uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nehemia Kilave

    PreGE2025 Nadhani ni muda muafaka kwa Tundu Lissu, Makonda, Mbatia na Wazalendo wengine kuanganisha nguvu 2025 kuchukua nchi

    2025 imekaribia, na ukiingia deep sana goli liko wazi . CHADEMA yetu hii haijawahi kuwa serious kushika dola . CCM yao baada ya miaka sitini bado imetubakiza kwenye ufukara ,tumekuwa omba omba mbali na Maliasili nyingi nchi ilizo navyo .
  2. Tlaatlaah

    Unashauri 2025 Mbunge wa jimbo gani ajizuie kugombea tena kiti hicho kuepuka fedheha ya kushindwa?

    Japo wabunge wengi wametekeleza vizuri sana wajibu, kazi na majukumu yao hasa ya kitaifa kupitia bunge, kwa weledi na umahiri mkubwa, lakini kutokana na hali halisi huko majimboni kwao inaonekana hawatakua na nafasi nzuri na ya uhakika kuchaguliwa tena katika awamu nyingine kwenye uchaguzi...
  3. J

    PreGE2025 RC Makonda aitahadharisha CCM; "Msitulaumu wakati wa Uchaguzi mambo yakiwa Mabaya, tupeni Ushirikiano sasa"

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha mh Paul Makonda amewataka Viongozi wa CCM kuzunguka kona zote na kuwaletea Taarifa za Viongozi wabovu na wezi Ili wawashughulikie kungali Mapema " Msije kutulaumu wakati wa Uchaguzi mambo yakiwa Mabaya" ameonya Makonda Mwenyekiti wa CCM Komredi Sabaya amemuhakikishia...
  4. peno hasegawa

    PreGE2025 Ni kituko gani umekiona kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025?

    Tumeanza kuona vituko, kuelekea uchaguzi mkuu 2025. Huko Jimbonibkwako hali ikoje?
  5. Nehemia Kilave

    PreGE2025 LGE2024 kuelekea Uchaguzi Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025: Hizi ni Katiba mbali mbali za vyama

    Kazi kwenu wananchi na watia nia
  6. Nyendo

    PreGE2025 Upi ushauri au maoni yako kwa anayekusudia kugombea nafasi yoyote nchini?

    Unamshauri nini au una maoni gani juu ya mtu yoyote anayekusudia kugombea nafasi yoyote ya uongozi nchini kufuatia uchaguzi ujao wa Serikali za mitaa na Serikali kuu? Unamshauri nini azingatie na nini asijekirudia ambacho ulikiona kwa wagombea wengine kwenye chaguzi za nyuma? Mwaka huu wa 2024...
  7. M

    Sasa ni dhahiri kuna chama kilishaanza kampeni isiyo rasmi ya uchaguzi Mkuu 2025

    Kuna chama kilishaanza kampeni isiyo rasmi ya uchaguzi Mkuu 2025, huhitaji kuwaza kujua kuwa hii ni kampeni ya kum-"brand" mgombea wao na kujibrand wao wenyewe ili majina yao yatajwe kila siku na watu lakini pia wakumbukwe kuwa wapo kama walisahaulika. Kubwa zaidi ni kumuuza kwa lazima mgombea...
  8. B

    PreGE2025 Upinzani Senegal kuelekea ushindi, tunayo ya kujifunza?

    Sonko, Faye na wengi wengine wametokea magerezani vitani dhidi ya watawala: Vita dhidi ya watawala haviwezi kuwa vya maelewano. CCM yupi ataridhiana na nani ili kwamba atoke madarakani? Labda tu ili ajisimike madarakani kisawa sawa! ---- Opposition leader Bassirou Diomaye Faye has emerged...
  9. K

    PreGE2025 Tulio tayari kufanikisha ushindi wa kihistoria wa Rais Samia 2025, tujipongeze kwa kulitendea haki Taifa

    Pongezi za dhati na za kipekee ziende Kwa viongozi wetu wakuu wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Komredi AbdulRahman Kinana na Waziri mkuu wa JMT Mhe. Kassim Majaliwa Kwa kuwa wapambanaji hodari wa kufanikisha ushindi wa kihistoria wa Rais Samia 2025 Pongezi hizi Kwa viongozi hao ni...
  10. Heparin

    PreGE2025 Freeman Mbowe: Naagiza ngazi zote za chama ziandae wagombea wa kushinda Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025

    Akihutubia kwenye mkutano wa BAWACHA, Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe emetoa agizo kwa Katibu Mkuu wa chama hicho John Mnyika kuhakikisha ngazi zote za chama nchi zima zinaandaa viongozi wa kugombea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2024 na uchaguzi mkuu mwaka 2025. Viongozi hawa wawe na...
  11. mwanamwana

    PreGE2025 Tunapoelekea uchaguzi mkuu 2025, tuepuke wagombea wanaotaka kutugawa kwa misingi ya udini, ukabila, jinsia na ukanda

    Nianze kwa kumnukuu Hayati Mwalimu Nyerere... Inapotokea vipindi vya uchaguzi wagombea wakiwa wanatafuta kura, pamoja na sera nzuri za kujiuza wanazokuwa nazo, pia huweza kutumia njia nyingine mbalimbali za kusaka kura. Sababu hizo zinaweza kuwa ukabila, udini, ukanda au jinsia. Wanaweza...
  12. Nyafwili

    PreGE2025 Uchaguzi 2025: Sauti Yako Katika Uchaguzi, Tuchambue Mapambano Ya Rais, Wabunge, na Madiwani - Maoni, Utabiri, Na Mjadala!

