uchafuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. John Heche hutubia taifa uwambie wanachadema Sasa mnaelekea wapi 2026 baada uchafuzi KUISHA na uwambie wategemee Nini 2026?

    Huu ni WITO kwa kiongozi mkubwa wa chama Cha upinzani nchini Tanzania. TAFADHALI zungumza na WENZAKO kitaifa.uwape ramani mnaelekea wapi? For 2026?
  2. Michango iliyofanywa na CCM kabla ya uchaguzi ilikuwa kwa ajili ya uchafuzi na mauaji

    Zile pesa zilizochangwa za CCM na list kubwa ya matajiri mpaka timu ya mpira ilikuwa kwa ajili ya uchafuzi wa uchaguzi. Pesa ile ilitumika kuonga idara za ulinzi na tume ya uchaguzi ndio maana ulisikia kashinda asilimia 98. Ilikuwa nilazima mauwaji yatokee kipindi cha uchaguzi sababu waliopewa...
  3. Uchafuzi wa hewa Mwenge

    Habari wanajamvi watu makini Kabisa.Natumai sote tuko poa. Naomba kuwasilisha kero hii Kwa NEMC sijui ni mimi pekeyangu ndo napua kali ama vipi. Kwa siku kadhaa na tuseme Kwa miezi hata mwaka hapa maeneo ya Mwenge kuanzia ITV,stendi mpya,njia yote mpaka huu upande wa petrol station ya ORYX...
  4. K

    Kwa Nini Tume ya Uchafuzi Bado Ipo Kazini?

    Hili ndilo swali la DHARURA linalotakiwa kupata jibu haraka wakati huu kabla ya masaa 72 hayajatimia kama walivyo ahidi kabla ya zoezi la uchafuzi kuanza hapo Oktoba 29. Hawa wanafanya kazi gani wakati uchafuzi ulizuiliwa na wananchi? Kwa nini waruhusiwe kuendelea kutoa matokeo ya zoezi ambalo...
  5. Waliopo karibu na ofisi za Tume wanapotangaza huu uchafuzi waingilie kati tafadhali

    Kinachoendelea hapo tume wanapotangaza matokeo ni kama wanajitekenya na kucheka wenyewe, waliopo karibu waende wakasalimie hapo
  6. Azam TV na TBC wanatumika kuhalalisha Uchafuzi wa jana. Tukawasalimie muda huu

    Azam TV na TBC wanatumika kuhalalisha uchafuzi wa jana tulioukataa Wananchi. Wanajifanya kutangaza matokeo ya Uchaguzi eti walioshinda uchaguzi. Wanatumiwa na Mafisadi na Wauaji kuhalalisha upuuzi wao. Wananchi twendeni tukavichome hivi vituo muda huu
  7. GE2025 Wito: Tume ya Taifa ya Uchaguzi Ifute Uchafuzi Mkuu, Isiharakishe Kumuapisha Samia

    Inatakiwa ndani ya siku saba baada ya kutangazwa mshindi wa uchaguzi wa Rais aliyetqngazwa kushinda anatakiwa kuapishwa. Baada ya kuvurugika kwa uchaguzi mkuu INEC isiruhusiwe kutangaza matokeo wala kuzamisha kuapisjwa kwa Rais. Wakiamua kulazimisha hawa vijana hawa ..ambao leo wamevunja mwiko...
  8. Mtazamo wa Mnigeria kuhusu uchafuzi wa Oktoba 29!

    Samia anazidi kujipatia sifa mbaya kimataifa! Mcheki jamaa hapa akitoa maoni yake halafu ukiweza ingia kwenye sehemu ya maoni, ingia usome maoni ya wadau. This woman….what has become of her? https://youtu.be/J74HbQn--9k?si=lBxkXpYzIRwtkVDz
  9. Kwanza kabisa na declare sina Interest zozote. Je yanyosemwa yote kuhusu Abdul ni kweli au ni Uchafuzi kama Uchafuzi mwingine?

    Kama nilivyosema sina Interest na yoyote. Je masuala yanayosemwa kuhusu Abdul yote ni ya kweli kumekuepo na tabia chafu sana Tanzania za kuchafua watu kwa interest za watu flani. Tuliona kwa Mzee Lowassa huyu mzee kila Uchafu alitupiwa yeye mwisho wa siku Mungu kamchukua. Tukaona pia kipindi cha...
  10. Naibu Waziri aliyehonga wananchi nyama ya ng'ombe 500 alipigwa chini na kachero la uchafuzi

    Hajafanya lolote jimboni. Siku alipoibuka kaja na ng'ombe 500. Achinje wamchague. Ng'ombe mmoja kumnunua na kumsafirisha na kumchinja na kumpika na vinywaji na kuandaa tukio kadirio la chini laki 8. Laki nane X 500 = 400 milioni Umepata wapi hela hiyo ya kuchoma siku moja, akajibu...
  11. KERO Uchafuzi wa Mto Matarawe, Manispaa ya Songea Mjini: bomu la kimyakimya

    Utupaji hovyo wa taka kando ya Mto Matarawe umekuwa tatizo kubwa linalozidi kushamiri kila siku. Wananchi wanaoishi karibu na mto huo wamegeuza kingo za mto kuwa sehemu ya kutupia taka ngumu, taka za nyumbani, plastiki, mabaki ya chakula na hata vinyesi. Tabia hii si tu inaharibu mandhari ya...
  12. Tanzania ni Tunachafuliwa Au ni Wachafu?, Uongo Ukisemwa Sana, Usipokanushwa, Unageuka Ukweli!. Kwanini Tumenyamazia Uchafuzi Huu?!, Tunyamaze Tuu au?

