani Dar es Salaam, Khatibu amempongeza Msajili wa Vyama vya...
  4. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Matusi marufuku kwenye Kampeni. Kuna maisha baada ya Uchaguzi

    Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi, amewataka viongozi wa vyama vya siasa nchini kuhakikisha kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2025 zinafanyika kwa kistaarabu, bila kutumia lugha za matusi, kashfa au vitendo vyovyote vinavyoweza kuhatarisha amani na mshikamano wa kitaifa. Akizungumza...
  5. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nani anaongoza nchi wakati huu wa Uchaguzi ukizingatia kuwa Rais naye anagombea?

    Nimeuliza swali hili baada ya kumuona waziri mkuu Majaliwa kwenye shughuli kadha wa kadha za serikali kama vile kukagua Mwendokasi na SGR huku akiambatana na Rais wa Burundi. Wakati fulani ilikuwa inasemwa kuwa wakati wa uchaguzi nchi huwa inakuwa chini ya Jaji Mkuu lakini baadae kukawa na...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli CHADEMA wanaamini kupitia kauli zao kuwa watu hawatashiriki uchaguzi basi chama hakina viongozi

    Viongozi wa chadema jueni kuwa hamna nafasi yakuzuia program za kikatiba zisifanyike narudia viongozi wa chadema hamna nafasi ya kuzuia uchaguzi, kuamini hayo ni kukosa akili ni kuwa na low scale of thinking, Ninamashaka makubwa sana na sifa na uwezo wa kupambanua Mambo wa viongozi wa chadema...
  7. JamiiForums Tanzania Rogath John Stephen Akhwari Rais Mpya RT

    Kocha Rogath John Stephen Akhwari Ashinda urais wa shirikisho la riadha Tanzania -RT kwa kura 27 na kumbwaga mpinzani wake Nsolo Malongo Mlozi aliyepata kura 20. Mpinzani wake baada ya kushindwa aliandika hivi kwenye mitandao ya kijamii " Kura hazikutosha kushinda, nimeshika nafasi ya 2 (kura...
  8. JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango awaalika SADC Kutuma Timu ya Uangalizi wa Uchaguzi

    Makamu wa Rais wa Tanzania, Dr. Philip Isdor Mpango amesema kuwa maandalizi muhimu kwa ajili ya kufanya uchaguzi mkuu wa haki, huru na wazi yanaendelea vizuri nchini Tanzania na kutoa mwaliko kwa SADC kutuma timu ya waangalizi kwenye uchaguzi huo uliopangwa kufanyika Oktoba 29, 2025. Dkt...
  9. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Gwajima: Mwenyekiti wa Tume angekuwa anateuliwa na Lissu, CCM ingeshiriki uchaguzi?

    Salaam! Soma pia PreGE2025 - Askofu Gwajima: Utekaji si utamaduni wetu na halitakiwi kuchekewa! Hili ni swali lingine gumu ameliuliza kwa chama chake CCM Yeye akiwa mnec, Ameuliza kuwa ikiwa Tundu Lissu ndiye angekuwa Rais na Mwenyekiti wa CHADEMA mwenye mamlaka ya kumteua Mwenyekiti wa...
  10. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Gwajima: Ikiwa unapingwa na wanaCCM, waakristo, familia za waliotekwa, waliokatwa, wafuasi wa Lissu, utashindaje uchaguzi?

    Salaam! Soma pia PreGE2025 - Askofu Gwajima: Utekaji si utamaduni wetu na halitakiwi kuchekewa! Swali Hilo hapo juu limeambatana na swali lingine kuwa, ikiwa unazo njia zingine za kushinda uchaguzi bila hayo makundi,( wizi wa kura), Je utatawala vipi nchi ambayo imegawanyika? Kwa ufupi...
  11. JamiiForums Tanzania GE2025 Baada ya uchaguzi Wamaasai wa Ngorongoro watajuta

    Heshima sana wanajamvi, Baada ya uchaguzi mkuu 2025 au ukipenda uchafuzi mkuu Wamaasai wa Ngorongoro watajuta. Nguvu itakayotumika kuwaondoa na kuhakikisha hakuna sauti ya kuwatetea wataifahamu zaidi baada ya November 2025 hadi kufikia 2026. Mnajimu Mkuu Ngongo amekaa pale anawaangalia.
  12. JamiiForums Tanzania Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi waazimia Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 unafanyika katika hali ya amani

    Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi Nchini wameazimia kuhakikisha kuwa uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 unafanyika katika hali ya amani, utulivu na usalama na kwamba hawatamuonea muhali mtu yeyote atakaye jaribu kuvunja amani ya nchi. Azimio hilo limefikiwa baada ya kukamilika kwa Mkutano Mkuu wa...
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Othman Masoud Othman: Binafsi sina imani na Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar

    Wakati mbio za kuelekea uchaguzi wa Oktoba nchini Tanzania zinavyozidi kupamba moto, vyama vya upinzani vinaongeza juhudi kwa matumaini ya kuiondoa serikali iliyopo madarakani. Roncliffe Odit amezungumza na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman ambaye pia ni mgombea Urais...
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Matumizi ya bilioni za CCM kwa ajili ya uchaguzi mkuu

    Nawaza tu kwa sauti, hivi hizo bilioni zilizokusanywa na CCM, wakati wa harambee, zitatumikaje katika miezi 2 ya kampeni (zaidi ya 1b kila siku) ili hali ya huduma za jamii nyingi zinahitaji fedha kuboreshwa. Najiuliza hivyo kwa kuwa Serikali iliyoko madarakani ni ya CCM. Na isitoshe, ushindi...
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 Mhe Bwege: Matokeo yoyote tutakayopata kwa Uchaguzi huu ni kutokana na msimamo wa CHADEMA, asema vyama vingine ni vinyonga

    Dar es Salaam, Akihojiwa juzi katika kipindi cha The Interview kinachorushwa na kituo cha East Africa Radio, Mbunge wa zamani wa Kilwa, Mhe. Suleimani Bungara almaarufu Bwege, ameendelea kusisitiza kwamba Chadema bado wapo sahihi mpaka sasa na kwamba matokeo yoyote watakayopata upinzani katika...
  16. JamiiForums Tanzania Kesho uchaguzi rasmi wa RT Mwanza

    Shirikisho la riadha Tanzania -RT kesho linatarajia kufanya uchaguzi wao mkuu wa viongozi mbalimbali, ikiwemo rais na makamu wake; nafasi ya uwakilishi wanawake na nafasi ya ujumbe kwenye kamati ya utendaji. Nafasi ya katibu hakuna kwenya uchaguzi huu , bali itakuwa ni ya kuajiriwa; watu...
  17. JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Rais Samia amesema pesa ilizochangiwa CCM zitatumika bilioni 20 zingine zitatumika kufanya sherehe baada ya kushinda uchaguzi

  18. JamiiForums Tanzania GE2025 Special Thread: Wasifu wa Wagombea Urais Uchaguzi Mkuu 2025

    1. ACT WAZLENDO LUHAGA MPINA Jina Kamili: Luhaga Joelson Mpina Chama: ACT Wazalendo Tarehe ya Kuzaliwa: 5 Mei 1975 (Tanzania) Elimu: Shahada ya Uhasibu (B.Acc) – Mzumbe University; MSc – University of Strathclyde Historia ya Siasa: Mbunge wa Kisesa tangu Desemba 2005-2025 (CCM) Waziri wa...
  19. JamiiForums Tanzania Je, Serikali ya CCM itaweza kumuwajibisha GSM endapo akikosea kwa mchango aliowapa kipindi hiki cha uchaguzi?

    Miaka kadhaa iliyopita Mwigulu Nchemba alitamba sana kwa maneno ya TRAB na TRAT ambayo wengi waliona kuwa waziri hajui maana ya maneno hayo huku wengi wakishindwa kuzungumzia zaidi ya Tsh trilioni 300 ambazo halisema hazipo huko. Okay TRAB ni Tax Revenue Appeals Board na TRAT ni Tax Revenue...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Najaribu kutafuta ujumbe halisi wa michango ya wafanyabiashara kwa ajili ya CCM kuelekea uchaguzi mkuu

    Kuombaomba huwa mchakato wenye kumuondolea heshima yule muombaji wa misaada. Nilikuwa namsikiliza Makamu wa Rais Dr Mpango akiongelea namna utu wa kiongozi wa nchi maskini unavyodhalilika katika meza ya mkutano kati ya mawaziri wa kutoka mataifa ya dunia ya tatu na wale wa mataifa ya Ulaya na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…