ubunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ubunge wa Halima Mdee na Wenzake ni Batili

    Hivi ndivyo Gazeti la Nipashe lilivyoripoti Toa maoni yako
  2. Mbunge wa Viti Maalum (CHADEMA), Felista Njau aeleza namna alivyotumia pesa kupata Ubunge na kwenda kuapa Dodoma kwa siri

    Felista Njau, Mbunge wa Viti Maalumu wa CHADEMA, ameeleza jinsi ambavyo kwenye siasa za Tanzania bila kutumia pesa kununua kura huwezi kupata uongozi. Asimulia jinsi wabunge COVID-19 walivyoitwa na kigogo Dodoma kuapishwa kwa siri.
  3. Paulina ukifukuzwa uanachama CCM kimbilia Mahakamani ukazuie ubunge wako kama wale akina Mdee

    Huu ni ushauri ambao naupeleka kwa Ndugu Paulina Gekul, ambaye ametumbuliwa kwa ukatili dhidi ya Ubinadamu, kwamba Nchini Tanzania unaweza ukafutwa uanachama na chama chako au ukajifuta mwenyewe lakini bado ukaenda mahakamani kuupigania ubunge wako. Halima Mdee na Wasaliti wenzie hadi leo wako...
  4. CCM Manyara yakutana kumjadili Pauline Gekul, kutoa tamko Novemba 27, 2023

    Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Manyara kimefanya kikao leo Jumapili Novemba 26, 2023 kujadili sakata la Mbunge wa Babati Mjini, Pauline Gekul anayekabiliwa na tuhuma za ukatili na udhalilishaji, na kesho Novemba 27, 2023 kitatoa tamko lake. Gekul anatuhumiwa kutoa maelekezo kwa kundi la...
  5. L

    Dkt. Tulia atakuwa mbunge wa kwanza Tanzania nzima kutangazwa mshindi wa kiti cha Ubunge 2025

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa namna dkt Tulia anavyokubalika,kupendwa, kuaminika na kuungwa mkono na wana Mbeya. kwa hakika uchaguzi ujao Dr Tulia atakuwa mbunge wa kwanza kushinda na kutangazwa mshindi mapema sana na kuacha wananchi wakifunga barabara na jiji zima kwa shangwe, nderemo na vifijo...
  6. M

    Ushauri: CCM isimptishe Luhaga Mpina kugombea ubunge 2025 maana anawachachafya mpaka wanachachafika

    Jamaa yupo serious na maisha ya Watanzania. Sakata la mafuta alipambania maisha ya Watanzania. Sakata la Tril 280 ndio amekomaa kinyama. Huyu jamaa ni mwamba wa kuwachachafya ma-CCM.
  7. Familia ya Hayati Magufuli kusimamisha kijana wao Ubunge wa Chato 2025, Samia kuzunguka naye kimkakati mikoa maalum

    Kuna habari za chini ya kapeti kwamba familia ya JPM inajipanga kusimamisha kijana wao agombee ubunge wa Chato. Karata hii inaungwa mkono na watu wa mfumo, hasa kwa kuangalia malengo ya uchaguzi mkuu 2025 na kuzikamata kura za Kanda ya ziwa. Habari zinaeleza kwamba, kimkakati, Mama Samia...
  8. Sugu baibai Mbeya Mjini? Ili Tulia aendelee na urais IPU anatakiwa asipoteze ubunge miaka mitatu

    'The IPU Governing Council elects the IPU President for a term of three years. He or she must be a sitting Member of Parliament throughout the term of the presidency' Leo Tulia Ackson amechaguliwa kuongoza umoja wa mabunge duniani kwa kipindi cha miaka mitatu. Moja ya sifa ya kuendelea kuwa...
  9. Makonda hatalipiza kisasi lakini waliomnyima Ubunge anawajua!

    Makonda kasema hatakwenda kulipa kisasi lakini mmmh!! Moyo sio kama mashine ya kusaga na kukoboa nafaka, unaongozwa na ukweli na uhalisia; na ukweli na uhalisia vinaongozwa na matukio yenye kusababisha furaha au huzuni kwa mtu. Binadamu ana tabia ya kulipa furaha na huzuni/maumivu...
  10. R

    Kwanini CHADEMA isifungulie harakati za ubunge wanaotegemea kugombea 2025 waanze kupiga jaramba?

