Chama cha Alliance For Democratic Change (ADC) kimezindua rasmi kampeni zake hii leo, ambapo mgombea wa urais wa Zanzibar kupitia chama hicho, Hamad Rashid Mohamed, ameahidi kuimarisha mfumo wa uvuvi ili kuongeza kipato kwa wavuvi wa Zanzibar.
Amesema hayo katika uzinduzi wa kampeni za urais wa...