Kesho tarehe 6 Juni, 2025, ni siku ambayo nchi ya Burundi itakuwa na uchaguzi wa wabunge nchi nzima.
Burundi, mojawapo wa nchi za jumuia ya Africa Mashariki, kwa miaka mingi, ilikumbwa na ghasia ya vita vya ukabila, ambapo wahutu na watutsi, haziivi mpaka sasa.
Makabila haya, mwanzo hayakuwa...