uchaguzi chadema

The Tanzanian general election of 2015 was the 5th quinquennial election to be held since the restoration of the multi-party system in 1992. Voters elected the president, members of Parliament, and local government councillors. By convention, the election was held on the last Sunday of October and was supervised by the National Electoral Commission (NEC). Political campaigns commenced on 22 August and ceased a day before the polling day.The incumbent president, Jakaya Kikwete, was ineligible to be elected to a third term because of term limits. Chama Cha Mapinduzi (CCM), the country's dominant ruling party, selected Works Minister John Magufuli as its presidential nominee instead of the front-runner, former Prime Minister Edward Lowassa. After failing to secure the CCM's nomination, Lowassa defected to the opposition Chadema party despite it once labelling him as "one of the most corrupt figures in Tanzanian society". This year's election was seen as the most competitive and unpredictable in the nation's history.The government had warned politicians to refrain from engaging in witchcraft, and a deputy minister told parliament that reports linking politicians with the killings of people with albinism could be true as it increases during the election period. A ban on witch doctors was imposed in January 2015, as some of them condone the killings due to superstitious beliefs that the victims' bodies "possess powers that bring luck and prosperity".On 29 October, CCM's Magufuli was declared the winner ahead of Chadema's Lowassa, who has yet to concede amid a dispute.

View More On Wikipedia.org
  1. Rorscharch

    Hongera kwa Lissu ila CHADEMA haihitaji Mwenyekiti Mpya, inahitaji mikakati mipya itakayovuka mipaka ya Siasa

    Niwe muwazi, Tangu viongozi mbalimbali CHADEMA walivyoanza kukiri kwamba bila katiba mpya hawawezi kuchukua uongozi wa nchi kusema kweli imani yangu na mapenzi yangu kwa chama hichi imeporomoka sana maana nilikua najiuliza kichwani .... "Miaka yote hii wana "front" mgombea urais walikuwa...
  2. DOM_LEADER

    Mwaka huu CCM imepoteza mvuto kwa kiwango kikubwa. Uchaguzi wa CHADEMA ni ushahidi tosha

    Mimi si mpenzi wa kuongea au kuandika mambo bila hata kufanya utafiti kidogo. Ukweli ni kwamba mwaka huu, CCM imepoteza mvuto kwa kiwango kikubwa, na sijawahi kushuhudia hali kama hii hapo kabla. Angalia hata umaarufu wa matukio haya mawili: uteuzi wa Mwenyekiti wa CCM pale Dodoma na uchaguzi...
  3. Citizen_37

    PreGE2025 Baada ya ushindi wa Lissu na Heche, naliona bunge lenye mvuto linakuja

    Hayawi hayawi yamekuwa, Licha ya matarajio makubwa kutokana na ushindi huo, nawaona CHADEMA wanaenda kukomba wabunge wengi kwenye uchaguzi mkuu. Hii inatokana na furaha ya wananchi wengi wanachama na wasio wanachama kufurahia ushindi wa Tundu.
  4. Minjingu Jingu

    Mimi, CCM na hawa wenzangu tumeumia sana kwa Lissu kushinda. Hii ni dalili mbaya kwetu

    Hali yangu na hawa wenzangu ambao tulijitolea kwa hali na mali kumshambulia Lissu na kumsifu Mbowe ni mbaya. Hatuna raha, tumekonda ghafla na nuru imezidi kufifia. Hiki ni kipindi ambacho tulimtaka sana Mbowe. Hatujawahi mtaka Mbowe awe Mwenyekiti kama ilivyo sasa. Kwa niaba ya wenzangu wakunja...
  5. ERTUGRUL BEY

    Uchaguzi Mwenyekiti CHADEMA ni aibu na Demokrasia kwa wakati mmoja

    Hii ni fundisho kwa viongozi wote kwamba Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu,na sauti ya umma si yenye kudharauliwa hata kidogo,ni wakati umefika sasa kwa viongozi wengine kujifunza haya yalitokea Chadema Jana nilikuwa nafuatilia matangazo ya Television ya uchaguzi wa Chadema,nilivutiwa na...
  6. R

    Endapo Mbowe asingegombea CHADEMA kingepata ufuasi , uimara na imani iliyopo sasa kwenye jamii?Mjadala ungekuwepo?