    Wanabodi, Hii ni Makala yangu, gazeti la Mwananchi la leo. Hili ni swali, hizi tuhuma za wanaharakati wa jirani kutendewa ndivyo sivyo, ni zinatuchafua kwelikweli kitaifa na kimataifa!. Swali je ni Tanzania tunachafuliwa kwa tuhuma za uongo?, au tuhuma hizo ni kweli, sisi ni Wachafu? na...
  13. Mabadiliko makubwa before uchaguzi

    System imeamua. Mabadiliko makubwa before uchaguzi
  14. A

    DOKEZO Uchafuzi wa mazingira kata Usagara, kijiji Nyangh'omango, kitongoji Nyaruhama kutokana na uchimbaji moramu

    Hapa ni katika kata ya Usagara, kijiji cha Nyangh'omango,kitongoji Nyaruhama kuna uchafuzi wa mazingira unaendelea eneo hili kwa kuchimba moramu eneo last makazi ya watu. Hili jambo linahatarisha maisha kwa wakazi wa eneo hili hasa watoto, shimo ni refu sana wakati wa mvua maji hutuama humo...
  15. A

    KERO Uuzaji holela wa eneo la kijiji unaosababisha Uchafuzi wa mazingira kwa kuchimba moramu kata Usagara, kijiji Nyangomango, kitongoji Nyaruhama

    Kuna tatizo linaendelea hapa kata ya usagara,kijiji Nyangomango,kitongoji Nyaruhama. Kuna uchimbaji wa molamu katika makazi ya watu na mbaya zaidi lipo shimo lefu sana ambalo limetokana na uchimbaji wa hyo molamu hii ni hatari na watu wanaoishi maeneo haya hasa watoto hasa kipindi cha mvua maji...
  16. Nakipongeza chama changu CHADEMA kwa msimamo thabiti juu ya UCHAFUZI. Binafsi nitatumia uwezo wangu wote kuhakikisha nakuwa sehemu ya kuuvuruga

    Naapa kwa Mungu lazima niuvuruge Uchafuzi mkuu wa mwaka 2025. Nikiondoka na roho hata moja tu ya mchafuzi nitakuwa na amani kubwa moyoni. Kubwa sana! Nikipongeze Chama changu CHADEMA kwa msimamo thabiti. Sasa huko mitaani kazi yetu itakiwa nyepesi sana maana itakuwa ni kazi moja tu ya...
  17. T

    Wananchi wapewe elimu ya mazingira Kando ya Ziwa Victoria, kuna uchafuzi kubwa unaohatarisha afya

    Nimefanya utafiti kuhusu suala la mazingira katika maeneo mengi ya Kando ya Ziwa Victoria upande wa Mwanza na hiki ndicho nilichobaini: 1. Taka zenye kemikali eneo la Soko la Samaki na Kamanga Beach Sisi wakazi wa pembezoni mwa Ziwa Victoria tumekuwa tukishuhudia mambo mengi ambayo ni hatarishi...
  18. LGE2024 Special Thread: Matukio ya Rafu za Uchaguzi na Malalamiko kwenye Zoezi zima Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Wakuu, Wakati zoezi la kupiga kura linaendelea vitendo vya uchakachuaji na malalamiko ya kuonewa wakati wa uchaguzi huwa havikosekani. Pia soma: LIVE - LGE2024 - Special Thread: Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 Uzi huu utakuwa maalum...
  19. B

    LGE2024 Uchafuzi wa Uchaguzi wa TAMISEMI 2024 umeuzidi ule wa Magufuli wa 2019

    04 November 2024 Mfano daftari la mkaazi la mtaa lilifungwa likiwa na watu 138 lakini leo tunapokwenda kuelekea kampeni kwa ajili ya uchaguzi idadi inasoma 738 katika kuta za matangazo , hii ina maana msimamizi msaidizi uchaguzi ameongeza watu 600. Hii idadi ya ziada ya watu hewa inakwenda...
  20. A

    KERO Arusha: Kuna uchafuzi mkubwa wa mazingira unafanyika maeneo ya Friends Conner na Soko la Samunge

    Habari, wanaouza viungo vya chakula, mboga za majani, matunda na bidhaa nyinginezo maeneo ya barabarani hasa maeneo ya friends Conner Arusha na maeneo ya soko la Samunge upande wa chini mwa soko mbele ya kituo cha kurekebisha tabia za watoto(magereza ya watoto Arusha) wapo watu wanaofanyia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…