uchaguzi 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli asirudie makosa ya Mzee Kikwete; atumie mamlaka yake vizuri abaki madarakani beyond 2025

    Naamini Rais Kikwete angetumia mamlaka yake kukamilisha mchakato wa Katiba mpya kwa misingi ya rasimu ya tume ya Warioba angebaki madarakani hadi leo hii kwasababu zifuatazo: 1. Kwanza angejijengea heshima na upendo mkubwa sana kwa Watanzania kwa kuwaletea Katiba mpya iliyo bora kuliko hii...
  2. JamiiForums Tanzania Wafuatao wajiandae kumrithi Rais Dkt. Magufuli mwaka 2025 tafadhali

    Wakijilinda Kiafya na kuzidisha sana maombi yao ya Utendaji huku wakiwa waaminifu na wenye moyo hasa wa Kiuzalendo na Mapenzi ya dhati kabisa kwa nchi ya Tanzania basi wafuatao watakuwa Warithi sahihi na wazuri sana wa Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimaliza muhula wake wa pili hapo mwaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…