    Endapo Mbowe angeamua kumuunga mkono Lisu je wananchi wangeshuhudia demokrasia iliyoonyeshwa? Kuhusu imani kwa umma, je mjadala unaoendelea sasa ungekuwepo? Je, angepata heshima aliyonayo sasa hata baada ya kushindwa?
  7. Waufukweni

    PreGE2025 Msigwa atupa dongo kwa Mbowe baada ya kushindwa Uchaguzi CHADEMA asema "Shimo alilonichimbia mimi ametumbukia mwenyewe"

    Mchungaji Peter Msigwa, ambaye ni mbunge wa zamani wa jimbo la Iringa Mjini kwa tiketi ya CHADEMA na sasa mwanachama wa CCM, ametupa dongo mtandaoni kwa Freeman Mbowe kufuatia kushindwa kwake katika uchaguzi wa ndani wa CHADEMA. Kupitia ukurasa wake wa X (zamani Twitter), Msigwa ameandika...
  8. Lord Denning

    Hajawahi tokea Mwanasiasa nchini Tanzania kama Tundu Lissu! Mungu ana kusudi nae aendelee kumlinda

    Naiona Tanzania ya kipekee sana baada ya Tundu Antipass Lissu kushinda uenyekiti Chadema. Tundu Antipass Lissu aliyesoma shule ya vipaji maalum ya Ilboru na akasoma Sheria katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na baadae nchini Uingereza amethibitisha kuwa yeye ni zawadi ya kipekee kwa Watanzania...
  9. The Palm Beach

    PreGE2025 Kauli ya kwanza ya Tundu Lissu na John Heche baada ya Freeman Mbowe kukubali matokeo ya Uchaguzi

    Tundu Lissu - Mwenyekiti mpya CHADEMA 2025 - 2029 John Heche Makamu Makamu Mwenyekiti mpya 2025 - 2029 Hongereni sana ndugu zetu Tundu Lissu na John Heche. Pia soma Pre GE2025 - Freeman Mbowe akubali kushindwa, awapongeza Lissu na Heche kwa ushindi Kwa ushindi wenu huu, hamwezi kujua ni...
  10. G

    Hongera sana kwa ukomavu wa kidemokrasia wanachadema, najiunga rasmi kuwa mwanachama

    Kwanza nikiri, sikuwahi kuwa mwanachama wa chama chochote Tanzania, nilikuwa tu shabiki wa chama hiki (CHADEMA) lakini nilivunjwa moyo baada ya Hayati Lowassa kupokelewa na kujiunga na chama hiki. Kitendo hicho kilinikwaza sana nikaamua kubaki neutral coz niliona kama viongozi wa chama ni...
  11. Mindyou

    Aliyekuwa mgombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti Zanzibar ajiondoa kwenye mchakato

    Wakuu, Aliyekuwa anagombea Makamu Mwenyekiti upande wa Zanzibar Said Said ajiondoa kwenye kinyanga'nyiro hicho Pia soma Pre GE2025 - Nafasi ya Makamu Mwenyekiti Zanzibar kurudiwa baada ya kutokuwa na mgombea aliyefikisha zaidi ya 50%
  12. M

    Huu ni uthibitisho mwingine kuwa mitandao ina nguvu, waliokuwa waniibeza mitandao mna la kujifunza

    Hongoreni wana Chadema Kwa kufanya uchaguzi Kwa utulivu na amani , Wadau wengi walikuwa wakiandika juu ya ushindi wa Lisu humu mitandaoni na maoni ya wengi yalikuwa yanaonesha kuwa Lisu atashinda. Baadhi walikuwa wana wabeza eti wanasema haya akisi uhalisia kwakuwa watu wengi hawatumii...
  13. M

    Freeman Mbowe ni G.O.A.T, kathibitisha amejenga Chama Cha Demokrasia, apewe maua yake

