Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt Stergomena Lawrence Tax (Mb), tarehe 7 Julai 2025, ameonya na kuwatahadharisha Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM, kuwa macho na kujiepusha na makundi au watu wenye nia ovu na Nchi ya Tanzania, watakaotaka kuutumia mchakato wa Uchaguzi Mkuu wa...