uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GE2025 Unafiki unaendelea, Shigongo amepiga magoti anaomba kura

    Mgombea Ubunge Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo ameongoza tukio la wagombea wa CCM kupiga magoti mbele ya wananchi kuomba kura Jimbo la Muleba, akiwemo Mgombea Udiwani wa Kata ya Muleba, Alipoenda kuzindua Kampeni Kata ya Muleba Mjini. Tukio hilo llilenga kuomba kura kwa Rais Dkt. Samia Suluhu...
  2. GE2025 Cecilia Paresso: Wagombea wa CCM ndiyo wanatambua thamani ya utu na maendeleo ya Tanzania

    Kampeni kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu nchini Tanzania unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025 zimezidi kupamba moto huku makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiendelea kufanya mikutano maeneo mbalimbali kusaka kura kwa wagombea. Cecilia Paresso, ambaye alikuwa Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa...
  3. GE2025 Askofu Bagonza: Wagombea wanazungumza vitu vya kawaida, sijasikia wakikemea rushwa, utekaji, haki "sera za Shopping list"

    Askofu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson Bagonza, amesema sera za wagombea katika Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 bado zimejaa ahadi za kawaida kama ujenzi wa miundombinu na ununuzi wa Ndege, akiongeza kuwa "Sijasikia mtu akikemea rushwa, haki ya kukutana au hatma ya...
  4. W

    GE2025 Hivi hadi leo wagombea bado tu wanatatua kero ya maji tutapiga hatua sehemu nyingine kweli?

    Mgombea ubunge jimbo la Vunjo kupitia tiketi ya chama cha Mapinduzi CCM Enock Koola akiwa anaendelea na kampeni katika kata mbalimbali za jimbo hilo amewahaidi wananchi wa jimbo hilo kutatua kero ya maji inayo wakabili wananchi hao Aidha amewaomba wananchi wote wa Vunjo kujitokeza kwa wingi...
  5. GE2025 Manara: Wamiliki wa Malori fuateni Sheria, bora mtunyime Kura lakini Malori yatoke Kariakoo

    Mgombea Udiwani wa Kata ya Kariakoo Haji Manara, amewataka wamiliki wa malori ya mizigo yanayoingia katikati ya jiji kuhakikisha wanazingatia sheria na kanuni za usafirishaji, hususan uzito unaoruhusiwa katika barabara hizo. ‎ ‎Akizungumza usiku wa kuamkia leo, Septemba 26, 2025, katika shughuli...
  6. GE2025 Peter Msigwa: Tanzania ipo salama kwenye mikono ya CCM

    Mchungaji Peter Msigwa akiongea na wananchi wa jimbo la Ismani katika uzinduzi wa kampeni za chama cha Mapinduzi zilizo fanyika katika viwanja vya Nanenane, Kata ya Itunundu, mkoani Iringa 25 Septemba 2025 amesema Tanzania ipo salama chini ya Chama Cha Mapinduzi. Pia Soma: GE2025 - Peter...
  7. GE2025 Salum Mwalimu: Nikipewa nchi, napiga marufuku kampuni zote zinazoleta kausha damu kwa wananchi

    Mgombea urais wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, amesema iwapo atachaguliwa kuingia madarakani atapiga marufuku kampuni zote zinazowaingiza wananchi kwenye mikopo ya kinyonyaji maarufu kama kausha damu. Mwalimu amesema haiwezekani taifa kuendelea kuendesha uchumi wake...
  8. GE2025 Dk. Nchimbi: CCM tutaongeza upatikanaji wa ruzuku ya mbolea vijijini

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeahidi kuongeza ruzuku ya mbolea kwa wakulima, ikiwa ni mkakati wa kuongeza tija ya kilimo, kuinua kipato cha wananchi na kuboresha maisha ya wakulima hususan wa maeneo ya vijijini mkoani Iringa. Mgombea Mwenza wa Urais wa chama hicho, Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi...
  9. GE2025 Eric Shigongo: Tunakokwenda ni kuzuri kuliko tulipotoka na tulipo, Hakuna anayetudai

    Eric Higongo, mgombea ubunge wa Jimbo la Buchosa kwa tiketi ya CCM akiwa na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Muleba Kusini, Dk. Oscar Ishengoma Kikoyo na mgombea udiwani wa Kata ya Muleba Mjini, Mhaji Bushako wameendelea na kampeni ya kusaka kura za Dk. Samia Suluhu Hassan. Shigongo amewaambia...
  10. GE2025 Mgombea urais AAFP asisitiza 'Sina mzaha kufuga mamba ikulu' Mafisadi Dawa yao ni kuwafanya chakula cha mamba

    Mgombea urais kupitia Chama cha Wakulima (AAFP), Kunje Ngombale Mwiru, amesema dhamira yake ya kufuga mamba Ikulu kwa ajili ya kuwala mafisadi si mzaha, bali ni mkakati mahsusi wa kupambana na ufisadi nchini. Mwiru amesema wapo waliodhani kauli hiyo ni masihara ya kisiasa au porojo za kampeni...
  11. GE2025 Mwaifunga aahidi zahanati na barabara kwa wananchi wa kata ya Tumbi