    Niwapongeze CHADEMA kwa kufanya Credible,Free and Fair Election ambayo ni Funzo kubwa sana kwa nchi yetu na nimpongeze Lissu kwa kushinda na Mbowe kwa kukubali kushindwa. Lakini kipekee nimpongeze Mbowe kwa kujenga Taasisi ya CHADEMA na kumaliza kipindi chake kwa kuionyesha Dunia maana ya...
  14. M

    Leo rasmi naenda kujiandikisha rasmi tawi la CHADEMA Mbezi Mwisho

    Niliacha siasa baada ya ubakwaji wa demokrasia uliofanywa na serikali ya CCM, upinzani kupoteana, Ushindi wa Lissu sasa unanirudisha rasmi CHADEMA, na leo naanza rasmi mchakato wa kujisajiri uanachama tawi la CHADEMA hapa Mbezi mwisho. Nina furaha Sana Pia soma Pre GE2025 - Freeman Mbowe...
  15. Influenza

    Pongezi mbalimbali za viongozi kwa Ushindi wa Tundu Lissu kuwa Mwenyekiti mpya CHADEMA

    Wakuu Viongozi mbalimbali wameendelea kutuma salamu za pongezi kwa Tundu Lissu baada ya kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa CHADEMA Taifa. Kupitia ukurasa wake wa X, Luhaga Mpina amesifu namna CHADEMA wameweza kumpata Mwenyekiti wao. Ameandika “Hivi ndivyo mwenyekiti wa chama...
  16. R

    Salamu za Pongezi kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika

    Mwenyenzi Mungu azidi kukupa maisha marefu na uvumilivu katika siasa na maisha binafsi. Ni vigumu kwako kutambua ukubwa wa kazi uliyofanya lakini naomba kukujulisha kwamba umefanya kazi kwa moyo, utu na umeliweka Taifa mbele. Usitetereke lakini pia usijiinue bali subiri wakuinue. Hongera sana...
  17. Waufukweni

    PreGE2025 Lema afunguka baada ushindi wa Tundu Lissu Uchaguzi CHADEMA, Mbowe ni kaka yangu ila Lissu ni bora zaidi wakati huu

    Godbless Lema avunja ukimya baada ya ushindi wa Tundu Lissu Uchaguzi CHADEMA adai yeye kwenda kinyume na Mwenyekti Freeman Mbowe ilikuwa ngumu sana. "Nitendo gumu la kisiasa, katika matendo magumu ya kisiasa nimeshawahi kuyafanya hili ni namba moja katika maisha yangu, Mbowe ni kaka yangu, ni...
  18. Cute Wife

    PreGE2025 Ushindi wa Lissu unamaanisha nini kwa Watanzania? Tunapata picha gani Uchaguzi Mkuu 2025? Samia atapumua? Ukabila kuisha?

    Wakuu, Lissu amekuwa akiongelewa kama mtu mwenye misimamo, aliyenyooka, na siyo rahisi kuyumbishwa. Yeye na Heche imekuwa pea moja ambayo inaendana kwa kwenye misamamo na njia zao za kuongoza wote wakiongelea mabadiliko makubwa ndani ya chama na maeguzi kwenye siasa za Tanzania. Baada ya...
  19. S

    CHADEMA chama cha mapepari wenye pesa chageuka cha wasio na pesa baada ya ushindi wa Lissu

    CHADEMA ilianzishwa kama chama cha mabepari yaani capitalist party kinachoamini kwenye capitalism Waanzilishi walikuwa matajiri na walitoa pesa na mali zao nyingi ndani na nje kukiendesha Ushindi wa Lisu kuwa chama kimechukuliwa na walalahoi wasio na hela .Kitapata shida sana kujiendesha...
  20. Cute Wife

    PreGE2025 Watanzania wabubujishwa na machozi ya furaha na matumaini kwa ushindi wa Lissu. matumaini kwa upinzani kurejea?

    Wakuu, Watanzania wote mpaka CCM akina Lucas Mwashambwa na mwenzake aliyejitoa ufahamu mwishoni Retired wamebubujikwa na machozi baada ya Lissu kunyakua ushindi wa nafasi ya Mwenyekiti Taifa CHADEMA, na Heche akiwa kama Makamu wake. Si huku bara tu hata Zanzibar kule Kizimkazi nako ni shangwe...
Back
Top Bottom