    Ningepewa nafasi yakuwashauri CHADEMA ningewashauri wawape uhuru vijana na wazee wenye nia ya kugombea ubunge waanze kujinadi kuelekea 2025. Wenzao CCM wagombea ni walewale waliopo sasa, CHadema hakuna mgombea anayefahamika jimboni. Mnasuburi nini? Lini?
  11. J

    Wakili Mwakubusi: Vyama vya Upinzani kazi yao ni kufukuzia tu ubunge na ruzuku, haviwezi kulikomboa Taifa

    "Vyama vyetu vya siasa nadhani aidha vimechoka sana vyote vinahitaji kupumzika au viongozi wake wamechoka sana wanahitaji kupumzika, na ndio maana wanapoteza ile hamu ya kulikomboa na kulisimamia taifa, wanakuwa watu wa kufukuzana na tuvyeo, ubunge, ruzuku, kugawana, kukaa kaa mezani. Kila...
  12. Samia Nkurumah kugombea ubunge uchaguzi ujao

    Mwanasiasa wa siku nyingi na mtoto wa mpigania Uhuru nchini Ghana, mwanamama Samia Nkurumah ameonesha nia ya kugombea ubunge eneo bunge la Accra Ghana tofauti na ilivyotegemewa hapo mwanzo. Samia Nkurumah anategemewa kupata ushindi mkubwa kutokana na ushawishi alionao eneo Hilo la Accra...
  13. Mbeya: Ndigo ang'ara uchaguzi wa marudio Ubunge Mbarali

    Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Mbarali, Bw. Missana Kwangura amemtangaza Bi. Bahati Ndingo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwa mshindi wa kiti cha Ubunge wa Jimbo hilo baada ya kupata kura 44,334 kati ya kura 56,095 halali zilizopigwa kwenye vituo 490 vya kupigia kura. Bi. Ndingo amewashinda...
  14. Uchaguzi Mdogo Mbarali: Bahati Ndingo ashinda Kiti cha Ubunge

    #CCM BABA LAO, Matokeo ya uchaguzi mdogo wa kiti cha ubunge Jimbo la Mbarali mkoani Mbeya yametangazwa, Mgombea ubunge kupitia CCM Bi. Bahati Ndingo ameibuka mshindi kwa kura elfu 44,334 dhidi ya mpinzani wake wa karibu kutoka chama cha ACT Wazalendo Bw. Dickson Kilufi, aliyepata kura...
  15. Polisi Mbeya: Ulinzi waimarishwa kuelekea uchaguzi mdogo wa Ubunge Mbarali

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limejipanga vyema kuimarisha ulinzi na usalama kuelekea uchaguzi mdogo wa ubunge katika jimbo la Mbarali. Akizungumza na vyombo vya habari leo Septemba 18, 2023 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi wa Polisi Benjamin Kuzaga amesema, "Vikosi vyote vya...
  16. R

    Mbarali wamegoma kumsupport Mizengo Pinda uzinduzi wa kampeni za Ubunge

    Mwitikio wa wananchi kwenye uzinduzi wa Ubunge jimbo la Mbarali ni ishara kwamba hali si shwari majimboni kisiasa: Pamoja na Mhe. Waziri Mkuu mstaafu kushiriki katika uzinduzi huo na wananchi kuombwa kushiriki mwitikio ni mdogo jambo linalopelekea kamati ya siasa ya jimbo kukaa leo kwa ajili...
  17. Doto Mashaka Biteko: Kutoka Ualimu, Ubunge atakuja kuwa Waziri Mkuu wa kwanza kijana

    Hizi ni tetesi/hisia zangu za ndani kabisa ,zimeniambia hivyo.... Unabii Huwa haupuuzwi... Unabii ukijidhihirsha... Ndio huitwa unabii... Mwalimu huyu Grade 111A kutoka katoke teacher's college 1999 na Mbunge huyu wa bukombe-Ushirombo 2015 to date. Amekuwa na upepo nzuri sana wa kisiasa na...
  18. Mbunge Bahati Ndingo Ateuliwa Kugombea Ubunge Mbarali

    Mbunge Bahati Ndingo Ateuliwa Kugombea Ubunge Mbarali Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), imemteua, Bahati Ndingo kuwa mgombea ubunge kwa tiketi ya chama hicho katika uchaguzi mdogo jimbo la Mbarali mkoani Mbeya. CCM imetangaza mgombea wa kukiwakilisha chama hicho katika uchaguzi mdogo wa...
  19. CCM Yamteua Bahati Keneth Ndingo kuwa Mgombea Ubunge Jimbo la Mbarali, Mbeya

    Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, ikiongozwa na Mwenyekiti wa CCM a Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan, imekutana katika kikao chake maalum, kilichofanyika Ikulu ya Chamwino, jijini Dodoma, leo Alhamis, Agosti 17, 2023. Pamoja...
  20. Rais, Waziri na Wabunge hawawezi kuacha hizo kazi wakafanya kama tunazofanya sisi?

    Nazungumza hili na wao wakakumabna na tunayokumbana nayo sisi, kutokana na maamuzi wanayofanya juu yetu. Kwa sababu, kiuhalisia:- Rais hawezi kuhisi madhara ya kupanda kwa bei ya mafuta wala Waziri au Mbunge. Hawawezi kuona machungu ya kupanda kwa bei kunakosababishwa na kodi zao Hivi ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…