Salaam!
Katika chaguzi zilizopita, askari baada ya foleni kwisha, askari nao walipata fursa ya kupiga kura Katika vituo walivyosimamia usalama kwa uwazi kabisa Kisha wakaendelea na majukumu yao kana kawaida.
Uchaguzi huu ni tofauti, Kila kukicha tunaona wanafanyishwa mazoezi kwa tetesi za...