    .Kwa mujibu wa kalenda ya uchaguzi wa Tanzania, uchaguzi wa Rais, Wabunge, na Madiwani unafanyika kila baada ya miaka mitano. Hivyo, uchaguzi wa Rais 2025 unatarajiwa kufanyika mwezi Oktoba, ingawa tarehe inaweza kubadilika kulingana na ratiba rasmi itakayotolewa na mamlaka husika. (b) Mwaka...
  13. kavulata

    Watanzania tunasubiri kuibiwa kuelekea uchaguzi mkuu 2025

    Uchaguzi ni gharama kubwa sana kwa wagombea, vyama vya siasa na taifa kwa ujumla wake. Kupata pesa za kugharamia kupita kwenye kura za maoni, kupiga kampeni, kuchaguliwa, kulinda kura na kutangazwa kuwa mshindi ni bei kubwa sana. Watanzania tunatarajia kusikia wizi au uhalalishaji wizi mkubwa...
  14. F

    Utabiri uchaguzi mkuu 2025

    HUU NI UTABIRI (1) Patafanyika marekebisho madogo ya katiba pamoja na sheria za uchaguzi ambapo,pamoja na mambo mengine, mgombea kiti cha urais atatakiwa apate zaidi ya 50% ya kura ili kutangazwa mshindi. (2) WAGOMBEA URAIS-: (1)CCM - Samia Suluhu Hasan (2)CHADEMA - Tundu Lissu (3)ACT - Zitto...
  15. GENTAMYCINE

    Nape Nnauye kutaka Kwako Kura za 'Dijitali' Uchaguzi Mkuu 2025 kunaweza kukufanya Utumbuliwe muda si mrefu

    Ni wazi kuwa huenda nawe sasa umekichoka Chama chako cha CCM na sasa unataka kikae pembeni, kwani GENTAMYCINE nina uhakika endapo Kura za Uchaguzi Mkuu ujao (2025) zitapigwa 'Kidijitali' basi Saa 3 Asubuhi tu CCM itaanguka na Kizimkazi Paje Kisiwani Zanzibar itapata Mgeni wao wa Kudumu na...
  16. T

    Kuna uwezekano mkubwa Uchaguzi Mkuu 2025 zaidi ya wabunge 20 wa CCM wakapita bila kupingwa. Niko pale nakula popcorn

    Huu ni mtazamo wangu binafsi kuhusu hali ya kisasa nchini sijui ni nini kimetokea kwenye taifa letu. Hilo jambo litatokea si Kwa sababu watu wanamapenzi mema na CCM na wala si kwa sababu watu wana Imani na CCM na sera zake, bali itatokea Kwa sababu ya watanzania kukosa mwamko wa kisiasa...
  17. Roving Journalist

    Rais wa Zanzibar, Hussein Mwinyi asema serikali itaendelea kuitunza demokrasia nchini kuelekea uchaguzi wa 2024/25

    Rais Hussein Mwinyi amekuwa ni mgeni rasmi katika Mkutano wa Kitaifa wa wadau kujadili hali ya demokrasia nchini kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji 2024 na uchaguzi mkuu 2025 Katika ushiriki wake, Rais mwinyi amezindua mpango wa kukuza mjadala ya vyama vingi na kuongeza...
  18. Roving Journalist

    Rais Mwinyi mgeni rasmi katika Mjadala wa Demokrasia kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025

    Mkutano wa kitaifa wa wadau kujadili hali ya demokrasia nchini kuelekea uchaguzi mkuu wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji 2024 na uchaguzi mkuu 2025 Mkutano huu ni wa siku mbili, kusoma yaliyojiri siku ya kwanza bofya viunga hivi 1. Mkutano wa Kitaifa wa wadau wa Demokrasia: AveMaria...
  19. Ironbutterfly

    Nimekumbuka Uchaguzi Mkuu mwaka 2015

    Habari za jumapili wana ukumbi. Katika kumalizia mapumziko ya mwisho wa juma,nimekaa sebulen kwangu,nikakumbuka uchaguzi wa mwaka 2015. Mchakato ulianza na kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura,enzi hizo naishi mbezi Luis, nakumbuka nilikuwa na ujauzito wa miezi kadhaa...
  20. G-Mdadisi

    Wanawake wenye nia ya kugombea Uchaguzi mkuu 2025 watakiwa kujifunza kwa waliowatangulia

    ZANZIBAR KATIKA kuhakikisha ushiriki wa wanawake katika vyombo vya maamuzi unaongezeka, wanawake wenye ndoto za kugombea uongozi wameshauriwa kuanza kujifunza kutoka kwa wanawake wanasiasa waliowatangulia ili kuongeza ujasiri na uthubutu wa kukabiliana na vikwazo kuelekea uchaguzi mkuu wa 2025...
Back
Top Bottom