    Mgombea Ubunge Jimbo la Tabora mjini kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Hawa Mwaifunga akiwa katika mkutano wa Kampeni katika kata ya Tumbi leo Septemba 21,2025 amewaahidi Wananchi wa kata hiyo kukamilisha ujenzi wa Zahanati na ukarabati wa Barabara inayotoka Barabara kuu ya Urambo hadi Kijiji cha...
  12. GE2025 Mgombea udiwani Isevya: Mwaifunga alikuwa mbunge wa low profile sasa anaibuka juu

    Aliyekuwa Mstahiki Meya wa Manispaa ya Tabora ambaye kwa sasa ni Mgombe wa nafasi ya udiwani Kata ya Isevya kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Ramadhani Kapela amezindua rasmi kampeni ya kuomba ridhaa kwa wakazi wa kata hiyo Akizungumza na kumuombea kura Rais na Mgombea Ubunge Jimbo la...
  13. GE2025 Hawa Mwaifunga: Mkinipa kura nitaenda tonge kwa nyama kata ya tambukareli ipate zahanati

    Mgombea Ubunge Jimbo la Tabora mjini kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Hawa Mwaifunga akiongea katika mkutano wa Kampeni katika kata ya Tambukareli amewaomba Wananchi wa kata hiyo kumpigia kura awe mbunge akasimamie ilani ya Uchaguzi ya Mwaka 2025/30. Mwaifunga amesema kuwa kupitia ilani ya...
  14. GE2025 Karimu Chipola: Rais Samia ameboresha maisha yetu

    "Namshukuru sana Rais Samia Suluhu Hassan na Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi CCM kwa kazi kubwa aliyoifanya hasa kugusa maisha ya wakulima na kutukwamua kiuchumi. Ni Rais pekee ndani ya kipindi cha miaka minne na Nusu ameweza kutugusa sisi kwa kuboresha maisha yetu. Aliweza kufanya uthubutu...
  15. H

    GE2025 Polepole: Samia anaahidi vitu vidogo vinavyoweza kufanywa na mkuu wa wilaya

    Kwenye press aliyofanya aliyowahi kuwa balozi wa Tanzania kutoka Cuba anayejulikana Kama Humphrey Pole pole amesema ameshangazwa na sera anazoahidi mgombea wa uraisi wa CCM Rais Samia kuwa ni sera ambazo hazikutakiwa kuahidiwa na Taasisi kubwa Kama ya uraisi. Huwezi kuahidi wananchi kuwa...
  16. GE2025 Haran Sanga: Nitamaliza kero za nyani kwa wakulima wa Kata ya Kimbiji

    Mgombea ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Haran Sanga, amepania kumaliza kero ya nyani kwa wakulima wa Kata ya Kimbiji. Akizungumza na wananchi, Sanga alisema wakulima wengi wa mazao wamekuwa wakisumbuliwa na nyani hali ambayo imefifiza uchumi wao. Ameahidi endapo atapewa ridhaa...
  17. GE2025 INEC yaahirisha uchaguzi Fuoni, sababu ni kifo cha mgombea Abbas Mwinyi

    Kutokana na kifo cha mgombea ubunge wa Fuoni kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Abbas Ali Mwinyi, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imeahirisha uchaguzi wa ubunge katika jimbo hilo hadi pale itakapopanga tarehe nyingine ya uteuzi wa wagombea. Abbas ambaye ni kaka mkubwa wa Rais wa Zanzibar...
  18. GE2025 Mgombea CCM amshutumu Mpinzani kwa kuwa na Wanawake wengi na Watoto kila mahali kwenye Kampeni

    Mgombea Udiwani katika Kata ya Mvumi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2025, Hassan Mkopi baada ya kuwasilisha sera zake kwa Wananchi ikiwemo kusimamia miradi ya maendeleo ya jamii, ametumia jukwaa hilo kumshutumu mpinzani wake akisema hana maadili ya uongozi kwa kuwa na...
  19. GE2025 Kazi ya miaka 4 ya Rais Samia ni sawa na miaka 40

    Wakizungumza leo Septemba 25, 2025 wakati wa Kampeni za Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan zilizofanyika mjini Lindi, baadhi ya wanawake wakazi wa Mkoa huo wamesema maendeleo yaliyopatikana katik kipindi cha Miaka minne (04) ya uongozi wa Dkt. Samia yangeweza...
  20. GE2025 Polepole: Jamaa aliniuliza maisha yangu baada ya uchaguzi yatakuwaje, nikamwambia hakuna uchaguzi hii ni kiini macho tu

    Majibu yangu kwa jamaa yangu wa Idarani na nitumie fursa hii kuwajibu wote wenye mashaka mashaka juu ya dhamira yetu ya kuikomboa hatima ya nchi yetu ambayo iko kwenye giza nene muda huu, bado muda kidogo na kama Mungu aishivyo haki itatamalaki katika nchi yetu, niwatie moyo siku hiyo inakuja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…